Search results

  1. L

    Gavana wa BOT atangaza Serikali kuichukua na kuisimamia Benki ya Twiga Bancorp

    Twiga Bancorp, Tanzania Postal Bank na Tanzania Women Bank zote ni benki zinazomilikiwa na serikali kwa 100%. Ni aina ya benki zinazoitwa TAASISI ZA FEDHA (Financial Institutions). Tofauti kubwa kati ya benki hizi na benki za kawaida za biashara ni mbili: 1. Zilikua zinaanzishwa na kutakiwa...
  2. L

    Tuwe fair kidogo Wazungu wanaonewa kuhusu Ubaguzi!

    Inherently kila binadamu ana ubaguzi ila tu suala ni kuwa tunapishana kwa viwango. Hata hivyo comparatively, WAZUNGU ndio race ambayo ina kiwango kidogo cha ubaguzi ukilinganisha na race zingine. Ndio race ambayo kwa kiasi kikubwa inaweza kukubali kuishi sambamba na jamii zingine inazotofautiana...
  3. L

    Ndege kubwa zaidi duniani kuanza kufanya kazi soon

    ....sio kweli kuwa Concorde ilikua ndio ndege kubwa kuliko zote, ila ilikua ndio ndege ya abiria iliyokua na spidi kubwa kuliko zote. So far Airbus A380 ndio kubwa kuliko ndege zote ikiwa inabeba abiria kati ya 500 na 800 kutegemeana na mpangilio wa viti. Concorde ilisimamishwa kutumika...
  4. L

    Burundi Wanaangamia,Maelfu Wanazidi Kufa,Africa Ipo Kimya

    ...this is one of the foolish post I have read lately! Kwa kuwa akitawala mihula mitatu Warundi hawatadhurika hivyo ni sahihi wangemwachia tu? Kwa hoja yako kama anaongoza vizuri basi aruhusiwe kutawala mpaka mwisho wa maisha yake!
  5. L

    Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Rais Dkt. John Pombe Magufuli

    Naamini humaanishi hapo kwenye red, hakuna CEO wa benki hapa Tanzania anayepata salary ya TZS 100.00 million. Labda ulimaanisha salary yake pamoja na pesa anyaopata tokana na ma-deal mengine!
  6. L

    EGMA (kampuni ya Kitilya na Mboya) vs Stanbic bank

    ...mwenzake na Harry Kitilya (former boss wa TRA) alikua anaitwa Dr. Fratern Mboya (ni marehemu sasa) alikua boss wa CMSA na enzi hizo aliwahi kuwa Dean-Faculty of Commerce and Management - UDSM..
  7. L

    Vigezo vitumiwavo katika kubadilisha thamani ya fedha kati na nchi moja na nyiingine

    Shukrani kwa maelezo mazuri NullPointer. Production na exports ndio kila kitu ili kupanda na kushuka kihalali kwa thamani ya fedha ya nchi. Sababu nyingine inaweza kuwa maamuzi ya nchi kuvutia uwekezaji, serikali kupitia Benki Kuu inaweza kuamua kwa makusudi kushusha thamani ya sarafu...
  8. L

    Top 10 Aiports chafu Afrika: Dar es Salaam inashika nafasi ya nne

    Kitendo tu cha kuwa na airport ni kujilinganisha na watu wengine. Pole sana ndugu yangu umezoea mazingira machafu hadi unaona Dar Airport ni safi? Kwa maoni yako ubora katika sekta mbalimbali utajipimaje kama sio kuangalia nchi zingine zinafanyeje?
  9. L

    Mtangazaji wa ITV Hemed Kivuyo, atosha

    Kwa msikilizaji yeyote mwenye weledi na ufahamu mkubwa wa kujua mambo huyu jamaa ni kifaa! Lakini kwa bahati mbaya asilimia kubwa ya hadhira inayomsikiliza haiko level hiyo.Ndio maana watu wengi wakisikiliza taarifa yake wanaishia kuulizana: kasema nini...? amesemaje..? Kwa maana hiyo generally...
  10. L

    Kabila la wanyakyusa

    ...heeee hheee, gwamyitu gwitetesiege! Amahelu gogafiki?
  11. L

    Kabila la wanyakyusa

    ...nkhonyofu fijo uju! Gwakunkomamo ni-ngili mmatugalilo!
  12. L

    Ajali mbaya leo asubuhi Dar es salaam

    So sad indeed! May GOD console the relatives and friends...i know how painful it is to lose a loved one particularly through accident. I lost my lovely young brother sometimes last year in a tragedy similar to this one. May the Almighty GOD Rest Him In Peace!
  13. L

    Iron Dome: Mfumo wa kudaka makombora wa Israel!

    ...kwa ufupi ni kwamba makombora yakipigwa mtambo wa Iron Dome unayeyusha makombora hayo kuyafanya harmless- yasiwe na madhara yoyote. Kumbuka mitambo iyo ina uwezo wa ku-predetermine target ya kombora. Kama halitaangukia maeneo walipo Waisrael haliyeyushwi liinachwa litue.Lakini likiwa na...
  14. L

    Abducted Israeli teens found dead

    Mkuu, Jeshi la Israel wasingekuwa wajinga kuichapa Gaza wakati watekaji/wauaji walitoka Hebron. Kilichojiri ni kuwa taarifa za kiintelijensia za Israel zilionyesha waliohusika walitoka Gaza ndio maana mashambulizi yalilenga kwenye maeneo yanayoaminika kuwa either ni makazi ya watuhumiwa hao au...
  15. L

    Abducted Israeli teens found dead

    Wakuu wana JF, tangu vijana hawa watatu watekwe zaidi ya wiki mbili zilizopita hali imekua tete zaidi. Niko Israel karibu sana na one of their military bases kwa muda wa wiki mbili sasa. Jana usiku kabla maiti hazijapatikana nilikaa sehemu nikipata dinner hali niliyoihisi kutoka na ndege kuruka...
  16. L

    Tujikumbushe Mabasi ya abiria ya zamani tokea tupate uhuru

    HEISAM Bikuti Tubuke, miaka ya 80s hiyo ni Mwakaleli-Tukuyu-Mbeya!
  17. L

    FASTJET mmetusaidia sana wafanyabiashara Tanzania

    Wala sio masaa mkuu, ni SAA MOJA NA DAKIKA 15 hivi! Hongera Fast Jet...
  18. L

    Twiga Bancorp Running Bankrupt

    ....it is very unfortunate that some people are so unwise that they air out half cooked bank's info which may have detrimental effects to the smooth operation of our banking sector in our country! I strongly urge the moderator to scrutinize whatever post one wants to post before allowing it in...
  19. L

    Taja vitu vilivyokukera jana kwenye sherehe za muungano

    ....kuwatisha wananchi si jambo jema! Muungano ulindwe na wananchi wenyewe kama kweli ni wa kwao kuliko kulindwa na JWTZ!
  20. L

    Nimechaguliwa Course ya Dental laboratory technician, tupeane ushauri

    ....ndugu yangu, niliposoma bandiko lako nimepata mshituko wa ghafla kwani wewe msomi wetu utakayekuja kutuhudumia afya zetu miaka miwili au mitatu ijayo umekosa umakini kiasi hicho! Yaani hujui kozi uliyoomba mwenyewe inahusu nini? Hata jina lenyewe la kozi sidhani kama umeliweka kiusahihi...
Back
Top Bottom