Search results

  1. Matola92

    Naomba msaada wa tatizo la michubuko kwenye midomo

    Kwa wataalam naomba kujua nna michubuko midogo midogo Kwenye lips zangu inachoma choma mithili ya pilipili. Je Ni ukosefu wa nutrients flan pia tiba yake ni nini tafadhali
  2. Matola92

    HESLB yatoa majina ya waombaji yasiyo na BIRTH CERTIFICATE, hamkuona haya mapungufu tangu mwanzo?

    Jamaa zetu wa HESLB, watoto wa maskini tunahitaji sana uadilifu wenu wa kazi, wakati mnatoa majina ya waombaji waliokosea hizo fomu mlizotoa majina leo zilifichwa wapi? Mnatuvunja moyo!
  3. Matola92

    Kwanini Tigo inaweka matangazo katikati ya maongezi mtu anapobakiwa na dakika moja?

    kwa upande wangu naona ni usumbufu ninapoongea na mtu nabakiwa na sekunde 60 ambazo ningeweza kuelewana na mwenzangu halafu naingiziwa maongezi yanayokata mawasiliano yetu, kwanini usiwekwe mlio mmoja wa kuashiria muda wa maongezi unakatika?
Back
Top Bottom