Search results

  1. Mkwere Sumbawanga

    Huyu mtangazaji wa redio Free Afrika yupo wapi kwa sasa?

    Hivi Spencer Lameck yule alikuwa ITV Yuko Wapi yule aliyekuwa anatembea na kampeni za Lowasa za 2015 atakuwa kituo gan kwa Sasa?
  2. Mkwere Sumbawanga

    Hizi Safari za mabasi usiku saa 9, saa 10 ni hatari mno

    Ukisemea safari za usiku wa saa tisa au saa kumi ndo chanzo Cha ajali kwa nn route ya Dar kwenda Moshi/Arusha au Rombo wanaotoka majira ya saa kumi hawapati ajali mara kwa mara? Swala ni kwamba madereva wachukue tahadhari wanapokuwa barabarani hata ulisema gari zianze Toka saa Moja kama dereva...
  3. Mkwere Sumbawanga

    Hizi Coaster za Dar-Moshi USIKU/Moshi-Dar USIKU, Zina utaratibu Gani?

    Kwa Moshi Kila siku zipo njiapanda ya Himo zinaenda Dar
  4. Mkwere Sumbawanga

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari! Nina shida kwenye MITA ya luku inaandika error 1afu umeme umekatika na kwa majirani upo
  5. Mkwere Sumbawanga

    Mapendekezo Utaratibu wa vituo vya Mabasi kutoka Dar

    Hiyo italeta msongomano mkubwa ndani ya Jiji. . . . Ova
  6. Mkwere Sumbawanga

    Tuliwahi kuishi ughaibuni na kurudi bila mafanikio!

    We waona ni singida sio ughaibuni
  7. Mkwere Sumbawanga

    Gari ya kifahari GX V8 husafirisha kiti cha Rais

    Kama kit Cha rais kinafunguliwa Uzi bas tatizo la afya ya akili Bado ni kubwa nchini
  8. Mkwere Sumbawanga

    Kabendera hata kwa trilioni moja, kazi hii unayofanya nakuhakikishia unacheza na usiowajua

    Mpaka Sasa tunaweza Sema 2-1 ngoja tuone game itaishia kwa Nan kushinda
  9. Mkwere Sumbawanga

    Mfugaji huyu wa Kuku wa Mayai 120,000 anapatikana mkoa gani ili tukajifunze kwake?

    Huyu mwenye kuku laki na ishirin akianzisha upatu kama ule wa kalynda atatupiga balaa
  10. Mkwere Sumbawanga

    Bodi ya Michezo ya kubahatisha kwanini mruhusu bonanza za wachina kutumia Tsh 200?

    Unazungumzia wachina wa kalynda kina tomas na ramadhan
  11. Mkwere Sumbawanga

    Kalynda imeondoka na kijiji, Viongozi hawajulikani walipo

    Hawa wameshajipanga hata nyie wa mwanzo lazma wawale tu usicheze na pesa ukishaionja huwez kutoka
  12. Mkwere Sumbawanga

    Nimenisurika mara nyingi kupigwa na utapeli wa mitandaoni kwa kutumia mbinu hii

    Jaman kina Thomas na Ramadhani wa Kalynda bado hawajapatikana tu?
Back
Top Bottom