Search results

  1. Freestyler

    Mwanaume Muuaji wa Wanawake aibuka Dar

    Hali ya hatari imejitokeza hivi karibuni jijini Dar es Salaam baada ya kuibuka mwanaume mmoja anayedaiwa kuua wanawake. Mwanaume huyo ambaye anasakwa na polisi, anadaiwa kuwa ndiye aliyewaua wanawake watatu kwenye nyumba za kulala wageni huku mwanamke mmoja akinusurika kufa. Vifo hivyo vya...
  2. Freestyler

    Mwenyekiti UVCCM Mkoa wa DSM adaiwa kutapeli Sh. mil 57

    Imeandikwa na Mwandishi Wetu; Tarehe: 24th February 2011 @ 08:20 MTOTO wa aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Tatu Ntimizi, Said Ntimizi amepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka mawili likiwemo la...
  3. Freestyler

    Kuhusu Arusha: Slaa ni tatizo, najuta kumpa kura - 2

    Mara sehemu ya kwanza ya makala haya ilipotoka wiki iliyopita, nilipata taarifa ya mshtuko. Nilinasa sherehe za watu wanaochekelea. Wanadai vurugu za Arusha zimefanikiwa kuwaweka juu. Ni ile ile falsafa ya siasa za majitaka. Kwamba baadhi ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...
Back
Top Bottom