Search results

  1. F

    Katika SIASA 1+1 sio 2

    Wengi huhitaji kuchaguliwa kuwa viongozi lakini hutaka ajira zaidi na madaraka yatakayo ambatana na malupulupu na huu ndio ukweli.Idadi ya mawaziri ni kubwa mno kiasi kwamba wengi wao hawana uwezo wa ku add value katika jamii ya kitanzania.
  2. F

    Elections 2010 Wana Ludewa wanahitaji kumchagua mbunge

    Wanaludewa wamenyimwa haki yao ya kikatiba ya kumchagua mbunge.Huyo Mbunge anayesemekana alipita bila kupingwa amewanyanganya Demokrasia WanaLudewa.Ndugu Manfred Peter Mtitu Kaza Buti katika Kesi uliyofungua mahakama kuu kanda ya Iringa. Ulinyimwa fomu katika Mazingira ya kutatanisha naomba...
Back
Top Bottom