Search results

  1. Sabayi

    Sijawahi kuona Padre kilema

    Huwezi kuwa Padri kama una ulemavu wowote ule hicho ni kigezo kimojawapo labda upate ulemavu ukiwa Padri tayari so mapadri wote walemavu unaowaona walipata ulemavu wakiwa tayari mapadre
  2. Sabayi

    Tanzia: Bilionea Kimory wa Arusha afariki dunia

    Chill man kila mtu Arusha ni bilionea hulijui hilo ?
  3. Sabayi

    Nchi inaendeshwa na 'KITENGO'?

    Tanzania hakuna waandishi wa habari kuna reporters tu tena sio reporters makini ni reporters wanaoongozwa na matakwa ya matumbo yao
  4. Sabayi

    PICHA: Rais Kikwete akizindua meli mbili za kikosi cha wanamaji JWTZ

    Inasikitisha sana watu mlivyobusy kujadili majina ya hizo meli badala ya mambo ya msingi
  5. Sabayi

    Vifaranga vya Samaki

    Mkuu hakikisha Jani limekauka vizuri kabla hujavuta
  6. Sabayi

    Eti ni kweli bundi akilia karibu na nyumba lazima mtu afe?

    Mwaga maujuzi yako basi mkuu si ulishamaliza ile kozi?
  7. Sabayi

    Ndege ya Jeshi yaanguka na kuwaka moto uwanja wa ndege Mwanza, rubani anusurika!

    Mkuu umepotea sana jukwaani good to hear again from you.Usiwe unakaa kimya hivyo mkuu
  8. Sabayi

    Afya ya Kardinali Pengo

    Hatukumpigia kura kumpa uaskofu wala ukadinali hatutaingia gharama za uchaguzi hata akitutoka (Mungu atuepushie Mbali) So punguza hofu na upiganie kuwapima afya wanaotaka tuwachague kwa kura
  9. Sabayi

    Drip Irrigation System

    Mkuu sina cha kuongeza hapo nadhani Kisima alipitiwa kidogo au ana experience tofauti katika uzoefu wangu sijajua bado the most efficient irrigation system recommended than drip irrigation na inafanya vizuri katika maeneo mengi sana na aina nyingi za udongo cha msingi ni kupata ushauri wa...
  10. Sabayi

    Ufugaji wa mbwa kibiashara na dog training

    Mbona kimya mkuu endelea basi
  11. Sabayi

    Mbwa Rottweiler wa Kike for Sale $2000

    Big up mkuu, can a brother and a sister dog be suitable for breeding purposes?
  12. Sabayi

    Mbwa Rottweiler wa Kike for Sale $2000

    Mkuu achana nao hao hawajui thamani ya mbwa na wala hawajui mbwa ni nini nimeshakutana na mtu amenunua mbwa kwa 9mTzs ndo sembuse hiyo 3m unayouza wewe?
  13. Sabayi

    Yono Auction Mart yafungiwa, Merry chrismass

    https://jamii.app/JFUserGuide these dogs hawa mbwa wametesa sana watu hapa mjini ni ningekuwa mchawi ningeshawapiga vipapai wote wanasumbua sana watu
  14. Sabayi

    Kama Rais mwenyewe anashindwa kuonesha uzalendo sisi wananchi tutaweza?

    Nashukuru umeliona hilo siku zote huwa nasema viongozi wa jamii yoyote ni reflection ya hiyo jamii tusiwashangae viongozi wetu wanatoka kwenye jamii yetu kama walivyo viongozi wetu ndivyo tulivyo Watanzania
  15. Sabayi

    Baadhi ya Majina ya Vigogo waliolipwa pesa za ESCROW

    Washukuru Mungu wanaongoza Matahira ingekuwa nchi yenye watu wenye akili timamu tungekuwa tunatafutana sasa hivi
  16. Sabayi

    Mbegu za Nyanya aina ya Anna F1

    Ni kweli hiyo ni theory ambayo assuming everything is perfect ni kweli itakupa hayo mavuno ila ki uhalisia kuna changamoto nyingi sana so unaweza ishia kuvuna 40 or 50% of that which is also not bad
  17. Sabayi

    Mambo si shwari tena Tanzania vs USA

    Hahahaa you have just made my day
  18. Sabayi

    Zambian President, Michael Sata dies in London

    Maraisi wa Afrika kwanini wanafia ugenini? Waboreshe huduma za afya nchini mwao sasa
Back
Top Bottom