Search results

  1. mfereji maringo

    Msaada, nimefungiwa kutumia WhatsApp

    GB whatsap ni kwa kulinda ndoa
  2. mfereji maringo

    Bandari mambo mazuri kuliko tunavyofikiria. DP World

    twasubiri mambo hayo mazuri barabara, umeme wa uhakika, reli ya kasi, maji ya uhakika n.k
  3. mfereji maringo

    "Mwanamke afanyiwe nini ili awe na utulivu, utii na upendo wa dhati kwa mwanaume wake?" Jibu limepatikana

    Mwanamke ana masikio matatu mwanaume jitahidi kumpa mwanamke maneno mazuri katika masikio yake mawili na zaidi anahitaji kuzibuliwa katika sikio la tatu mzibue kisawasawa utakuja nishukuru baadae
  4. mfereji maringo

    Msaada: app ya kuficha sms na calls katika iphone amani hakuna nyumbani

    Mimi sitaki wengi Maincheeck Na haka ka sideone Kananitosha
  5. mfereji maringo

    Msaada: app ya kuficha sms na calls katika iphone amani hakuna nyumbani

    Sio jina lake halisi I was just testing mitambo Yeye jina lake halianzii na “C”
  6. mfereji maringo

    Msaada: app ya kuficha sms na calls katika iphone amani hakuna nyumbani

    Thanks in advance But she can never be her A sidecheek is sidecheek
  7. mfereji maringo

    Msaada: app ya kuficha sms na calls katika iphone amani hakuna nyumbani

    Ubarikiwe Tushirikiane hata kwa tusiyopendezwa nayo Mungu yu mwema
  8. mfereji maringo

    Msaada: app ya kuficha sms na calls katika iphone amani hakuna nyumbani

    Njia kuu ipo Acha na hii iwepo Haya ni maua yetu yananukia yanavutia Acha tuyatumie Asante
  9. mfereji maringo

    Msaada: app ya kuficha sms na calls katika iphone amani hakuna nyumbani

    Ni kama mke nae asiekubalika home Nimekwama nitafanyaje sasa Tuombeane
  10. mfereji maringo

    Msaada: app ya kuficha sms na calls katika iphone amani hakuna nyumbani

    Nielekeze iandike kingereza Maana nimetafuta hiyo option ktk setting wapiiii?? Najaribu kuandika Cecilia inaandika kiarabu
  11. mfereji maringo

    Msaada: app ya kuficha sms na calls katika iphone amani hakuna nyumbani

    Asante hii MY CLCULATOR ni nzuri Ila nimepata changamoto zifuatazo 1. Simu nikipiga inakata huenda ninesave namba kwa kuanzia 0678.... badala ya +255678.. 2. Nimejaribu Kusave namba ingine imenipa namba za kiarabu nawezaje kuchange kuwa kiingereza 3. Sijaona option ya kutuma sms Asanteni wadau
  12. mfereji maringo

    Naomba code za kufanya namba isipatikane hata ukiwa umewasha simu

    Tupe mauhanja ya iphone nitatue kero za nyumbani
  13. mfereji maringo

    Msaada: app ya kuficha sms na calls katika iphone amani hakuna nyumbani

    Nikiwa muwazi si itakuwa noma Nipeni maujanja wadau
  14. mfereji maringo

    Msaada: app ya kuficha sms na calls katika iphone amani hakuna nyumbani

    Asalaam Naomba msaada nawezaje ficha sms na calls au contact katika iphone maana kuna msala home, mama home kasanukia sms za sidecheek Msaada wadau
Back
Top Bottom