Search results

  1. Unkolonized

    Swali la Ukorofi: Vigogo wa CHADEMA Wanaomuuza Lowassa Wakianguka Bunge Iweje?

    Mara ooh, wamemtelekeza anazunguka peke ake, unafiki mwingine bhana
  2. Unkolonized

    Vyombo vya habari Tanzania vinatumika kuihujumu CCM?

    Chombe cha habari ni nguzo nyingine ya Dora ITV wapo sawa kabisa. Fanya utafiti nchi nzima utaona watu wengi wanaangalia taarifa ya habari ya itv na azam two
  3. Unkolonized

    Mulongo: Mbowe ana tamaa ya fedha. Amehongwa kumkaribisha fisadi ndani ya CHADEMA

    Siku ya mashujaa unaongelea siasa wapi na wapi! Ya Nyerere yanatimia mwaka huu, watu wasipo ona maendeleo ndani ya CCM watayatafuta hata nje ya CCM
  4. Unkolonized

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Mwanza haikamatiki CCM watasubiri sana! Kutoka airport shughuli zimesimama kwa sasa!
  5. Unkolonized

    Hivi, anachofanya Magufuli ni kampeni?

    Dawa na wao ukawa wazunguke nchi nzima kumtambulisha mgombea wao. Angalizo: Polisi wasije kusema intelligencia hairuhusu halafu mtiti ndio utaanzia hapo sasa!
  6. Unkolonized

    Yaliyojiri Mkutano wa Kihistoria wa CHADEMA Mwanza, Ulirushwa live kwenye TV na Radio

    Watu tayari wameshaanza kumiminika ktk viwanja vya mikutano Magomeni Kirumba
  7. Unkolonized

    Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

    Waache hila ya kuzuia mikutano ya ukawa kwa kisingizio cha alshabab
  8. Unkolonized

    Mkutano wa kihistoria wa CHADEMA Kahama leo

    Mwambie aje Mwanza aone balaa lake manake shughuli zote zitasimama kwa muda
  9. Unkolonized

    Nguzo za Umeme zaondolewa baada ya Uchaguzi !!

    Mkuu hapa ilishinda ccm!
  10. Unkolonized

    Nguzo za Umeme zaondolewa baada ya Uchaguzi !!

    Katika hali ya kushangaza hapa katika kijiji cha Nyan'homango Misungwi nguzo za umeme zimeondolewa site baada ya kuwa zimerundikwa kwa takribani miezi miwili kwa lengo LA kuwahadaa wananchi kuwa watapata UMEME Kumbe ni hadaa ya mbunge ambaye pia ni naibu waziri wa nishati na madini mhe.Kitwanga !
  11. Unkolonized

    Finally: BBC speaks the truth

    Watuwekee na ile ya IS wanavyowachinja!
  12. Unkolonized

    Mabalozi Ujerumani, Uingereza, Marekani: Hatutahudhuria sherehe za katiba

    "Kwa msaada wa watu was Marekani" patamu hapo!
  13. Unkolonized

    Kumekucha: Maalim Seif Hamad Kujiuzulu umakamu wa kwanza wa Rais Zanzibar

    tume hapo kuna uchochezi gani kwa mfano!Watanzania in waoga was mabadiliko sio tu ya kisiasa hata kibiashara
  14. Unkolonized

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumatano 1 Oktoba 2014 - Upigaji Kura Katiba Inayopendekezwa

    Kama Chenge wanamuita kutoa ufafanuzi was ibara, kwa nini Jaji Warioba na akina Polepole nao wasiwe sehemu ya BMK ili kutoa ufafanuzi wa mile walichokiandika???
  15. Unkolonized

    Tundu hafai kuwa mwanasheria wa CHADEMA

    umbumbumbu unakusumbua kijana na hujui unachoongea, ama --------- tu! Tundu Lissu ameshinda kesi nyingi sana china usimamizi wake zilizofunguliwa na ccm kupinga matokeo ya ubunge wa wabunge mbalimbali wa chadema mf ilemela nk.
  16. Unkolonized

    Live kutoka SAUT Mwanza mkitano wa hadhara wa kamanda Mbowe!

    Afu hizi picha mie sijazielewa wadau, kuna uzi mwingine wameweka picha kavaa gwanda la khaki na wanasema nyomi ya huko mza wakilinganisha na dr. Slaa kule urambo! Mmh, mie simo!!
  17. Unkolonized

    Dkt. Slaa ziarani: Mikutano ya Desemba 6, Mabamba (Muhambwe), Kibondo mjini

    Naona watu wanajitokeza kwa wingi tofauti na inavyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari eti mikutano yashindwa kufanyika, Dr. Slaa azomewa!!!! Go go go CDM!
  18. Unkolonized

    Dr Slaa kulakiwa Kigoma kwa Maandamano.

    Asee huo ni ukweli mtupu! Makamanda tusonge mbele kwa mapambano!
  19. Unkolonized

    Nani Alihamia CCM akafanikiwa?

    Wasira tokea NCCR-Mageuzi
  20. Unkolonized

    Continental Mpeg 4 DVB T/T2 + Digitek Mpeg 4= Sijui kama Startimes watapona!

    chaneli gani mzee tujuze tuanze kupiga bei hiki cha wachina kinaboa sana!
Back
Top Bottom