Search results

  1. DaveSave

    Makonda anauvalisha Ukatibu Mwenezi CCM mamlaka ya Urais na uenyekiti wa Samia

    Wananzengo naheshimu mawazo ya kila mdau.
  2. DaveSave

    Makonda anauvalisha Ukatibu Mwenezi CCM mamlaka ya Urais na uenyekiti wa Samia

    Itakuwa jamaa amekunwa kweli na utendaji.
  3. DaveSave

    Makonda anauvalisha Ukatibu Mwenezi CCM mamlaka ya Urais na uenyekiti wa Samia

    Shida au kero ambazo ndio mtaji wa wanasiasa sijawahi kusikia zimeisha.
  4. DaveSave

    Makonda anauvalisha Ukatibu Mwenezi CCM mamlaka ya Urais na uenyekiti wa Samia

    Sema jambo Counsel tupate mwangaza.
  5. DaveSave

    Makonda anauvalisha Ukatibu Mwenezi CCM mamlaka ya Urais na uenyekiti wa Samia

    Sawasawa. Inaonyesha unakunwa sana na utendaji wake.
  6. DaveSave

    Makonda anauvalisha Ukatibu Mwenezi CCM mamlaka ya Urais na uenyekiti wa Samia

    MKUTANO wa hadhara upo Geita. Mhitubiaji mkuu ni Katibu wa NEC CCM, Itikadi na Uenezi, Paul Makonda. Mara, Makonda anaagiza Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, apigiwe simu. Halafu, Makonda mwenyewe ndiye anapiga hiyo simu. Mavunde ameshapatikana, simu inapokelewa. Makonda anamwambia Mavunde...
  7. DaveSave

    Kumuona Kuhani Mussa wa Kimara kwa haraka ni Tshs Laki 2

    Some people misused Religion, others used Religion!
  8. DaveSave

    Nina Masters ya Financial Investment natafuta kazi

    Kazi ninayo Ndugu. Nimetumikia kwa miaka 7 sasa,Nahitaji kuongeza welding na maslahi. Asante sana kwa Ushauri.
  9. DaveSave

    Nina Masters ya Financial Investment natafuta kazi

    Salaam wanajukwaa mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 32. Nilimaliza Bachelor Degree ya Banking and Finance (IFM) 2014. Nikasome Masters Degree of Finance and Investment (Coventry University- IAA). Nimefanya contractual jobs na Kampuni tofauti. Mwenye fursa akihitaji CV yangu nipo tayari...
  10. DaveSave

    Yericko Nyerere: Tofauti ya Usalama wa Taifa, CID na Military Intelligence

    Ungempata atueleze kwa undani, ingependeza tuongeze maarifa zaidi.
  11. DaveSave

    Zawadi inayoitwa maisha: Safari ya kuachana na ulevi

    Watu wengi wamekuwa wakiulizia kituo chetu cha kuwasaidia Ndugu walioathirika na Ulevi wa Pombe kupindukia,Mirungi,Bangi na Madawa ya kulevya kipo Kigamboni. Link ni hii hapa chini... https://g.page/r/CZlJI_2-DiCmEBI/review
  12. DaveSave

    Zawadi inayoitwa maisha: Safari ya kuachana na ulevi

    Zawadi Inayoitwa Maisha: Safari Yangu Kutoka kwa Uraibu wa Heroin Hadi Kupona Kujiunga na ukarabati ulikuwa uamuzi bora zaidi ambao nimewahi kuchukua. Sikuzote nilisema kwamba sitawahi kutumia dawa za kulevya. Nikitazama nyuma, nilifanya kila kitu nilichosema singefanya. Mara ya kwanza...
Back
Top Bottom