Search results

  1. K

    Huduma: Unlocking Phone by IMEI Number

    huawei ascending y 530, imei 869563012181456
  2. K

    Kama unaipenda Tanzania soma hapa na uifikirie kwa makini 2015

    Wakubwa hapo ni kwenye gold tu.je tuliangalia diamond,uranium na madini mengine hivi tungekuwa wapi sisi.
  3. K

    msaada ipod

    ndugu wanajmvi wenzanguu naombeni msaada nina ipod 80gb yani nilichomeka kwenye laptop kuweka video ikaconect kwa muda mfupi halafu ikakata sasa nikiiwasha inablink tu mpaka chaji inaisha haiwaki. tafadhali msaada wenu au kama kuna fundi naombeni namba. ahsanteni
  4. K

    Umegundua nini ktk picha hii??

    i agree wit*u kuwa wamepakwa rangi tu wahajavaa t shirt.
  5. K

    Madaktari wafukuzwa Mbeya, Bugando na Dodoma... Mwananyamala walazimishwa kusaini...

    wanasema madai yao mengine hayatekelezeki,hawana*uwezo nayo.
  6. K

    Dr. Ulimboka: Hali ya afya (Updates)

    nakuombea*upone haraka Doc*urudi kazini,
  7. K

    Dk Chitega: Ninawashukuru madaktari wote nchi nzima kusitisha huduma

    Naona hatari inakuja Tanzania jamani,yani kila siku tunaamka na matamko tofauti na la jana.tunaenda wapi jamani kama nchi. me naiomba serikali ishughulikie matatizo ya wananchi. tumechoka na kauli kila kukicha
  8. K

    Msaada wa kujua mahali wanapouza mbegu bora za vitunguu bei yake!

    Kama*upo Dar nenda Kariakoo sokoni*utapata mahitaji yako yote ya mbegu.ila nakushauri nunua mbegu ya red creole ndo nzuri kwa magonjwa na kuvumilia hali ya hewa mbaya.
  9. K

    Nyumba ya gharama nafuu - Small , simple but beautiful

    Daah nimeipenda sana hii ramani ,ila*unavo sema kuwa*gharama yake itakuwa ndogo,unamaanisha ni kiasi gani?????? kwa sababu suala la gharama ndogo au kubwa huwa linategemea kutoka mtu mmoja hadi mwingine. labda niambie gharam ndogo ni kiasi gani ????kwako Mkuu*.
  10. K

    Iran yamtia mbaroni jasusi wa Shirika la Kijasusi la Marekani CIA

    Du usalama wa iran ni noma kweli yani cjui kama wa kwetu wana skilz kama hizo za watu wa iran,
  11. K

    Akili zetu wanaume zinatutosha wenyewe, we acha tu!

    hiyo hasira inatokana na homoni inayoleta wivu kwa mwanamme testosterone kama cjakosea
  12. K

    Lowassa: Wanaotakiwa kuwajibika wawajibike

    usimwamini mwongo,hata kama anaongea ukweli.
  13. K

    List ya vigogo wanaotakiwa kuachia nyadhifa zao

    hapo mkuu haitoshi hao tu.hapa cha msingi ondoa serikali nzima maana hakuna inachofanya.labda magufuli kidogo anajitahidi.
  14. K

    Naweza kuongeza uwezo wa kufikiri?

    Mimi najua kama unataka kuwa na uwezo mkubwa wa kufikiri nakushauri ufanye yafuatayo ndugu: 1.kuwa vegeterian 2.acha aina zote za vilevi 3.fanya mazoezi ya viungo kwenye maeneo yenye hewa safi. 4.soma majarida mbalimbali yenye kujenga ufahamu mpya...
  15. K

    Lady Gaga ni advocate wa Shetani

    Akili yako ndogo sana ,,unaonyesha hata ukiulizwa pua yako ina matundu mangapi kwa akili yako ndogo utasema bado hujafundishwa! Endelea kusubiri kuwa pua yako ina matundu mangapi..
  16. K

    Mbowe na Slaa sasa yatosha,watanzania hatutaki tena maandamano

    mmtoa mada toka gizani wewe huu si wakati wa kuwasemea watu wafanye nini acha watu wajikwamue.wewe kama umechoka acha wenye nguvu waendelee.. halafu wewe unawasemea watanzania kama nani ??? nakuuliza wewe mjinga usiye jua hata kusoma sura za watu walio karibu yako unaoishi nao. Hivi wewe haya...
  17. K

    ROse Ndauka duuh

    Yani inabidi uwe na moyo mgumu sana kukataa ukweli.yani mtoto kama huyo anakuita kwa madoido ,we unadhani utakumbuka kama garasa..wanaume kazi jamanii, me mawaonea huruma sana kaka zangu nyie.
  18. K

    Kuongoza nchi si mchez0.

    Rais kijana huyu. me cjaona kama amezeeka sana mbona yupo fresh tuu.
  19. K

    Kwanini tunapenda sana njia za mkato?

    Nimeipenda sana makala yako ndugu,ila me naona kwa maneno ya haraka haraka ni uvivu wa kufikiri na kutenda ndio chanzo cha sisi kufanya mambo haya......
  20. K

    Maajabu ya dunia

    kweli dunia ina mambo jamani nimeamini
Back
Top Bottom