Search results

  1. M

    Anahitajika Mwalimu wa Madereva Haraka

    Habari wadau. Tuna hitajio la Mwalimu wa Madereva (Drivers Instructor) katika taasisi yetu ya (Women on Wheels-Africa) SIFA ZA MUOMBAJI -Awe na uthibitisho wa ualimu wake (Driving Instructor's Certificate Of Registration) uliotolewa na NIT -Awe na nidhamu ya kazi na record nzuri katika...
  2. M

    Dereva Mzoefu na Muaminifu Anapatikana.

    Hello JF Members. Husika na kichwa cha habari hapo juu. Kwa mwenye mahitaji ya dereva muaminifu na mwenye uzoefu, basi amepata. SIFA ZA DEREVA -Ana uzoefu usiopungua miaka 10 katika uendeshaji wa magari makubwa na madogo, na hajawahi kupata/kusababisha ajali. -Kiwango cha elimu ni darasa la...
  3. M

    Unahitaji dereva? Umempata

    Habarini wapendwa Napenda kuchukua nafasi hii; ili kuwasilisha taarifa za mpendwa hapa chini. "Mimi ni kijana wa kiTanzania mwenye umri wa miaka 45, nina uzoefu was zaidi ya miaka 5 katika udereva wa magari. Ninamiliki Driving License Class E. Najitokeza kwenu kwa ajili ya kutafuta nafasi ya...
  4. M

    Hello blogger, unahitajika

    Wakuu natumai nyote mu-wazima. Binafsi ni mgeni katika blogging business, I have gotten my own blog, sasa najua humu kupo na wataalamu na wazoefu wa hii business. Hivyo basi naomba kusikia kutoka kwenu juu ya madhaifu ya blog yangu, uimara wake na nini niboreshe pia on traffic increasing and so...
  5. M

    Ya ndugu Masoud Kipanya (KP) na wengineo

    Habarini wakuu, Niko na imani kuwa nyote mu wazima wa afya. Niko na shida hivi. Nahitaji kufanya mawasiliano na Mr Masoud Kipanya (KP), Mr Daniel Kijo. (Tv 1's presenter) pia Mr Yahya Mohammed (Azam Tv's presenter) kwa issue fulani inayohusu tasnia ya habari. Unfortunately siko na namba zao...
  6. M

    Kuhusu udhamini wa kipindi cha TV

    Hi Jf's members. Ni matumaini yangu kuwa nyote mko vizuri. Wadau niko na shida ya kuhitaji ufahamu juu ya yafuatayo: Nahitaji kutuma proposal kwa ajili ya kipindi cha TV kwa sponsors, tatizo ni kwamba sielewi to whom I should address my proposal: kwa Mkurugenzi/Afisa Mkuu wa Taasisi husika...
  7. M

    Tafadhali, nahitaji msaada wako.

    Hellow JF's members Ni matumaini yangu nyote mu-wazima wa afya. Kifupi, mimi ni kijana mwenye elimu ya Chuo Kikuu katika kozi ya Project Planning and Management, ninaishi mkoani Dar es salaam. Ninajitokeza mbele yenu kuomba nafasi ya ajira. Nina uzoefu usiopungua miaka miwili katika PROJECT...
  8. M

    Nawahitajia ndugu zangu

    Ilikuwa mwanzoni mwa mwaka huu, mara nyingi nilikuwa nikikutana nae kipindi anaelekea kazini nami katika mihangaiko yangu. Alionekana kuwa interested nami, nami eventually nikawa interested nae. Hatimaye tukawa tumeingia katika mahusiano, frankly speaking nilimpenda sana, sikumbuki kama kuna...
Back
Top Bottom