Search results

  1. P

    Bodi ya mikopo kutoa mikopo kwa wanafunzi wote wenye uhitaji waliokosa kwa mwaka 2016/2017

    daaaah kazi IPO kweli kweli!!! cjajua ni nn kinaikumba nchi yetu;; kila siku yanaibuka mapya yaan daaaaah
  2. P

    Vitabu vya geography

    kiukweli waandishi wetu wa kibongo wanazingua sana. naomba mheshimiwa waziri wa elimu alifanyie kazi suala hili maana wanafunzi wetu wamekuwaq wanakimbilia kutumia vitabu bila kujua ubora wake na kujikuta kwenda chaka katika mitihan yao!!!!!!!! tuchukue hatua
  3. P

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    hata mimi baada ya kukosa lot zote nkaamua kwenda hadi bodi na ikaonekana fomu yangu haikufika, hvyo wakanitaka niandike barua na kuambatanisha nakala ya fomu ya mwanzo! hvyo unaweza kuxubl kumbe details zako hazipo bodi!! nakuxhauri fka bodi ili uhakiki taarifa zako kama zipo!! mungu mwema...
  4. P

    Kuripoti Udom bila Admission letter!

    ingia web ya chuo utaikuta barua yako, bt kama hamna we nenda tu chuon utapewa barua yako!!
  5. P

    Mada maalumu: Mchakato Bodi ya Mikopo 2015/16 (Vigezo na ujazaji fomu)

    wait next week on wednesday the 4th lot of allocation will be out!! pray 4 god guy never give up
  6. P

    Tumekosa mkopo hadi Awamu ya 3

    continuing student bajet yanu ipo wakuu, bt mda co mref wataanza kufanya allocation, kuweni wavumilivu, ngoja tuhudumiwe wadogo zenu kwanza ili tupate xhule
  7. P

    Tumekosa mkopo hadi Awamu ya 3

    tunasubil kuhudumiwa mkuu, inaitwa namba ndo unaingia ndani kuhudumiwa!! off coz huduma ni nzur jaman unapata mda wa kueleza tatzo lako na unapewa ushaur ili umalize tatizo lako!!
  8. P

    Tumekosa mkopo hadi Awamu ya 3

    kuna mxhkaji hapa katoka ndan kanipa ronja kuwa, kaambiwa kuna majina mengine bado wanayafanyia allocation! bt cjui kama kwel mim naxubl niingie
  9. P

    Tumekosa mkopo hadi Awamu ya 3

    ukifika getini utapata namba na mlizi then utaxubil no ako hadi iitwe! daah folen n kubwa xana mpaka nakata tamaa
  10. P

    Tumekosa mkopo hadi Awamu ya 3

    nw nipo kwenye foleni wakuu hapa heslb, nasubili namba yangu ifike zam yake nimepewa namba 64! Tuungane tudai haki zetu jaman
  11. P

    Kwa mara ya kwanza nimeamini life sio fear.. HESlb

    sory mkuu ulivoenda bodi kurekebixha uliambiwa uandike barua?
  12. P

    HESLB watoa awamu ya tatu ya mikopo 2015/16

    msada mkuu hyo S1411/0032/2012
  13. P

    HESLB watoa awamu ya tatu ya mikopo 2015/16

    naomba mxaada mkuu S0449/0186/2012
  14. P

    Nahitaji mawazo yenu, nimekwama

    pole sana kaka, mwombe mungu, pia naamin mungu atafanya njia!! amin ktk yeye
  15. P

    Nimekata tamaa! Ushauri wako ni mhumu sana mwana JF

    katka majina ya waliokosea kuaply jina langu halikuwepo kabisa, pia nilivoenda jana wakanambia niandike barua niambatanishe na nakala ya fomu niliyotuma mwanzo,! bt cjui kama wataifanyia kazi daaah
Back
Top Bottom