Search results

  1. M

    Ajali mbaya: Basi la Sumry laua 14 huko Singida!

    wahini msiwe wajinga wahi gambushi au huko kigoma kwa wale wa si.tosahau rfa mnaelewa
  2. M

    Ajali mbaya: Basi la Sumry laua 14 huko Singida!

    Ni uchawi wala. hauna shaka. wenye ndugu nendeni gambishi.
  3. M

    hiki ni kiingereza?

    What is your appropriate phrase to response to your customers for an answered call?
  4. M

    hiki ni kiingereza?

    Tuheshimiane
  5. M

    Shirika la umeme tanzania (tanesco) mbona matatizo mengi?

    present your problemto TANESCO. Failure tocommunicate effectively often makes it difficult to resolve complaints. Haveall relevant information at hand when make a contact. Whenyou realize that your attempts to contact TANESCO are being ignored, or the refuses to help you, communicate in...
  6. M

    Udhaifu wa serikali ni udhaifu wa rais

    Inna lillah wainna illaih rajiun
  7. M

    Wataalamu wa mitandao nisaidieni HAWA WATU WANATAKA NINI?

    Haya maelezo ni ya kweli kabisa, wala usijaribu kuwaendekeza kwani waonekana wakweli unaweza ukashawishika. Kuna mmoja alinipotezea muda eti mume wake ana cancer yupo mahututi kampa maagizo atoe pesa zake msaada kabla hajafa. alituma mpaka picha yake na mumewe akiwa kitandani. Nikaenda benk moja...
  8. M

    January Makamba Arekodiwa Siku Nzima Akiwa Hajui!

    Umeiangalia? Kuna sehemu anakula?
  9. M

    January Makamba Arekodiwa Siku Nzima Akiwa Hajui!

    JK anaingiaje? Sijui kesho kwa mungu utaeleza nini juu ya chuki zako? dunia ni mapito maisha yako baadae.
  10. M

    Mtanzania akamatwa akiwa na Madawa ya Kulevya United Arab Emirates (UAE)

    Ni akina nani hao waliopunguza idadi ya watz kwa tamaa ya mapesa yanayotokana na kuwaumiza wengine. Wataje majina yao matatu ili tuwafahamu na ikibidi tuwape pole jamaa zao. Inasikitisha sana, kuna mzee kaacha mke na watoto kwa tetesi ni kwamba keshauawa nchini china.
  11. M

    Usia wa Shekh Ponda kabla ya kutekwa na askari kanzu,pale MOI na kupelekwa Segerea

    Umeeleweka wala usindelee kwani matusi yataharibu jumbe.
  12. M

    Mwanaume ni sawa na Mwanawake.

    Hawana cha kuongea.
  13. M

    Namtafuta yule alietayari PM

    Maelezo yangu binafi nitakupa baada ya kuni PM
  14. M

    Mpenziwangu hataki tufanye romance

    Pole sana, Inaelekea humwendei vizuri, badilisha utaratibu huku ukimuuliza kwa mapenzi kwamba unatakaje mpenzi? Kama walivyosema wengine huenda unanuka mdomo au mwili. Tafuta shower jelly za kiume au sabuni kali kama imperial na dawa za meno zenye kukata harufu, kisha uoge na kupiga mswaki...
  15. M

    Taarifa ya msiba wa mama yangu mpendwa.

    Pole sana, Mungu akutie nguvu kipindi hiki na mkampunzishe vyema mama yetu mpendwa.
  16. M

    Walimu tufanye ivi kukomesha dhalau

    Bado hajaoa, du kichefu chefu
  17. M

    Mjue kijana Mtanzania aliyeonja chungu ya vita ya Wasomalia

    Watu wanafikwa na makubwa, lakini naona kama hujamalizia hadi alipofika salama TZ? If You Tell The Truth, It Becomes A Part Of Your Past If You Lie, It Becomes A Part Of Your Future! Choice Is Yours!
  18. M

    Kuwajadili haisaidii

    Naona kama hujaeleweka labda ufafanue unacholenga.
  19. M

    Nampenda mpenzi wangu

    Hii nakupa ya ukweli kutokana na maisha yangu. Usijifanye kidume cha kutongoza utotoni utaishia O level. Mimi nilivyokuwa O level kuna kidume kilikuwa kinanifuatilia sana. Kwa ufupi nilikuwa nasoma shule moja kilimanjaro yeye yuko Tanga. Akiandika barua nikawa nashidwa cha kumjibu kwamba...
Back
Top Bottom