Search results

  1. fellyjr

    Msaada: Anayepajua M-Store

    Wana jf kwa wanaopajua M-Store hapa dar naomba anielekeze ilipo.
  2. fellyjr

    Msaada: Vyuo vya ufundi Tz

    Wana jf naomben msaada vyuo vya ufundi vilivyo chini ya veta vinavyotoa kozi ya umeme wa magari.
  3. fellyjr

    Fani zenye soko

    Wana jf naombeni msaada ni fani zipi kwa sasa zipo kwenye soko znazotolewa vyuo vya ufundi hapa tanzania
  4. fellyjr

    Computer4Sale ASUS P2B Projector

    Built-in HDMI/MHL, mini VGA, USB port, microSD card reader, earphone out, and speaker PC-Free Office Viewer and Multimedia Playback for videos, photos, music 350 lumens-rated long-life LED light source for HD 1280 x 800 visuals. Kwa anaehitaji #0682526217
  5. fellyjr

    Kwa wapenzi wa kilimo

    Agri Business tunajishughulisha na maswala yote ya kilimo. Pia tunatoa ushauri kuhusu kilimo, tunaanda bustani za kisasa (green house), tunauza madawa ya kilimo, tunatengeneza mabanda ya kuku wa kisasa, tunaweka njia za kisasa za umwagiliaji (drip irrigation )na mengineyo mengi kuhusu kilimo na...
  6. fellyjr

    Agri business (kilimo ni biashara)

    Agri Bisiness tunajishughulisha na vitu vifuatavyo -tunatoa ushauri kuhusu kilimo -tunaandaa bustani za kisasa (green houses ) -tunajenga mabanda ya kuku wa kisasa -tunauza na kusupply mbegu bora -tunauza vifaa vyote vya kilimo Na kwa maswala yote yanayohusu kilimo. Wasiliana nasi kwa simu...
  7. fellyjr

    Muda wa mafunzo ya Jeshi la zimamoto

    Jamani naombeni msaada eti jeshi la zimamoto linatoa mafunzo yake mkoa gani na kwa muda gani?
Back
Top Bottom