Search results

  1. M

    IQ ya Marais wetu

    Nadhani Akili yako na ufahamu wako ni kama kichuguu ambacho kimechimbwa mashimo kibao na mchwa. nawewe akili yako imeliwa na virusi kiasi kwamba yote unayoyafikiria kuhusu maraisi wako ni mabaya tu. Yaani hivyo virusi vimekula sehemu yako ya ubongo inayohusika na utumiaji wa busara katika...
  2. M

    Shule za nipigetafu na walimu wa vodafasta

    Wewe mwenye mawazo finyu, na usiyelitakia mema taifa ndo unatakiwa kupigiwa kura ya kutokuwa na imani. Raisi ameona mbele na kuweka maslahi ya taifa mbele ndo maana akaanzisha hizo shule. anahitaji kuungwa mkono kwa hali na mali.walimu wanaohitimu wakipangiwa mikoani waende.Na serikali nayo...
  3. M

    Chakula na sex!

    kula matunda ya mapenzi, angalau matunda mawili kwa siku, moja asubuhi na moja jioni. ukiweza kula zaidi ya hayo ni sawa. fanya hivyo kwa siku 7 mfululizo, siku ya 8 utaweza kuona mabadiliko
Back
Top Bottom