Search results

  1. M

    Chinese respond to Kenyan women

    Hatimaye wale akina mama waliondamana kulalamika wanaume wa kikenya kushindwa kuwapa mimba, kilio chao kimesikika na wachina...
  2. M

    Natafuta movie zenye kuelimisha vijana

    Wadau Natafuta movie zenye ujumbe na zenye maadili kama Sarafina, The Great Debaters, Invictus, Freedom writers, nk. .Natanguliza shukrani
  3. M

    Tatizo sio Demokrasia bali ni kuona chini ya Magufuli Wazungu hawana lao

    Ni vizuri kuwa na fikra pana juu ya MCC na wahisani wengine kusitisha misaada Tanzania. Kwa mtazamo wangu tatizo siyo yaliyotokea Zanzibar, kwani hata uchaguzi wa 2000 CUF walinyang'anywa tonge mdomoni, na hatukuona mashirika ya nje yakisitisha misaada. Ukweli ni kuwa chini ya Rais Magufuli...
  4. M

    Rais Magufuli kupewa Rungu la CCM June

    Katibu wa CCM Taifa, A. Kinana ametangaza kuwa Kikwete atakabidhi Uenyekiti kwa Rais Magufuli mwezi June.
  5. M

    Nahitaji Hoteli nzuri ya kufikia jijini Arusha

    Naomba kujuzwa ni kiota gani kilichotulia Arusha na contact zake? Natarajia kupumzika huko na nahitaji mahali penye utulivu, self - contained rooms,clean, Wifii, na misosi ya nguvu. Wawe na jinsi ya kuniunganisha kutembelea mbuga za wanyama. Gharama iwe kati ya elfu hamsini na laki moja kwa...
  6. M

    Lowassa kuzunguka nchi nzima kuanzia kesho

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ataanza ziara ya kuzunguka nchi nzima kuwashukuru Watanzania kwa kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 na kesho atakuwa Tanga. Katika ziara hiyo, Lowassa...
  7. M

    Magufuli awakonga nyoyo Afrika Kusini

    Gazeti la Afrika Kusini limechapisha makala inayomuasa Rais Zuma kujifunza vitu fulani kutoka kwa John Magufuli wa Tanzania. Chanzo: TheSouthAfrican
  8. M

    Waziri Anne Waiguru abwaga manyanga

    Hatimaye yule waziri kipenzi na mahiri aliyekuwa ameandamwa na kashfa ya ufisadi Kenya Ms. Anne Waiguru amekubali yaishe kwa kuachia ngazi. Huo ndiyo uwajibikaji.. Ingawa alichelewa kufanya hivyo. ==========
  9. M

    Wa Mazengo Complex tukumbushane

    Mimi namkumbuka mama Kabota na chapati zake na Mzee Kameme ngosha na nguruwe zake. ..Endeleza...
Back
Top Bottom