Search results

  1. K

    Ndoa imenishinda. I need prayers

    Kwakweli ndoa yangu ya miaka miwili naona ikienda kuvunjika vipande vipanda. I have been doing lots of Dramas to my wife, can you imagine getting a condom in my pocket? Its too much
  2. K

    Wazurulaji wanaolengwa kukamatwa na RC Makonda ni akina nani?

    Wengi tunazurura ili tupate kazi. Tukikaa ndani tutakufa
  3. K

    Mada maalum ya walevi na wanywa Pombe

    kulewa ndio kupata corona? Nijuavyo mimi ni mikusanyiko ndio hatari, Halafu siku hizi ukienda bar Mlangoni wameweka ndoo ya Maji na mhudumu wa kulzimisha watu wanawe mikono
  4. K

    Nimeamua Kustaafu Rasmi JF, Utangazaji na Uandishi wa Habari Baada ya Kuhudumu Miaka 30. Niko Free Kujiunga Siasa, Nimejiunga CCM na Nitagombea Ubunge

    Mzee unaakili mpaka kuna sehemu umeandika "Uamizi huu wa KIJINGA CCM nikaona kama bado ni point" mzee ukienda mbinguni hutadaiwa kutotumia akili yake ipasvyo kama akina sisi
  5. K

    Maoni yangu kuhusu Serikali kukataza watu kutoka kwenye nyumba zao kupambana na Covid-19

    Ukweli ni kwamba kuna watu lazima tutoke ndio tupate angalau kidogo cha kulisha familia. Ikatokea serikali imechukua hatua kama za Rwanda, Kenya na nchi nyingine zilizoamua kuchukua hatua ya Lockdown basi ni kiama kwa baadhi yetu. Majuzi nilikuwa naongea na Dereva daladala mmoja anasema sasa...
  6. K

    Gesi asili: Is it "day light robbery?" Watanzania tunaibiwa mchana kweupe!

    ABC of oil Abandoned well: A well permanently plugged in the drilling phase for technical reasons. Appraisal well: An exploration well drilled to determine the extent and size of a petroleum deposit that has already been discovered by a wildcat well. Area fee: An annual fee which the...
  7. K

    Madini aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi

    Wewe umemchukulia kama yule wa zamani. huyu ni mpya mkuu hayo maneno yachukue hivyo hivyo usiongeze busara
  8. K

    Madini aliyotema Rais Magufuli kwa waathirika wa mafuriko huko Lindi

    kweli ndugu kwasababu wametaka wenyewe viwanja vipo vingi halafu wao wanajenga mabondeni!
  9. K

    The life of Lena Tungo Moi

    Politics is a career. Kwanini umshangilie mtu kwenye career yake?
  10. K

    Je, ni sahihi Msando kujibu masuala ya diplomasia?

    Ya zamani sana mkuu nenda you tube. "wakili Albert Msando ajutia kitendo hiki alichofanya na Giggy money kwenye gari"
  11. K

    Je, ni sahihi Msando kujibu masuala ya diplomasia?

    ile ya Giggy Money kama ilikua Hennessy
  12. K

    Je, ni sahihi Msando kujibu masuala ya diplomasia?

    mimi huwa nakukubali hapo tu.
  13. K

    Je, ni sahihi Msando kujibu masuala ya diplomasia?

    Mwanahabari Huru, Hivi barua ya Msando inaweza kumfikia Pompeo kweli? WHO IS MSANDO BY THE WAY?
  14. K

    Albert Msando awalima Wamarekani barua, awaambia waache 'double standards' kwa hoja nzito

    Sisi walevi Kuna wakati tunapiga vitu sawa sawa Basi akili inakutuma kesho asubuhi boss atanikoma, Nikifika ofisini asubuhi naanza nayeye na atajua mimi nani. Basi unapoamka asubuhi pombe imeisha kichwani unajishangaa mwenyewe ulichokua unataka kufanya. naona kuna mtu ameamka nazo
  15. K

    Ilala Boma vs Buguruni vs Mabibo lipi soko zuri lenye vitu bei nafuu?

    Manzese kilr kisoko kidogo karibu na Tigo shop pale cypruss lodge?
Back
Top Bottom