Search results

  1. Matola92

    Picha: Ajali basi la New Force Morogoro

    Sasa ndugu ni kampuni moja tu inayodhurika na hayo matunguri? Mbona ndo wanaongoza kwa ajali Road hili
  2. Matola92

    Siasa za Udahili: Muslim University of Morogoro

    Wewe na TCU nani anakijua chuo kiundani utaumia Bure ndugu yangu mtaendelea kufungiwa na kurudia miaka mnapohamishiwa vyuo vingne polee
  3. Matola92

    Siasa za Udahili: Muslim University of Morogoro

    Mtoa Mada umekurupuka huna data,mm npo mum BSED, kuna kozi za islamic studies ndo wanataka uwe umesoma hill somo LA dini kama zilivyo kozi zingne huwezi kusomea udaktari alafu biology isiingaliwe utachekesha,ila sio wote wanaochukua masomo hayo mbn wakristo tunao wengi wamesomea wapi somo LA...
  4. Matola92

    Alama ya nyota na mwezi misikitini humaanisha nini?

    Hhaina maana yyt kiibada ni km identity ya sehem na kutenganisha na maeneo mengne ya kawaida kama unavyolitambu Kanisa ukiwa mbali
  5. Matola92

    TANZIA: Mbunge wa Jimbo la Dimani(CCM), Ndg. Hafidh Ali Tahir afariki dunia

    Watu wanakufa kila siku sema hawana umaarufu so hamna cha ajabu safari yetu sote cha msingi tujiandalie makazi mema tuendako
  6. Matola92

    2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Waambie wafate taratibu halali za sehemu husika
  7. Matola92

    Kupanga nyumba ni nafuu kuliko kujenga yako?

    Jenga yako upangishe Sent from my TECNO-Y3 using JamiiForums mobile app
  8. Matola92

    Mwendokasi sasa shidaa!!

    Kodi bodaboda tu ujitawale
  9. Matola92

    Naomba msaada wa tatizo la michubuko kwenye midomo

    Nashukuru kwa msaada wenu nmeanza kuona changes
  10. Matola92

    Naomba msaada wa tatizo la michubuko kwenye midomo

    Kwa wataalam naomba kujua nna michubuko midogo midogo Kwenye lips zangu inachoma choma mithili ya pilipili. Je Ni ukosefu wa nutrients flan pia tiba yake ni nini tafadhali
  11. Matola92

    Huyu mwanafunzi mzuri kutoka Arusha atatimiza ndoto zake?

    Kwa style hiyo labda ana ndoto za kuwa porn star
  12. Matola92

    MBEYA: Walimu warekodiwa Video, wakimfanyia unyama Mwanafunzi

    Maadili ya kazi hayako hivyo duh hata jeshini kuko fair
  13. Matola92

    ISIS yatafuta kiki kupitia Uislam

    Fikiri kabla ya kuandika comment kama huna uhakika na kinachoendelea bora kukaa kimya. Kinachoendelea no propaganda ya kuwafanya waislam waonekane wako hivyo nakushangaa kama in muislam kweli Kuunga mkono ISIS
  14. Matola92

    Ajali yaua 29: Mabasi ya Kampuni moja ya City boy yagongana Singida, ni basi la Dar na Shinyanga

    Mkuu hilo nina ushahidi nshapataga ajali na nilikuwa jirani na dereva lkn hadi gari linalala chini nmekuja kujielewa yy hayupo na cjui alitoka mda gani
  15. Matola92

    Natafuta mchumba wa kuwa naye serious nimechoka kuwa na mume wa mtu naitaji wangu

    We una tamaa ya pesa sio mapenz ya kweli ndo maana ukashoboka kwa mume wa mtu
  16. Matola92

    Ajali yaua 29: Mabasi ya Kampuni moja ya City boy yagongana Singida, ni basi la Dar na Shinyanga

    Mambo mengine Tunayasababisha wenyewe alafu kwa jeuri ya madereva akiona linamshinda anachomoka mnateseka abiria yy msababishaji anakula kona
  17. Matola92

    Gavana Prof. Ndulu: Benki wapo sahihi

    VAT (value added tax) ukisoma uchumi huo ni mzigo wa final consumer.
Back
Top Bottom