Search results

  1. M

    Mkutano wa Rais Magufuli Kahama: James Lembeli aungana naye. Je, kurejea CCM?

    Katika hali inayoshangaza wapenzi na mashabiki wengi wa CHADEMA ni pale aliyekuwa mgombea Ubunge kupitia CHADEMA ameonekana katika mkutano wa CCM unaoendelea hapa mjini Kahama. Wadadisi wa masuala ya kisiasa hapa Kahama wanadai kiongozi huyo aliyejizolea umashuhuri mkubwa enzi za uongozi wake...
  2. M

    Hatimaye CHADEMA watambua rasmi ushindi wa Magufuli

    Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA kupitia viongozi wake wamezidi kuudhihirishia umma wa Watanzania kuwa wanamtambua Rais Magufuli na wamezidi kupereka kero zao na malalamiko yao kwa Serikali ya Rais Magufuli. Kweli Demokrasia inazidi kupanuka, kama hawa ndio walikuwa wakwanza kupinga...
  3. M

    Julius Mtatiro ageuka na kuwa Kigeugeu

    Dhana ya CCM kumsifia Mh.Rais kwa utendaji wake ulIotukuka..... Rafiki yangu Julius Mtatiro na Ukawa wanapotafuta Political credibility kwa utendaji wa Mh. Raisi Magufuli. Miezi michache iliyopita tilikusikia ukisema kuwa viongozi wa dini (hasa Wachungaji) wananuka njaa, kwa kitendo...
  4. M

    CCM, baada ya uchaguzi hatupokei makapi

    Chama cha Mapinduzi mara baada ya Uchaguzi mkuu wa octoba 25, hakitapokea makapi ya waliokimbialia upinzani. Rais Magufuli kama mwenyekiti mpya wa CCM atakuwa na kasi ya kuimarisha utendaji ndani ya Serikali yake pamoja na chama chake.
  5. M

    Magufuli kuanza na wamachinga

    Dr Magufuli katika serikali yake kwa muda wa wiki ya kwanza anatarajia kuhakikisha wafanyabiashara wote wadogowadogo wakiwemo wamachinga wanapangiwa maeneo stahiki kwa ajiri ya biashara zao. Dr yupo mbioni kuhakikisha kupunguza kodi kwa wafanyabiashara hao ili kutengeneza mazingira rafiki ya...
  6. M

    Wanaharakati tuhakikisha wote wenye halufu ya ufisadi hawapati nafasi

    Kama wanaharakati makini tunaongalia mbali na kutazama maslahi mapana ya Taifa hili mtaungana nami katika kufanya maamuzi magumu. Muda mrefu tumekuwa tukiimba na kupinga mafisadi wa nchi hii kwa kutanguliza maslahi mapana ya Taifa letu. Hivo basi katika uchaguzi huu wa October 25 tuendelee na...
  7. M

    Mimi tarehe 25 ni CCM

    MIMI TAREHE 25 NI CCM: Nimejipanga kisaikolojia,kimwili na kiakili,mimi tarehe 25 Oktoba kura yangu ni kwa CCM tuu
  8. M

    Ni mafuriko, Tabora yazizima

    Mgombea mwenza kupitia CCM, Samia amezidi kuiteka Tabora, maelfu kwa maelfu wajitokeza kumpokea mkoani Tabora.Mama Samia ameahidi serikali yake itajitahidi kuhakikisha wanatoa fursa kwa vijana kupata mikopo na kuweza kujiajiri. Serikali itaboresha miundo mbinu hususani huduma za afya na...
  9. M

    Wako wapi makamanda wa kupinga ufisadi?

    WAKO WAPI MAKAMANDA WA KUPINGA UFISADI: Wale makamanda ambao walikuwa maarufu katika kuzungumzia suala la ufisadi,ambao walikuwa hot hadi mwezi june 2015,baada ya hapa ni kama vile wampigwa ganzi juu ya suala hilo!Nauliza tu,wapi Mnyika,Mbowe,lisu,lema,sugu?Tumemisi kauli zenu na ushahidi wenu...
  10. M

    Harambe ya UKAWA magumashi

    Hivi karibuni umoja wa UKAWA ulianzisha harambee ya wanachama wake kuchangia fedha umoja huo kwa ajil ya kampeni,fedha nyingi zilitolewa na wadau,cha ajabu hadi sasa hakuna ripoti yoyote ya fedha iliyotolewa na hata kuelezwa watu mambo yanaendaje,kujua utaratibu huo wa kuchangia bado unaendelea...
  11. M

    Lowassa aikacha Karatu

    LOWASA AIKACHA KARATU: Leo mgombea urais wa UKAWA Bw.Lowassa aliwatosa wakazi wa Karatu kwa kushindwa kwenda kufanya mkutano huko licha ya maandalizi yalikuwa yalishafanyika. Lowassa aliweza kuhutubia Mto wa mbu leo ambapo eneo hilo na Karatu ni mwendo wa nusu saa tu kwa gari. Upekupeku...
  12. M

    Toroka uje yadoda

    Ule mpango wa umoja wa UKAWA wa kuwarubuni viongozi wa CCM ili wajiunge nao umedoda, leo umoja huo ulilenga kufanya kampen jijini Dar ukiwatumbulisha viongozi ambao waliamini watatoka CCM,mtaarifa zilizopatikana ni kwamba viongozi waliolengwa wote walikataa kurubuniwa huku wakionesha kuwa na...
  13. M

    Lowassa kustaafu siasa

    Kumekuwa na maswali mengi endapo mgombea wa urais kupitia CHADEMA Mzee Lowassa kama ataendelea kubakia CHADEMA au Laa mara baada ya uchaguzi, watu wake wa karibu wanasema kunauwezekano mkubwa akastafu siasa au kurejea CCM japo itategemeana na plan B yake kushindikana. Matarajio yake ni kuzidi...
  14. M

    Magufuli kufuta utendaji wa mazoea serikalini

    Magufuli asema atafumua utendaji wa chama kwa kukijengea chama uwezo zaidi kiuchumi ili watendaji wake na jumuiya zake walipwe vizuri na kuondoa michango ya gharama ndogondogo kwa wapiga kura wake,ameahidi kutoa fursa kwa vijana wanaotoka familia maskini kushiriki na kuitumikia nchi yao kuanzia...
  15. M

    Masaburi na Mashaka wa CUF wachuana vikali jimbo la Ubungo

    Mchuano umekuwa mkali sana Jimbo la Ubungo kati ya wagombea wawili nafasi ya Ubunge. Mashaka Kangole wa CUF na DIDAS MASABULI- CCM, hata hivo wakazi wa Ubungo wanasema watakuwa makini kufanya maamuzi ya kuchagua Mbunge mwenye sifa stahiki. "Mwaka huu hatufanyi makosa" kauli za baadhi ya wakazi...
  16. M

    UVCCM watoa tamko, Wazungumzia Kampeni zinazoendelea na tafiti zilizotoka

    TAARIFA YA UMOJA WA VIJANA WA CCM KWA VYOMBO VYA HABARI JUMAPILI 27 SEPTEMBA 2015. Sote tunatambua Taifa letu sasa lipo kwenye kampeni na ifikapo Oktoba 25 mwaka huu wananchi wenye haki ya kupiga kura katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania watashiriki katika uchaguzi huo ambao utakuwa huru na...
Back
Top Bottom