Dr. Fenela njia nyeupe bungeni

Josorobert

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
629
215
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM
 
Musimdanganye bure huyo dada yangu! Mbona tayari kashanieleza ya kwamba kakata tamaa? Anaona hata sisi wanaCCM wenzake wengi tukowanafiki tu! anajuta hata kugombea!
 
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM

sERIKALI ZA MITAA MLIPATA MINGAPI??
 
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM

Kwii kwiii labda kama ni njia nyeupe ya kurudi UDSM kwenda kugawa vitabu Makitaba!
 
Dr Fenella yupo katika njia nyeupe kuelekea Bungeni, wakazi wa Kibamba wanadai Dr Fenella ataibuka kidedea katika Jimbo hilo,wakazi wa jimbo hilo wanasema wao ni Magufuli na Dr Fenella kutokana na uwezo wa kiutendaji kwa wagombea hao wa CCM
Mkuu hata kama unakula pesa za mama, mwambie ukweli
 
Back
Top Bottom