Search results

  1. Tutorial 1X

    Wanaume mnao tumia english kutongoza

    Mjibu kwa kiswahili yaishe , wengine wakiongea english confidence ndo inakuja ,kama kumkataa mkatae kwa englis
  2. Tutorial 1X

    Wanaume ni wa ovyo sana

    umefukunyua sana bado kwenye galley yakeujaenda , unashangaa anarudi anakuuliza "umemalaiza kulia tiale mke wangu"
  3. Tutorial 1X

    Ungepata nafasi ya kufanya kazi Serikalini, ungependa kufanya kitengo gani? Na kwanini?

    Hivi wale waliokataa uteuzi wamebadilishiwa kazi au Fire on Fire
  4. Tutorial 1X

    Kila nikianzisha mahusiano, yanavunjika kabla hatujafikia hatua nzuri

    Muumba wetu ni mwema kila siku ndugu [emoji120][emoji120][emoji120]
  5. Tutorial 1X

    Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

    nafkili ni hivi kuna yule umekutana naye ,ye kweli anaomba pesa ya kawaida ambayo iko ndan ya bajet yako hata huumii ukisema sina anasema ukipata utanipa anavumilia na kesho anaanza yeye kukualimia tu na si kuomba pesa sabab ushamuhidi ila kuna mwingine ashafanya wewe ni Microfinace bank [emoji386]
  6. Tutorial 1X

    Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

    Hiv usipompa hiyo pesa ndo mahusiano yanakufa au atakuwa anakuvutia pumzi huku anangoja plan B na hiyo plan B huchomoi [emoji2297][emoji2297] ila ladies why
  7. Tutorial 1X

    Kuning’iniza funguo za gari kiunoni kama tunguli ni ushamba uliopitiliza

    mtu unakuwa na mafungua mengi funguo za gari, nyumba ,hadi ukitembea tunaskia vyuma vinagongana kumbe mtu anafata gari parking
  8. Tutorial 1X

    Watoto na wajuku zako watanunua viwanja vya kujenga wapi?

    Ivi mnajua kuwa hii nchi ina ardhi kubwa sana we wakat una safir angalia nje ndo utajua mda mwingine unawaza hivi kweli kutakuja kujengwa huku kote, Pia mbuga za wanyama nazo si ardh pia [emoji849][emoji849][emoji849]
  9. Tutorial 1X

    Kila nikianzisha mahusiano, yanavunjika kabla hatujafikia hatua nzuri

    kila kitu kimeandikwa ndugu yangu na kimepangwa usijipe presha fanya juhud zako palipo baki muachie aliyekuumba,uwez amin kama umeandikiwa utapata mke na watot lazma uwapate [emoji120]
  10. Tutorial 1X

    Hatimaye leo nimefikisha likes 1,000

    asiyeshukuru kidogo hata kingi hawez shukuru, kila mtu ana kiwango ambacho amejipangia amefika [emoji122] ndo mana ameshukuru [emoji2369][emoji2369]
  11. Tutorial 1X

    Kwa nilichomjibu huyu dada nahisi ataghairi kwa muda kuomba wanaume hela

    yan apo anashangaa mbona kama umemuwahi kumuacha ,imekuwa ghafra sana...!!
  12. Tutorial 1X

    Nifanyeje mke wangu aache kula kitimoto?

    wanasema huyu mdudu nyama yake ina minyoo ambayo madhara yake hutokea baaday sana ,ingia Google utakuta sema mtu akishaonja ladha ya kitu kumrudisha ni kupunguza kasi ya kula
  13. Tutorial 1X

    Geita: Baba amchoma mwanaye mikono

    haya matukio ya kuchomana mbona yamashika kasi sana kosa kidogo fire burning, si katika mapenzi tu hata ngazi ya familia wat wanachomana
  14. Tutorial 1X

    Jinsi ya kujua kiwango cha hasira za Mwenza wako

    kwan nn umvizie amelala kwanza huo ni udhaifu, awe amezubaa halafu umtekenye kwa ghafra [emoji849][emoji849][emoji849]
  15. Tutorial 1X

    Hawa ndio wanawake wa kizazi chetu. Mimi siwaelewi, sijui ninyi

    ndo mana nasema bado hawaeleweki eleweki, na ukianza kujifikilisha jins walivyo utaanza kuota mvi ujanani mapema tu....
  16. Tutorial 1X

    Hizibullah na Israel kimewaka

    hii vita inakuwa vigumu kumalizika kwa kuwa Israel anaendelea kujenga nyumba zao katka plastin, pia mataifa makubwa hasa nchi za kiarabu wanasapot wapiganaji wa pande mbili ,pia mtoto mdogo wa kipalstn ashajua adui yang ni yule ,anakuwa kwa minajili ya kulipa kisasi, kuna kipind flani hii vita...
  17. Tutorial 1X

    Hawa ndio wanawake wa kizazi chetu. Mimi siwaelewi, sijui ninyi

    mi hata siwaelewagi watu wanaosema hawa ni wadhaifu too complicated, yani akili ya ziada ya wanume inatakiwa kuwepo ndo kuwaelewa hawa viumbe sio zile akili za kivulana za baleghe, na weng hufeli hapo katika akili ya ziada, kuna maalifa ya ziada wao wanayo yani natural gifted that's why wako...
  18. Tutorial 1X

    Nilipoagiza mzigo AliExpress nikakumbana na rungu la kodi

    pongez kwako kwa kuletewa bidhaa halis uliyoitaka ,but wengine kile ambacho tunaagiza ama walete kilekile lakin huwez tumia sabab ni oversized, au walete kitu tofaut na anuani ni yako...
  19. Tutorial 1X

    Marekani: Donald Trump ashtakiwa kwa makosa 34

    Still kasema atagombea kuwa Rais wa Marekani kwa mara ya pili, huyu jama kajipanga na ana wafuasi wengi ukiangalia....!!
  20. Tutorial 1X

    Kwanini baadhi ya wadada ukiwatongoza, wanajibu kikatili bila sababu?

    inategemea na wewe umeenda vipi yan kabla hujamfikia ashajua unataka nn na jibu lake anakuwa ameliandaa tayar, mbona wengine wana mapokeo mazur tu, wanasema wanaudhaifu lakin kuna sehem kuko vizur,anyaway pole:):)
Back
Top Bottom