Search results

  1. B

    MAZURI ya Kikwete ambayo hayajawahi kufanywa na marais waliomtangulia HAYA HAPA

    Uchambuzi wa namna hii umenisikitisha sana umekiuka maadili na vigezo vingi sana. 1. Si sahihi kabisa kuwalinganisha viongozi hawa watatu au pengine wanne(na Nyerere) kwani walitawala nyakati tofauti zenye changamoto tofauti, mipango tofauti, vipaumbele yofauti na uwezeshaji tofauti kabisa...
  2. B

    Updates - Pres. Obama in Tanzania July 01-02, 2013

    Nimeikuta hii kwenye magazeti ya nje. Nadhani watanzania wenzangu tuna la kujifunza sana kuhusu hii statement ya Obama: Kuna version mbili ila zote ni maana moja: Soma hii: Obama "Democracy not just about elections, but how you treat opposition" “Democracy is not just about elections. It's...
  3. B

    Ushindi wa JK, Mangula na Membe ni Pigo takatifu kwa Lowassa

    Bashe Anasema hivi: Hata hivyo ushindi wa Waziri Membe umewagawa wajumbe wengi, huku mahasimu wake kisiasa wakimbeza kwamba amezidiwa na vijana wadogo. Akizungumza na gazeti hili jana mjini hapa, Bashe ambaye alipiga kampeni kwa nguvu kumwangusha Membe, alisema hakufurahishwa na ushindi wa...
  4. B

    Joshua Nassari adanganya "live" ITV

    Ingawa kuna takwimu (sources) za kila aina katika mambo ya msingi hapa TZ hata unashindwa kujua ipi ndo sahihi maana hatutengenezi sisi wenyewe. Hata wewe nawe umekosea tuu, maana umetupa Life expectance at birth (female) badala ya Life expectance at birth (Total). kuwa makini ndugu katika...
  5. B

    Mauaji ya Daudi Mwangosi: Jaji Mstaafu Ihema Kuongoza Tume Huru ya Uchunguzi!

    Nimesoma gazeti la Tanzania daima la leo nimekutana na habari iliyonichanganya kuhusu Dr. Nchimbi. Ameunda Tume na hapohapo kutoa hitimisho la yanayotakiwa kutolewa na tume kwenye report yake ya uchunguzi. Ebu angalia mwana JF Hadidu za rejea kwa Tume iliyoundwa na Dr. Nchimbi kujua chanzo cha...
  6. B

    Tujikumbushe kauli hii ya Mzee KINGUNGE

    Samahani nimechagua tu kuku-quote wewe ila wengi wamekuwa na mawazo au mtizamo kama wako dhidi ya huyu mzee wetu Kingunge Ngombare Mwiru Ni kweli kuwa mzee wetu huyu anahusika kwa sehemu kubwa sana kwa taifa letu hili kuwa hivi lilivyo leo kwa kuzingatia nafasi na heshima aliyokuwa amepewa...
  7. B

    Wanashangilia mazingaombwe na wanasifia viini macho! ... Silly People!

    Unataka nani afanye hayo maamuzi si ulianzishe basi ili tujue wewe hauko miongoni mwa hao wasahaulifu. Na MMM why usijitokeze wazi upigane vita na sisi tukufuate badala tu ya kuwataka wengine (wapinzani) ndo wajitokeze daima kujitoa sadaka..kwani nchi hii ni ya wapinzani pekee yao ambao...
  8. B

    Video Clip: Alichokisema Mhe. Joshua Nassari huko Kigoma

    Maneno yanayotafsiriwa hapo ya Mh Nasari ni: "...kwa stahili hii sitashangaa miaka 5, 10 au 15 ijayo rais wa jamhuri hii akitokea kigoma...." Nina mitazamo miwili 1. Kwanza namtetea Nasari.. Mbunge huyu alitoa maoni yake tu kwa jinsi alivo ona hali ilivokuwa hapo uwanjani siku hiyo... na...
  9. B

    VIDEO: Dr. Ulimboka; kwa kinywa chake mwenyewe! | Ambayo hukuyajua...

    I am just thinking outside the box or more louwder..... Hivi mfano Dr. Ulimboka angesema kuwa aliyekuwa anamtafuta na kumpigia simu kwa siku tatu alikuwa amesema katoka makao makuu ya CHADEMA na kuwa alikuwa afisa mmojawapo wa CHADEMA pale makao makuu...yaani mfano tu..... Maswali yanguni: Je...
  10. B

    Tamko fupi la Jumuiya ya Madaktari - Juni 28, 2012

    Kwani kudai fedha ni vibaya kama ndo madoctor na hata wasomi wengine ambao hawalipwi vizuri walisotea madarasani kwa kwenda shule, lengo si ni mtu awe na maisha bora. Kama pesa hazina maana Mbona nyie pamoja na kuwa mnajilipa vizuri lakini bado tu mnafanya ufisadi wa nguvu kwa kwenda mbele na...
  11. B

    Tundu Lissu hukumtendea haki Pinda kumtaka ajiuzulu

    Pamoja na kuwa nimekupa like, but ngoja pia tuweke clear Maandiko yanasema hivi....Anaye STAHILI heshima apewe heshima. Hapo neno "stahili" ni muhimu sana. Mtu kama unafanya mambo yenye manufaa kwa wananchi kweli unastahili kujibiwa kwa heshima au kuulizwa swali kwa heshima (tone ya sauti) ila...
  12. B

    Tundu Lissu hukumtendea haki Pinda kumtaka ajiuzulu

    PM alihamaki bure, hii ilitokana na statement yake kuwa amefanya kila aliloweza na bado mgomo upo sasa atafanya nini zadi ili mgomo usiwepo? Lisu yuko sawa, hapo suala la kuheshimiana au kuto heshimiana halina uhusiano na swali. Alitakiwa kusema siwezi ku-resign sasa labda tunajaribu hatua za...
  13. B

    Bungeni Live: June 28, 2012

    Nakubalina na mpango huu wa kuwasaidia wagonjwa kwa wakati huu wa dharura. Shida yangu kubwa ni ufanisi wa hao madaktari wanaoazimwa. Nijuavyo mimi hao madaktari wanaoazimwa yaani waliostafu, walioko wizarani na pengine na akina mbunge Kigangwara na wengineo kama Dr. Husein Mwinyi kama...
  14. B

    Ukweli kuhusu mgomo na madai ya madaktari Tanzania

    Dr. Hapo vipi, jamaa amekupata nini!! Niliwahi kukuuliza maswali huko nyuma, nini faida ya wewe kuwa na MD, MPH na MBA maana impact ya wewe kuwa na hivo mi sioni yaani upo tu kama ambao hawana hizo, au unataka kukubaliana na mch Msigwa kuwa watu wenye akili kubwa mmeziweka mifukoni na mmekubali...
  15. B

    Kwa MAKAMANDA tu, Makada STOP! usifungue

    Kamanda kwa urahisi wa kupata Katiba online (PDF) tembelea Link hii ya chama (Chadema): http://www.chadema.or.tz/nyaraka/katiba_2006.pdf Kwa wale wanaotaka kujiunga na chama (chadema), kujua itikadi, sera, na falsafa kwa urahisi temebelea Link hii...
  16. B

    Wabunge waunga mkono 100% Ni janga la Taifa

    Nawasikiliza wabunge wa pande zote mbili yaani wa CCM na wale wengine wa CHADEMA, CUF, NCCR, n.k. Ninachokiona kutoka kwa wale wa CCM ni siasa na kutozingatia nini kinaendelea sasa katika taifa letu. Waheshimiwa wabunge wananchi wana changamoto kubwa za maisha sivyo mnavyodhani nyie wabunge...
  17. B

    Nani alimpa uchungaji Msigwa? Kwa nidhamu mbovu anayoionyesha bungen!

    Kuna utofauti kati ya uchungaji wa kuitwa, wa taaluma ya uchungaji (uchungaji wa kusomea) na uchungaji huu wa kupewa. Uchungaji wa kuitwa (ule wenyewe ulio sawa na maandiko kama yanenavyo katika vitabu vingi katika Biblia, mfano Waefeso 4:11-17; hutolewa na Mungu/Bwana - ni wito (is a calling...
  18. B

    John Mnyika amuita Rais kikwete Dhaifu, atolewa nje ya Ukumbi wa Bunge!

    Kumbuka juice na kahawa pale ikulu ni sehemu ya budget inayopitishwa pale bungeni kwa hiyo usifikiri ni kwa huruma ya JK kuna Juice na kahawa pale ikulu bali ni kwa kodi zetu, so hata nikienda pale siendi kwa JK naenda kwa ofisi ya rais na hiyo haina maana akiwa dhaifu au shujaa asiitwe kwa hivo...
  19. B

    Wananachi wa Arumeru Mashariki wanaulizia ahadi ya Mbunge wao kushusha bei ya sukari

    Ritz nimependa ulivo makini kwa kufuatilia ahadi za wanasiasa wetu wakati wa kampeni. Ila ili kuonyesha kuwa unawatendea haki wanasiasa wote anza na kuulizia zile alizotoa JK, PM, Makamu rais, wabunge wote wa CCM, na wa CHADEMA, CUF, madiwani wote halafu tuone kiasi gani kila mmoja wao ametimiza...
  20. B

    Dr. Slaa: Mfuko wa cement utakuwa Tshs 5,000.. Ni KWELI 100%

    Salma kwa uchambuzi na utafiti ulofanya una haki ya kusema ulosema hasa kuwa bei ya cement yaweza shuka hadi chini ya 5,000/- ya Ki-TZ. I salute you and you deserve my (our) respect!!! Wewe ni GREAT THINKER...!!! Viongozi mlo madarakani endeleeni kubisha tu ila ipo siku mambo yatageuka na...
Back
Top Bottom