Search results

  1. L

    FUNDI WA TANKI LA KUHIFADHIA MAJI CHINI YA ARDHI

    Habari za leo wadau. Natafuta fundi anayeweza kujenga tanki la maji la chini ya ardhi kuanzia tanki lenye ujazo lita elfu 24 za ujazo na kuendelea. Ningependa awe fundi asiyetumia teknolojia ya matofali lakini hata kama ni wa matofali naomba uni PM tuzungumze biashara. Nitafurahi hyo fundi awe...
  2. L

    Babu Duni alivyoiteka Bukoba 16.10.2015

    Babu Duni ambaye ni mgombea mwenza wa CHADEMA amepata umati wa kufa mtu Bukoba kwenye mkutano wake wa Kampeni mjini Bukoba uliofanyika sokoni kata ya KASHAI. Kwa matukio zaid tembelea http://bukobawadau.blogspot.dk/2015/10/mkutano-wa-juma-duni-haji-mjini-bukoba.html#.ViF8GTahfIU
  3. L

    Elections 2015 Operesheni Zinduka: Uamuzi Sahihi 2015

    Swali dogo tu "Who is Mzee Mwanakijiji?" Watu washafanya uamuzi juu ya nan watampa kura. Unatupigia kelele ukiwa Marekani ehe? Njoo Tz upande jukwaani kama unahis wewe unastahili zaid au ni mind changer vinginevyo endelea kutafuta unga kwa ajili ya wanao!! Nani amekuweka uweze kufikiria au...
  4. L

    FUNGUKA UJINASUE :- Chadema yamomonyoka

    Duh habari umeiandika utafikir umekurupushwa. Katibu mwenezi wa wapi? Kituo chake cha kazi? Anaitwa nani? Ni kampeini meneja wa nani? Je na wewe ni great thinker wa JF? Kweli JF imevamiwa. Moderators angelieni hzi habari zenye mapungufu makubwa hazikai hata dk 5 hewani
  5. L

    Mgawanyo Rasmi wa Majimbo kwa vyama vinavyounda UKAWA

    Ni kweli Chadema wanatakiwa wawe makini sana wananchi wasikilizwe sio viongoz tu wa mikoa au majimbo. mh. Mbowe na kamati yako chukueni tahadhari
  6. L

    Prof. Kitila Mkumbo - Mwenyekiti UDASA

    matokeo yalikuwa hvi. Kwanza UDSM main campus ina wanataaluma kama 1090. Waliohudhuria mkutano huo ulikuwa na ajenda ya uchaguzi ni kati ya 70 hadi 80. Katika ajenda hiyo ya uchaguzi Kwnye nafasi ya uenyekiti Prof. Kitila alipata kura 51, wa pili, Dr. V. Anney 20 na Dr. Tarmo 7. nafasi ya makamu...
  7. L

    Mafuru resigns from NBC

    mmhm kwa taarifa za ndani zinadokeza kuwa tuhuma alizotuhumiwa nazo zina ukwel kwa kiasi kikubwa ila kutomharibia heshima yake mbele ya jamii ndo wakakubaliana kuwa wamrudishe alaf baadae aache kazi akishapata sehem nyingne. ukitaka kujua ukweli juu ya hili ni kuwa toka baada ya kurudishwa ofcn...
  8. L

    Mpango wa kumtimua UDASA Dr. Kitila Mkumbo wasukwa

    Nakupongeza Dr. Kitila kwa kuja jamvini kujib na kutoa ufafanuzi na pia niwapongeze wanaUDASA kwa ufanya uchaguzi wao. Huwa sipendi nami kuwaongelea watu lakin kwa ufupi tu kuongezea aliyoyasema ndugu "Malolella" juu ya Dr. F.Michael. Dr. huyu pia huwa anajihusisha na siasa za Mkoa wa Kigoma kwa...
  9. L

    Mtoto wa mwanasiasa waziri alivyonitapeli

    Nafikir hii habari ungepata wasaa wa kuiandika pemben kwanza kwenye simu au kompyuta ndo uweze kuiweka jamvin ikiwa imekamilika kuliko ulivyoileta robo. Kwa sasa huwez kupata mchango wowote kwa watu inakuwa kama zile hadithi za kwenye magazeti pendwa yanayotoa stori wiki baada ya wiki ili watu...
  10. L

    Website ya Wizara ya Afya "hacked"

    Haya mambo yanatokea Tanzania tu. Nchi yenye kila aina ya maajabu!! Wizarani wamezoea nakala ngumu (hard copy) tu.
  11. L

    Usajili wa wanachama wa tawi jipya la CHADEMA Online

    Muongeze na Libaba kweny saf ya wapambanaji
  12. L

    Chadema ni Wachanga CHAGUZI Ndogo

    Very myopic JF great thinker Mafilili. Ilikuwaje wakashinda Tarime baada ya kifo cha Chacha Wangwe? Sio lazima uanzishe thread unaweza kusoma kilichoandikwa na watu wengine tu ili uzidi kujifunza namna ya kufikiri vizuri sio kwa kuanzisha thread isiyokuwa na substance
  13. L

    Lowassa mgeni rasmi harambee Jimbo Katoliki Ifakara

    Katika Sherehe za leo Kardinal Pengo ametoa TAMKO kuwa Lowassa hakualikwa kama mgen rasmi ila alialikwa mke wake ambaye ni mkatoliki ndo Lowassa naye akajipenyeza. lakin cha kushangaza kulingana na kardinal ni kuwa baada ya kujipenyeza akapewa nafasi ya kusalimia wananchi ndo akatumia mwanya huo...
  14. L

    DP iungane na CHADEMA

    Mmmhm muanzishaji wa thread najua unafikra nzuri za kuona Tz inakombolewa lakin tatizo inaonekana humfahamu vizuri mtu unayemuongelea .Mtikila anakula huku huku, haaminiki.kumbuka lile tukio la mama rwakatale na kakobe, Rostam na Mengi.ila kama unafahamiana naye in person unaweza kuongea nae...
  15. L

    NCCR yakosa watu; yaahirisha maandamano

    ukweli ndo huo kuwa hiki chama hakina mvuto na kinaelekea kufa mara ya pili Kafulila kaondoka nacho.Mkosamali anza kujipanga kuondoka NCCR kama unataka kurud 2015
  16. L

    WABUNGE na Makamanda wa CHADEMA waunguruma Tabora

    Mmhm Kazi yako ngumu sana the more you post/reply to a threat the more you get paid ehe ! Kazi kweli kweli ! Kinachonisikitisha zaidi ni kuwa shule yako haijakukomboa ila naamin ipo siku.
  17. L

    ITV Kipima Joto: Matumizi ya Rasilimali - KATIBA

    Kwa wale wasiomfahamu Dr.Magamba (Kasoga) aliwahi kufanya kazi UDSM idara ya Uchumi, aliwahi kugombea na Charles keenja kura za maoni 2005 akabwagwa. Kiufupi sasa hivi anaganga njaa hana cha kufanya maana UDSM walishammwaga kwa hiyo anajipendekeza kwa watawala. Kama great thinkers tumchukulie...
  18. L

    NCCR mageuzi pawaka moto?

    We ndo Mwita 25 ninayekufahamu ? au umekombolewa?
  19. L

    Nape: LIVE ON MLIMANI TV LEO TAREHE 13/10/11 SAA MBILI NA NUSU USIKU

    Ukifumbua kinywa unawapa watu nafasi ya kujua wewe ni nan? Naamini walio wengi tumemfahamu Nape ni nani na kichwan kwake kuna nini pia? Ushauri kwake tu asome alama za nyakati.Time will tell na wala si mbali; watu walio wengi wameabadilika kabaki yeye na baadhi ya wachumia tumbo. Atambue watu...
  20. L

    Maofisa hawa kwaheri!

    Sijui ni ukame sijui ni njaa.Jaman great thinkers kabla mtu hajaanzisha thread aifanyie tathimin kwanza arudie mara kadhaa kuisoma na kutafakari kama kuna mantiki na mtiririko wa kile anachokikusudia msomaji akielewe. Natanguliza shukurani
Back
Top Bottom