Swali je hizo salam zao wananchi walizipokea? hakuna shaka kwamba wananchi wengi hawakufurahishwa na hilo na walijua hilo lingetokea. Kwa aliyekuwa uwanjani aliyeshangiliwa wakati watu wako kwenye msiba huyo ndiye mfariji wao na salam zake zimepokelewa na wenye msiba kuliko hao walioongea na...
Wakulaumiwa ni Wazazi, wameshindwa kuwaleo watoto wao kwa kuwafuatilia maeneo wanayokwenda, na wengi wao hawajui hata watoto wao walikua huko. wasilaumiwe waalimu wala wanafunzi.
Dunia imebadilika na Jamii zimebadilika ni vyema kuelewa hivyo na vizuri kujitathimini mwenyewe,nchi yako na kutathimini wengine ili kupanua uwezo wa akili yako kufikiri na kutatua changamoto, ili unapopata muda kutafakari juu yako,familia yako na nchi yako na yawengine upate majibu sahihi...
Ndugu hawa jamaa hujakutana nao, wakitafuta pesa, ukiweka wavu kwenye taa za nyuma ili zisipasuke kirahisi au umeweka spear trye ya kuchonga kwenye garage kosa, unaambia hio sio orginal kutoka kwa mtengenezaji. elimu na haki ndio dawa.
Hio ndio kazi waliyotumwa na watanzania kutetea maslahi ya Tanzania, lakini dunia inaendeshwa kibiashara hivyo hatupaswi kujitenga bali kutumia akili yetu kukataa mabaya. Tatizo la viongozi wetu ni wizi wanaiba na wanaenda kuficha huko kwao, wanaua wananchi wao na wanawafanya masikini ili...
Lazima raisi ajue matakwa ya wananchi, kama uchumi umeanguka hakuna jinsi kila mmoja atatafuta sababu, na atakayebeba lawama ni raisi na raisi ni mwanasiasa na joto la siasa linaanzia hapo. ukweli ni kwamba ukimnyima bubu chakula au kumtesa ataongea kwa jinsi anavyoweza, Raisi anawezakuwa ana...
Matokeo hutangazwa na vyombo vya habari yakishahesabiwa, kwani kila kitu kinakuwa wazi na mawakala wako kila kituo wanahesabu na kutuma matokeao kwenye center zao za kuhesabia kura.
Hapo umesahau Watendaji wa serekali wanatokana na rais aliyechaguliwa na wananchi na hao wanyeviti wamechaguliwa mojakwamoja na wananchi, hivyo wanaojulikana kwa wananchi ni wenyeviti na ili mwakilishi wa rais afanye kazi ktk eneo lolote ni lazima apate kiungo cha kumuunganisha na wananchi...
Hakuna makamala ila tatizo hatukufundishwa kusoma na kuelewa, hapo hakuna kujenga chama ni kujenga utawala binafsi ili kutimiza matakwa binafsi, chama ni taasisi na lazima kiwe kikubwa kushinda mtu, ila kiongozi yeyote anayesema ningewafukuza nusu au lazima wafanyakazi wote wa serekali wajue...
Ili nchi iendelee na wewe pia ili upate maendeleo ni lazima serekali na jeshi ijitenge na vyama vya siasa kwani vyama vya siana vina agenda mbili kuu kushika madaraka na kuleta maendeleo, lakini maendeleo hua wanalazimishwa na wananchi sio kipao mbele chao, lakini serekali na jeshi wao wana...
Uhalifi na chuki havijali rangi,kabila wala dini hili ni fundisho kwa viongozi watz kuhakikisha haki inapatikana na wasihuribiri kugawa watu na chuki ktk jamii.
Zitto anatahadharisha kitu ila kwa wanaoona mbali ndio wanaona hilo, Putin aliingia kwa bahati na akajenga himaya yake imara badala ya kujenga taasisi imara ndio maana leo anaifanya Urusi anavyotaka, neno kama ningekuwa mwenyekiti ningefukuza karibia wote,kila mwajiriwa wa serekali lazima...
Ndugu Masikini wa India sio kama wa TZ, Wa TZ wana nafuu kubwa, chukua picha hii, mfano hapa Dar masikini wanalala kwenye gazi za ghorofa ili uwakanyage wakati unapita na uwape sh500.Bado tunakitu cha kuchunguza na kujifunza ktk hii misaada.
India wana masikini kwa mamilioni ambao hata hawana pa kulala,lakini serekali yao inakopesha TZ milioni za dola, wachumi na intelejinsia watusaidie kuna ni nyuma ya mikopo kama hii? tunapata faida gani? kuna hatari gani ktk hii mikopo?
Hii waongee na umoja wa ulaya ili ziwekewe tarif, ili watu wachague, kwani kuna Watanzania wanajali ubora, lakini tukifunga milango kabisa, inaweza kulamisha watu wanunue bidhaa hafifu na kutoa ushindani wa bidhaa kwa ubora
Nakuunga mkono ktk kutangazwa tenda, ila ktk bei hizo ndio bei ktk soko la kimataifa ili kushindana ktk soko, mtaalam na sahihi wa kufanya hio kazi ili Tanzania ijulikane na ulimwengu bei yake ni $130 kwa saa, hio ndio bei wenzetu wanalipa, rahisi ni ghali.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.