Search results

  1. pakapori

    Car4Sale Canter tipper inauzwa

    Habari ya muda huu wakuu.., Poleni na majukumu ya Kila siku, bila kuwachosha nimekuja Kuna canter tan 3 inauzwa Bei ni sh. 16,500,000/- iko katika hali nzuri kabisa na sio ya udalali ipo nyumbani kimara mwisho mtaa wa matosa. Contact: 0786412030
  2. pakapori

    Bomba za canter

    Habari wakuu.., Samahani kwa usumbufu, najua mtakuwa mmelala saizi. Bila kupoteza muda wacha nieleze shida yangu. Natafuta bomba za body ya Canter urefu wa futi 8 na upana wa futi 5.8. Kwa yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane, its very urgently yaani inahitajika soon as possible. Location...
  3. pakapori

    Naomba kujua zaidi biashara ya mpunga

    Habari za wakati huu, naimani ni wazima bukheri wa afya na mungu anaendelea kutupigania kila iitwapo leo. Niende kwenye mada moja kwa moja. Binafsi nimekuwa na mpango mkakati kwa muda sasa kuhusiana na kipindi hiki cha mavuno. Nia na dhumuni ni kutaka kuingia kwenye soko la mavuno hususani...
  4. pakapori

    Gari aina ya Canter limekosa kazi, kwa yeyote anayetaka kufanya nalo kazi!

    Habari ya muda huu Wakuu Ni Jumatatu nyingine ya kuanza pirika pirika ya kutafuta riziki ili kupambana na maisha bila kuchoka. Niende kwenye mada husika bila kupoteza muda, hapa home kuna Canter imekosa kazi sasa ni mwezi wa tatu hakika naumizwa ninapoiona imekaa chini haiingizi hata shilingi...
  5. pakapori

    CANTER YANGU IMEKOSA KAZI

    Habari ya muda huu wakuu, Ni jumatatu nyingine ya kuanza pirika pirika ya kutafuta riziki ili kupambana na maisha bila kuchoka. Niende kwenye mada husika bila kupoteza muda, hapa home kuna Canter imekosa kazi sasa ni mwezi wa tatu hakika naumizwa ninapoiona imekaa chini haiingizi hata shilingi...
  6. pakapori

    What else..?

    Ukiachana na hiyo ni kipi kingine..?? [emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
  7. pakapori

    Chemsha bongo

    .
  8. pakapori

    Chemsha bongo

    Wakuu nimeahidiwa na mrembo flani hivi kama nikipatia hii atanipa zawadi nzuuuri.., sasa na mimi siitaji kuikosa. Naombenii msaada niweze kuipata hii zawadi nzuuuri.., Sent using Jamii Forums mobile app
  9. pakapori

    WAKUU IMEKAAJE HII, NIMEIOKOTA MAHALA

    Salaam Fursa, Fursa, Fursa ETERNAL INTERNATIONAL HEALTH CARE Kampuni ya ETERNAL INTERNATIONAL kutoka inchini China Barani Asia Inatangaza fursa za kazi. Inahitaji zaidi ya wafanyakazi 1000 wa kufanya nao kazi. Mafunzo yatatolewa bure hapo hapo kwenye kampuni kabla ya kuanza kazi. Kama ulikuwa...
  10. pakapori

    NANI KASEMA KISWAHILI KIRAHISI..!?

    1. Charger - kimemeshi 2. Remote - kitenzambali 3. Password - nywila 4. Akala (bladder shoes) - kirikiri 5. Passion fruit - karakara 6. Kangaroo - bukunyika 7. Fridge - jokofu 8. Juice - sharubati 9. Chips - vibanzi 10. PHD - uzamifu 11. Masters degree - uzamili 12. Degree - shahada 13. Diploma...
  11. pakapori

    Wale wa Jiteute mnakumbuka nini..!?

    Ukiona hii nembo unakumbuka nini..,[emoji23][emoji23]
  12. pakapori

    Nahisi kutolewa knockout kwa hili swali.

    Habari ya sikukuu mabibi na mabwana, Mimi ni kijana mwenye miaka 20+.., jana nilibahatika kuona tangazo la kazi nchini UK, sasa katika kuapply kuna baadhi ya maswali unatakiwa uyajibu something like written interview. Swali linauliza Je, "we love meeting people who leave things a bit better...
  13. pakapori

    Jukwaa la Great thinkers

    Habari ya muda huu.., Niende moja kwa moja kwenye mada, leo nimejaribu kuingia jukwaa la Great thinkers asee ila cha ajabu nimekatazwa kureply thread flani hivi nilioikuta huko na kuja kucheki nakuta thread zote ziruhusiwi kureply. Nikasema isiwe shida wacha niende kwenye option ya kutandika...
  14. pakapori

    Sikupendi..,[emoji26]

    Sikupendi… (hmmmm) Sikupendi… (aaaahh) Sikupendi… (eeeehh) Sikupendi (Max Maixer) Sikupendi Kichwa wanipasua.., Unanichapa fimbo Moyoni napata tabu, Unajishaua unamalingo Kama una sura ya Dhahabu, Ni miaka sasa nakufata Ndala zangu zote umekata, Kutoka tegeta hadi tabata Mpaka visigino...
  15. pakapori

    Maji yapi ni sahihi kwa kumchua mtu aliepata maumivu au majeraha ya ndani kwa kuteguka, kushtuka?

    Habari ya muda huu wakuu, poleni na majukumu yanayoendelea kwa siku ya leo. Moja kwa moja niende kwenye mada husika, kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu. Nimekuwa ni mkanganyiko wa ufahamu juu ya hivi vitu viwili kipi ni sahihi kwa wakati upi. Maji yapi ni sahihi kwa kumchua mtu...
  16. pakapori

    Sina Amani..,

    Maombi yenu wakuu..[emoji22]
  17. pakapori

    Wrong number

    Ni mimi kabisa hujakosea
  18. pakapori

    Fumbo...,

    Sayansi kwa vitendo..,
  19. pakapori

    NIKO NAWAZA...,

    Habari ya muda huu wakuu.., Niko nawaza hapa mzungu asiejua kiswahili hata kidogo ikitokea yupo Tanzania na akapata shida flani ya kumfanya akatafute msaada kituo cha polisi nina imani atapata ushirikiano mzuri kwa lugha anayotumia, ila sina hakika kwa mmbongo alieko nchi za magharibi ya...
  20. pakapori

    FLAT TV NA SOFA ZINAUZWA

    Flat tv na sofa mbili zinauzwa bei maelewano. Location Iringa mjini semtema. Karibu PM
Back
Top Bottom