Search results

  1. utete

    Msaada: Vyakula vya kuongeza maziwa ya mtoto kutoka kwa mama ( maruwa ya mana)

    VYAKULA VINAVYO CHOCHEA KUZALISHA MAZIWA YA MAMA KWA WINGI Kwa Mama anaenyonyesha ni kawaida kupungukiwa na maziwa pindi anyonyeshapo,kwa wazazi wengi wanapotoka kujifungua maziwa hutoka kidogo sana, wengine hukata tamaa ya kunyonyesha na kuanzishia watoto maziwa ya kopo. Hapana hilo ni kosa...
  2. utete

    Balozi alipompigia magoti Magufuli leo Ikulu

    Culture kaka. Mke wangu ni mtu wa Mbeya, anapiga magoti kwa kila anayesalimiana naye.
  3. utete

    KTN-Kenya kuonyesha EPL live!

    Real? Zote au wanachagua?
  4. utete

    Nimechoka kubeba box, yeye hataki turudi Tanzania, nimuache?

    Rudi na mwanao jamaa amake maana supply load itapungua
  5. utete

    Uchambuzi: Rais Magufuli hakuwa sahihi kuvaa nguo za kijeshi, vinginevyo.....

    Vazi lake halikuwa na cheo ie lilikuwa plain, Yupo sawa!
  6. utete

    Kosa Yote Hapa JF Ila Siyo Hii

    Simple age analysisi. Mzee, MTU mzima , Kijana na Mtoto.
  7. utete

    Lowasa aapa kuwashughulikia wapinzani wake. Wamo Diallo, Dr Slaa, Msukuma, Nape, Kikwete, Mangula

    Vitimbwi vyote walivyofanya Lowasa alishinda ila tume tu ndo ileleta habari zake. All the best Lowasa
  8. utete

    Natangaza rasmi kuendelea kupambana na Lowassa kuelekea uchaguzi Mkuu wa 2020

    Lizaboni. Huwezi kupambana na fisadi ukakaa kimya kwa wale Wa escrow ambao tuliwaona wazi na sasa wapo wanachanja mbuga. Huo unaweza kuwa ni unafiki tu. After all hii Serikali ya JPM inaharibiwa na CCM coz ya hao Mawaziri wake wa Sifa badala ya kazi.
  9. utete

    Wabunge wa UKAWA wafanya kikao kizito MIC Hotel

    Akili za watz bado zipo chini sana. Uwezo wa kufanya analysis Mdogo afu tumekuwa wakurupukaji kuanzia viongozi wa juu hadi vinyamkela wa chini.
  10. utete

    Lowassa kugombea tena Urais Mwaka 2020, asisitiza yupo fiti

    Acha kukurupuka, soma afu utafakari kilichoandikwa.
  11. utete

    Serikali ya Magufuli nayo ni jipu

    Umeniwahi.
  12. utete

    Hofu ya kufilisika yamtanda Lowassa, adaiwa kushindwa kulipia kodi ya Pango PPF Tower

    Acha ulofa wewe, et baada ya kutimliwa uwaziri mkuu!!! Alitimuliwa au alijihuzuru. Hivi pale kunawafanyakazi wangapi? MF. Akiuza ng'ombe 10 tu mishahara bado? Acha ulofa, umbea peleka kule hapa si mahali pake. She......i
Back
Top Bottom