Search results

  1. M

    Chinese respond to Kenyan women

    Hatimaye wale akina mama waliondamana kulalamika wanaume wa kikenya kushindwa kuwapa mimba, kilio chao kimesikika na wachina...
  2. M

    Funny African Proverbs

    "No matter how hot your anger is, it cannot cook yams" Igbo proverb
  3. M

    Natafuta movie zenye kuelimisha vijana

    Asante mdau kwa mawazo chanya. .
  4. M

    Natafuta movie zenye kuelimisha vijana

    Wadau Natafuta movie zenye ujumbe na zenye maadili kama Sarafina, The Great Debaters, Invictus, Freedom writers, nk. .Natanguliza shukrani
  5. M

    Mbona ujenzi wa flyover ya TAZARA unasuasua?

    Ujenzi umefikia wapi? Wenye picha mzirushe hapa isijekuwa ilikuwa tu sinema ya Ngosha. Leteni hata hizo picha sijui mnaita "mobilization period"...
  6. M

    Historia ya Jenerali Tumainiel Kiwelu

    Rukwa alianzisha pia misitu ya kupanda na akatenga baadhi ya maeneo kama hifadhi (karibu na Malangali). Sumbawanga kuna Kiwelu Road. Alikuwa mchapakazi asiyependa Longolongo.
  7. M

    Rais Magufuli, Namtabiria ‪anguko‬ kubwa ambalo hatutakaa tulisahau

    Ukiona mti unashambuliwa sana kwa mawe jua una Matunda.
  8. M

    Rais Joseph Kabila, amfukuza kazi Naibu Waziri Enock Ruberangabo kwa kosa la kupiga punyeto ofisini

    Tuwe na huruma. Tofauti yake na sisi ni kwamba sisi bado kunaswa!
  9. M

    Magufuli aagana na rafiki yake Odinga

    Hivi huyu Odinga amegongewa Passport? Au ndiyo mambo ya kujuana. Hata kuingia nchini sijui kama maafisa wa Uhamiaji walikuwa makini. Majipu ni mengi!
  10. M

    Tatizo sio Demokrasia bali ni kuona chini ya Magufuli Wazungu hawana lao

    Ni vizuri kuwa na fikra pana juu ya MCC na wahisani wengine kusitisha misaada Tanzania. Kwa mtazamo wangu tatizo siyo yaliyotokea Zanzibar, kwani hata uchaguzi wa 2000 CUF walinyang'anywa tonge mdomoni, na hatukuona mashirika ya nje yakisitisha misaada. Ukweli ni kuwa chini ya Rais Magufuli...
  11. M

    Rais Magufuli kupewa Rungu la CCM June

    Katibu wa CCM Taifa, A. Kinana ametangaza kuwa Kikwete atakabidhi Uenyekiti kwa Rais Magufuli mwezi June.
  12. M

    Why do the best people die so soon?

    They die soon to go to heaven before they can accumulate many sins. On the other hand, bad guys live longer because God is patient; hoping they can repent one day and come back to him (like Prodigal Son Lk 15:11-32). The GOD who is merciful and compassionate wants everyone to be saved.Its our...
  13. M

    Fikiria leo hii Lowassa angekuwa Rais!

    Tungekuwa bado semina elekezi Ngurundoto
  14. M

    Rwanda: Kagame ajitengenezea njia ya kuwa Rais wa maisha

    Angela Merkel amekaa term ngapi? Na senators wa US kama John Macain. .. Chongo kwa mnyamwezi...kwa mswahili amri ya Mungu.
  15. M

    Nahitaji Hoteli nzuri ya kufikia jijini Arusha

    Naomba kujuzwa ni kiota gani kilichotulia Arusha na contact zake? Natarajia kupumzika huko na nahitaji mahali penye utulivu, self - contained rooms,clean, Wifii, na misosi ya nguvu. Wawe na jinsi ya kuniunganisha kutembelea mbuga za wanyama. Gharama iwe kati ya elfu hamsini na laki moja kwa...
  16. M

    Lowassa kuzunguka nchi nzima kuanzia kesho

    Aliyekuwa mgombea urais wa Chadema akiungwa mkono na vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa ataanza ziara ya kuzunguka nchi nzima kuwashukuru Watanzania kwa kumpigia kura katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25 na kesho atakuwa Tanga. Katika ziara hiyo, Lowassa...
  17. M

    Rais Magufuli atangaza Baraza Jipya la Mawaziri - 10 Disemba 2015

    Fedha na Mipango Mpe Dr. Richard Mshomba mchumi aliyebobea na mhadhiri wa Lasalle University PA, USA. ..jamaa yuko safi na ana mapenzi na nchi yake hadi kajenga mradi wa maktaba Arusha ili vijana wapate elimu bora. Source...
  18. M

    Mh. Rais Pombe Magufuli, tangaza mali zako hadharani

    Uncle Ben alitangaza but haikusaidia. Akiiba huku wa Tanzania wanaona results itakuwa shwari tu. Hata mbuzi anakula kulingana na urefu wa kamba yake
  19. M

    Ipe maneno picha hii ya Waziri Mkuu Mstaafu

    Wakiwa na Chrisantus Majiyatanga Mzindakaya a.k.a Wachepa.
Back
Top Bottom