Habari Watanzania na Wasio Watanzania,
Jana nilinunua juice ya Azam ya "tropical mix" ya TZS. 2500,
Nilipofika home nikamimina kwenye glass ili ninywe, nikapiga funda la kwanza nikastuka kidogo, nikapiga la pili nikakutana na radha ambayo ni ya ajabu ajabu sana yani kama uozo ulochanganyika na...
Walaaniwe wote wanaoiombea CHADEMA mabaya na watu wote tuseme AMEN......
Walaaniwe wote wanaojaribu kuwa wanafiki kwa mioyo yote na kuona kwamba POLISI wamefanya kazi yao kwa kuua watanzania wasio na hatia na kuona kwamba CHADEMA ndio wamesababisha Mauaji kwa kukaidi amri za polisi, na watu...
Kwa kweli siku hii imepelekea kila litakaloripotiwa kuonekana ni uongo, mfano mzuri ni tukio lililotokea mwanza.
Hebu ona jinsi mh. Zitto alivyopata shida kufafanua:
Note this guys.
Hata kama CHADEMA watashinda katika kata ya Kirumba na jimbo la Arumeru Mashariki (ndivyo inavyoelekea).
Matokeo hayo yatageuzwa kwa ubabe, nguvu na wizi
(kama ilivyokuwa Sumbawanga mjini, Segerea etc)
na wagombea wa ccm watashinda sehem zote mbili.
Swali ninalojiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.