Search results

  1. J

    Wananchi wamshauri Magufuli kuongoza vipindi vinne mfululizo

    Hatimaye maelfu ya wananchi wamezidi kupaza sauti wakimtaka Rais Magufuli kubadili katiba na kuweza kuongoza vipindi vingi zaidi kutokana na kasi yake ambayo imekuwa chachu ya matumaini na mabadiliko nchini.
  2. J

    Dr. Fenela njia nyeupe bungeni

    Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM
  3. J

    Magufuli kuondoa 'Mawaziri vivuli' bungeni

    Dr Magufuli katika mpango wake wa kupunguza matumizi ya Serikali yasiyokuwa ya Lazima, anatarajia kupunguza baraza la mawaziri, watakaokuwa wachache na wenye viwango stahiki. Aidha pia anatarajia kupeleka mswada bungeni wa kuondoa mawaziri vivuli ili pia kupunguza gharama zisizo za lazima...
  4. J

    CHADEMA yameguka vipande viwili

    Kadri siku zinavyozidi kwenda mbele migogoro imezidi kujikita ndani ya chadema na sasa kuna makundi mawili ambayo ni chadema asilia na chadema pesa. Hayo yote yamekuja baada ya chama kuwakaribisha mafisadi na kupewa nafasi za kugombea wakati wazalendo wakikosa fursa hizo. Kundi la pesa...
  5. J

    Lowassa analipiza kisasi kwa Chadema?

    NIANZE kwa kuwaomba radhi wasomaji wangu kwamba sitaonekana tena katika safu hii kuanzia toleo lijalo hadi mwanzoni mwa Desemba mwaka huu. Sababu yenyewe ni kwamba narejea kijijini kwangu wiki hii kwa ajili ya shughuli zangu za kilimo. Msimu wa kilimo utakapomalizika nitarejea tena Dar...
  6. J

    Vijana wa CHADEMA wajiunga na Mama Samia Dodoma

    Wafuasi na wanachama wa chadema waungana na Mama Samia katika kunadi sera za CCM mkoani Dodoma...
  7. J

    Wakazi wa Ludewa wamtolea machozi Magufuli

    MAGUFULI KUIPA KIPAUMBELE LUDEWA KWENYE MIUNDO MBINU. Mgombea wa Urais kupitia CCM Ndg. John Pombe Magufuli akiwasili kwenye uwanja wa Fisi kata ya Madaba ambapo alihutubia...
  8. J

    Pombe Magufuli aitikisa Makambako,Mafinga na Mufindi

    MAGUFULI APOKELEWA NA MAELFU YA WAKAZI WA MAKAMBAKO: Mkutano wake waweka historia Kada maarufu wa Chadema anayefahamika kwa jina la Gift Sikauka Mwachang'a ajiunga na CCM Magufuli atoa somo kwa vijana kujua wapi nchi imetoka, ilipo na inapoelekea Aahidi kufanya maendeleo makubwa na...
  9. J

    Magufuli na baraka za Mwalimu Nyerere

    MAGUFULI NA BARAKA ZA MWALIMU NYERERE: Hii ilikuwa ni hotuba ya Baba wa taifa Mwl. J.K.Nyerere 1995 katika mkutano wa CCM kumpitisha ngombea urais wa TANZANIA. "Watanzania wanataka mabadiliko, wasipoyapata ndani ya CCM watayatafuta nje ya CCM. Yapo mambo watanzania wanayataka uongozi huu...
  10. J

    Adui wa mabadiliko ni mpiga kura

    ADUI WA MABADILIKO NI MPIGA KURA Watanzania katika hali ya kimantiki hatuwezi kupiga hatua kama hatujui adui yetu ni nani. Adui wa watanzania sio CCM, adui ni ujinga wetu wa kutotaka kujua ukweli, mnajua wanamtandao ambao wapo nchini na wapo kwa maslahi ya kushika dola na kuendelea...
  11. J

    Magufuli, ndani ya siku 30 za mwanzo fisadi wote watakamatwa

    Dr Magufuli amesema katika siku zake 30 za mwanzo, Serikali yake itahakikisha wale wote wenye makandokando mengi ikiwemo mafisadi wanakamatwa na kufikishwa katika vyombo vya sheria.Anataka Tanzania iwe ni kisiwa na watu wenye uadilifu.
  12. J

    Wakazi wa Kibamba kufanya maamuzi magumu

    Wakazi wa Jimbo la Kibamba wapo katika maandalizi ya kufanya maamuzi magumu kutokana na aliyekuwa Mbuge wao kutoshughulikia tatizo la Maji.Hata hivo wakazi hao wanashangazwa na kauli ya kwamba tatizo hilo litapatiwa ufumbuzi endapo atachaguliwa tena. Kutokana na ahadi zisizotekelezeka...
  13. J

    Lowasa,watanzania wanahitaji mabadiliko

    LOWASA,WATANZANIA WANAHITAJI MABADILIKO: Mgombea wa UKAWA Lowasa aliwahi Sema hivi; Hata kipindi hiki Watanzania wanapohitaji Mabadiliko, wanaendelea kuwaamini mabadiliko hayo watayapata ndani ya CCM - Watanzania wanajua na Dunia nzima inajua. Mwl Nyerere alisema Rais atatoka Chama...
  14. J

    Mgombea wa urais na maneno ya ukakasi

    Miezi miwili na ushee iliyopita mgombea huyu aliulizwa na wahariri wa magazeti iwapo atahama CCM kama haitamchagua kugombea urais mwaka huu. Jibu lake lilikuwa kwamba hatahama CCM kamwe kwa sababu ilimlea, na kwamba huyo ambaye hamtaki ndani ya CCM ndiye ahame chama hicho! Hata hivyo, kabla...
  15. J

    Mahaba na webu saiti

    Taifa la Tanzania linataraji kufanya uchaguzi mkuu wa Serikali tarehe 25/10/2015:Kampeni za vyama zimekuwa zikiendelea kwa muamko mkubwa sana!Wananchi wengi tofauti na chaguzi zilizopita wamekuwa wakijitokeza kwa wingi kusikiliza sera na mikakati ya wagombea mbalimbali.Ukiachana na wagombea wa...
  16. J

    Mfumo unaotumika UKAWA

    Kuna jambo jingine wanasiasa waupinzani wanatuaminisha kuwa CCM ina mfumo mbovu hata aje Malaika hawezi kusaidia kitu kubadili mfumo. Hebu tufikIri kwa pamoja kama hii ya upizani si mifumo 1.CHADEMA Ni chama kinachojinasibu kwa demokrasia na kikiitaji tanzania kuwa na demokrasia. MFUMO Tangu...
  17. J

    Kumbe urais ni fulsa ya kupiga tu

    KUMBE NI FULSAYA KUPIGA TU ~Akiwa waziri mkuu kipindi chake chote nchi ilikuwa ikiingia gizani kati ya siku 7-21 tena kwa mgao mkali huku yeye akiuza majenereta kupitia kampuni yake ya BARARE. ~Alipokuwa waziri mkuu ndiyo yeye alikuja na hoja ya maigizo eti ili kukabiliana na tatizo la...
  18. J

    Wanachama zaidi ya 600 na viongozi wa CHADEMA Vunjo wahamia CCM

    Wanachama 600 na viongozi 15 wa Chadema Jimbo la Vunjo wahamia CCM. Taarifa tuliyoipokea kutoka jimbo la Vunjo ambalo Mwenyekiti wa Chama Cha NCCR MAGEUZI anagombea ubunge katika jimbo hilo,huku baadhi ya wanachama na wagombea wa Vyama vinavyounda UKAWA kutokumuunga mkono James Mbatia...
  19. J

    Mgombea mwenza kurejea CUF

    Kutokana na mivutano inayoendelea ndani ya viongozi wa upinzani, taarifa zinasema, kumekuwa na malalamiko kutoka kwa viongozi wa CUF upande wa Tanzania bara kulalamikia kutotimizwa kwa makubaliano yaliyofikiwa wakati wanaungana katika umoja na kupinga namna CHADEMA wanavyoendesha umoja huo...
Back
Top Bottom