Habari za muda wadau,
Ndio naingia viwanja vya "Mwembeyanga" hapa tayari uwanja umeshona, barabara za lami zinazopita hapa zimefungwa.
Kweli Lowassa kipenzi cha watu.
Naleta picha muda si mrefu wadau.
Hatutaichagua UKAWA kwa sababu ni Upinzani bali TUTAICHAGUA ukawa kwa sababu ni tumaini jipya katika siasa ya nchi yetu yenye kuleta mabadiliko.
Tutaichagua ukawa kwa sababu inasimamia KATIBA ya wananchi yenye kubeba matumaini ya wananchi kwa maslahi mapana ya nchi yetu.
Tutaichagua ukawa kwa...
Habari za jioni
Hivi nawashangaa sana ccm, baada ya kupewa madaraka ya kuongoza nchi hii zaidi ya miaka 50 wamepora rasilimali zetu, wamejilimbikizia mali kwa wizi, rushwa na ufisadi, wameishi maisha ya kifahari huku watanzania tulio wengi
Tumeishi maisha ya shida, elimu duni, dawa...
Hakuna mtu anayejua kucheza vzr na siasa ya Tanzania. Lowassa ni mastermind anajua watanzania ni washabiki wa matukio.
Anachofanya lowassa na kambi yake nikuwaingiza wapinzani wake kwenye angel kichwa kichwa kana kwamba hataki mdahalo then aibuke kwenye mdahalo na kujibu maswali vzr.
Ni imani...
Hivi kweli magamba hawaoni wananchi wanataka mabadiliko? Wanajitoa ufahamu kwamba bado wanakubalika na wanayo nafasi ya kuongoza tena zaidi ya miaka 50.
Ukweli ni kwamba wamepatwa na upofu na ndio kuondoka kwao madarakani, Tanzania ya karne hii sio ile ya zamani watanzania wamechoka na ugumu...
Mwaka 2010 mgombea wetu Dr. Wa mihogo alipotaka mdahalo na wagombea wengine wa urais, yule wa ccm aliingia mitini.
Sasa kuna haja gani leo kutulazimish mdahalo wkt previous mlisusia, na sisi tunasusia huu sio lazima tuhudhurie mdahalo
Mzee anamwaga sera mikoani na wananchi wamemuelewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.