Search results

  1. pakapori

    Car4Sale Canter tipper inauzwa

    Bandugu nakumbushia tu gari bado ipo tuendelee kuwasiliana
  2. pakapori

    Car4Sale Canter tipper inauzwa

    Mbali Sana huko mkuu
  3. pakapori

    Car4Sale Canter tipper inauzwa

    Soma vizuri kadi ya gari mkuu wachana na hizo address za kwenye body
  4. pakapori

    Car4Sale Canter tipper inauzwa

    Nimepost kadi ya gari, umeisoma lakini au umeamua ucomment tu unachojisikia
  5. pakapori

    Car4Sale Canter tipper inauzwa

    Karibu WhatsApp mkuu picha zipo za kutosha pia unaweza kufika nyumbani na ukalikagua Naleta mkuu
  6. pakapori

    Car4Sale Canter tipper inauzwa

    Yes mkuu kata ya Goba
  7. pakapori

    Car4Sale Canter tipper inauzwa

    Engine yake na body yake ni kubwa zenye uwezo wa kubeba na kusukuma tan 3 mkuu
  8. pakapori

    Car4Sale Canter tipper inauzwa

    Habari ya muda huu wakuu.., Poleni na majukumu ya Kila siku, bila kuwachosha nimekuja Kuna canter tan 3 inauzwa Bei ni sh. 16,500,000/- iko katika hali nzuri kabisa na sio ya udalali ipo nyumbani kimara mwisho mtaa wa matosa. Contact: 0786412030
  9. pakapori

    Bomba za canter

    Wacha nijiandae niende sasa hivi kabla sijachelewa
  10. pakapori

    Bomba za canter

    Shukrani kwa kunipa wazo, za kuchonga gharama ni kubwa mno sio chini ya milioni kasoro laki nne hivi.., naimani zilizovuliwa bei itakuwa pungufu
  11. pakapori

    Bomba za canter

    Habari wakuu.., Samahani kwa usumbufu, najua mtakuwa mmelala saizi. Bila kupoteza muda wacha nieleze shida yangu. Natafuta bomba za body ya Canter urefu wa futi 8 na upana wa futi 5.8. Kwa yeyote mwenye nayo naomba tuwasiliane, its very urgently yaani inahitajika soon as possible. Location...
  12. pakapori

    Naomba tufahamishane bei za mpunga maeneo mbalimbali.

    Hili debe ni la lita ngapi asee.., kama ni lita 20 mbona ni mauza uza..[emoji33][emoji33]
  13. pakapori

    Naomba kujua zaidi biashara ya mpunga

    Habari za wakati huu, naimani ni wazima bukheri wa afya na mungu anaendelea kutupigania kila iitwapo leo. Niende kwenye mada moja kwa moja. Binafsi nimekuwa na mpango mkakati kwa muda sasa kuhusiana na kipindi hiki cha mavuno. Nia na dhumuni ni kutaka kuingia kwenye soko la mavuno hususani...
  14. pakapori

    Gari aina ya Canter limekosa kazi, kwa yeyote anayetaka kufanya nalo kazi!

    Hesabu huwa ni za kawaida kwa madereva wote uwiano wa hesabu kwa siku huwa hautofautiani kulingana na aina ya gari na kazi inayofanya Sent using Jamii Forums mobile app
  15. pakapori

    Gari aina ya Canter limekosa kazi, kwa yeyote anayetaka kufanya nalo kazi!

    Canter ni tani 3.., picha zinakuja mkuu. Na naiamini kwasababu imetoka kufanyiwa full maintenance na haijaingia tena mzigoni Sent using Jamii Forums mobile app
  16. pakapori

    Gari aina ya Canter limekosa kazi, kwa yeyote anayetaka kufanya nalo kazi!

    Naamini itapata mkuu maana mimi sio dereva na sifahamu channel za madereva, ndomanaa nimeamua kuja humu kutangaza Sent using Jamii Forums mobile app
  17. pakapori

    CANTER YANGU IMEKOSA KAZI

    Dereva sio tatizo, swala ni kwamba una tenda za kutosha kuweza kukamilisha makubaliano na boss.., Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom