Search results

  1. TATIANA

    Dar: Mvua kubwa sana imenyesha usiku wa kuamkia leo 21/01/2024

    Hii mvua hata dodoma imepiga sana toka saa 6 usiku, radi zilikuwa za kutisha mno
  2. TATIANA

    TANZIA Demi Agoglia Afariki Dunia Wakati Akifanyiwa Upasuwaji Wa Kuongeza Shepu

    Hata mie nimeshtuka kupata simanzi ghafla.. Kufungua nakuta kitu kingine
  3. TATIANA

    Nimekonda sana, naomba ushauri nifanyaje nirudishe kilo zangu haraka

    Kabla ya yote, una urefu wa sentimita ngapi na uzito wako kwa sasa ni kilo ngapi?
  4. TATIANA

    Mwigizaji 'Sabela' na Mtunzi wa Filamu ya Sarafina afariki kwenye ajali ya Gari

    Linakera sana na hakuna juhudi zozote za kutatua. Malalamiko yamekuwa ya muda mrefu sana.
  5. TATIANA

    Set nzima ya WIX

    Hahhahaha.. Ni kweli maana ni gharama haswa
  6. TATIANA

    Ndege ya Precision yapata hililafu muda mfupi baada ya Kuruka

    Mara nyingi sana wanachelewa au kughairi safari... Sijui wanapwaya wapi hawa watu. Wajitathmini kwa kweli na wajue thamani ya uhai wa watu
  7. TATIANA

    Ndege ya Precision yapata hililafu muda mfupi baada ya Kuruka

    Hili ni kweli nakuunga mkono.. Ndege zao sio kabisa yaani.
  8. TATIANA

    Set nzima ya WIX

    Kama unatumia app inawezekana ni version uliyonayo kwenye simu. Mie ilinisumbua nikatoa nikaweka ingine ambayo naweza kufungua picha
  9. TATIANA

    Set nzima ya WIX

    Heheeeee basi huna sababu ya kupoteza pesa.. We kubaliana na hali yake, mpende basi
  10. TATIANA

    Set nzima ya WIX

    Heheee.. I'm very conservative... Hata huwa sijaribu vitu ambavyo najua kwa njia salama naweza fikia malengo... Ni pamoja na weight loss na vitu kama hivi vya kubana ikulu...
  11. TATIANA

    Set nzima ya WIX

    Hehehee no shortcut.. Madawa yatamletea shida tu.....
  12. TATIANA

    Set nzima ya WIX

    Afanye mazoez ya kergel
  13. TATIANA

    Set nzima ya WIX

    Ooh pole au ni app unayotumia?
  14. TATIANA

    Set nzima ya WIX

    Hahaha asante.. Mie sio mtu wa kupaka makeup zaidi ya lipstick na wanja.. So huwa natumia gharama kubwa kuhakikisha ngozi ya uso inakuwa nzuri so mtu akiniona anadhani nina makeup..
  15. TATIANA

    Set nzima ya WIX

    Kama unataka kuwa na rangi yako halisi but inayovutia na yenye afya ukipata hivi itakuwa poa. Sio lazima uwe na vyote unaangalia kipi unahitaji kulingana na ngozi yako.
  16. TATIANA

    Set nzima ya WIX

    Haha hahaha....
  17. TATIANA

    Set nzima ya WIX

    Garnier ina oil control pia... Ngoja nirudi nyumbani nitume uone
  18. TATIANA

    Set nzima ya WIX

    Garnier ni nzuri sana, mie nachanganya na L'Oréal...
Back
Top Bottom