Search results

  1. Lau_boy7

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Pw kaka ila naomb japo nqmba yko unsaidie ndg yang 0719330344
  2. Lau_boy7

    CARD ZINAZOKUBALIWW NA PAYPAL

    Habarini za kuamka members wa jf nina card ya bank ya NMB MASTERCARD na iko verified kufanya online purchase na nishaijarb mara kadhaa cha ajabu PayPal hawaitaki kila nikijarbu ku link kwenyepaypal inagoma (this card cannot be virifield right now try another c) inanikera sana hii error msaada...
  3. Lau_boy7

    NAHITAJI MSAADA WA KUELEWESHWA TAFADHAR

    thanx bro Mohamed Abubakar
  4. Lau_boy7

    NAHITAJI MSAADA WA KUELEWESHWA TAFADHAR

    nko moro mjini na huduma ipo ndgu yang ila nahtaj kueleweshwa kidg kabla sijawashobokea
  5. Lau_boy7

    Jifunze Jinsi ya kufanya Manunuzi kwa Ebay mtandaoni

    Ndugu zangu na mimi nahtaji msaada hapo jins ya kulink card paypal wanaikataa card yangu ya NMB MASTERCARD nifanye nn au nitmie card gan
  6. Lau_boy7

    NAHITAJI MSAADA WA KUELEWESHWA TAFADHAR

    Ndugu zangu naomba msaada wenu nahitaji kua na huduma ya CTV (cable tv) sasa sielew hat pa kuanzia ni zipi gharama zao na ni nini faida yake na hasara ni channels ngapi zinaoeshwa na ni kwa malipo ya kiasi gani napenda sana michezo na movies nimechoshwa na gharama za DSTV tafadhar nahtaj msaada...
  7. Lau_boy7

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Siasa bhna ni mchezo mchafu kwelvyama pinzan vnaamin Chama tawala ni mafisad na leo wanarduko huko haya maswala ya siasa jaman yataguweka pabaya bure tuchunge midomo yetu
  8. Lau_boy7

    Naomba ufafanuzi kuhusu Cable TV

    Nimechoshwa na Dstv watanitoa damu
  9. Lau_boy7

    Naomba ufafanuzi kuhusu Cable TV

    Guys samahani Kwa usumbufu. Naomba kufahamishwa jinsi ya kujiunga na cable tv, zina madhara gani, faida zake, zina channels ngapi, umuhimu wake na gharama. Ahsanteni
  10. Lau_boy7

    Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

    Ahsante mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Lau_boy7

    Weka neno la kiingereza linalokusumbua kutamka usaidiwe hapa

    Nisaidien Lyrics wadau linanishinda sana Sent using Jamii Forums mobile app
  12. Lau_boy7

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Nlifkilia kuweka over au GG nikaiogopa Sent using Jamii Forums mobile app
  13. Lau_boy7

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Atupe udhbitisho wa mfano wa ticket alizowin hapa bhna hakunaga fundi tunabett huku games zinachezwa ulaya Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Lau_boy7

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Whatsapp numb +255719330344 Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Lau_boy7

    Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Wadau hii game dah ila mwenhe group la betting naomba aniunganishe 0719330344 tubadilishane idea za kushauriana Sent using Jamii Forums mobile app
  16. Lau_boy7

    BASATA yawafungia Diamond Platnumz na Rayvanny kufanya onesho lolote. Tamasha la Wasafi lafutiwa kibali. 'Nyegezi' yawaponza

    Hawa nao hawajitambui bado we nyimbo ishatoka kitaa imeenea africa mashariki na kati youtube ipo karibu social zote ndo wanafungia hawajui kuwa kuangalia wimbo au kusikiliza sio mpk redion au tv zpo smartphones tunadownload kama kwel wako serious na kaz wanatakiwa kuwa wana review wimbo kabla...
  17. Lau_boy7

    Msaada wa scatter file ya vodafone vfd 301

    jamani me ni mgeni hum JF hv mlipataga orignal flash file ya vodafone vfd 300
  18. Lau_boy7

    Jinsi ya kuongeza speed internet yako

    dah hapo mm hata nakosa majibu
Back
Top Bottom