Search results

  1. tokyo1sofala

    Madiwani wa Jiji la Arusha waweka rekodi ya kugomea vikao

    KWA MWAKA WA FEDHA WA 2016/2017 PEKEE VIMEAHIRISHWA VIKAO 5 KUTOKANA NA MADIWANI. KUGOMA KWA MADAI YA KUINGILIWA NA KUBURUZWA NA SERIKALI KUPITIA MKURUGENZI WA JIJI. WAFANYA BARAZA LA KUFUNGA MWAKA BILA TAARIFA ZA ROBO YA 3 NA YA 4 KWA KUGOMEA VIKAO HIVYO KWA LENGO LA KUIKOMOA SERIKALI...
  2. tokyo1sofala

    Kikao cha kamati ya fedha jijini Arusha chavunjika tena leo Julai 21, 2017

    MBUNGE LEMA NA NAIBU MEYA WAMUONYA MKURUGENZI. Kwa mara nyingine madiwani wa kamati ya fedha jijini Arusha leo wamegomea kuendelea na kikao cha robo ya nne cha kamati hiyo kwa madai kuwa hadi wafanye kikao cha robo ya tatu kwanza ambacho pia walikigomea mwezi April mwaka huu. Wajumbe hao...
  3. tokyo1sofala

    Wito wa kuhudhuria Mkutano wa Baraza Jiji la Arusha

    TANGAZO WANANCHI WOTE WA JIJI LA ARUSHA MNATANGAZIWA KWAMBA ,KUTAKUWA NA MKUTANO WA KAWAIDA WA BARAZA LA MADIWANI UTAKAOFANYIKA TAREHE 05.09.2016 KWENYE UKUMBI WA ARUSHA SCHOOL KUANZIA SAA NNE ASUBUHI. WOTE MNAKARIBISHWA. IMETOLEWA NA: MKURUGENZI...
  4. tokyo1sofala

    Mhe Gambo awahakikishia Wananchi wa Mkoa wa Arusha kuwepo kwa amani na utulivu 01Sept 2016

    Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe Mrisho Mashaka Gambo na Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Mkoa akizungumza na waandishi wa habari leo 31 August 2016. Na Mwandishi Wetu - Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Mashaka Gambo ambaye pia ni mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ya...
  5. tokyo1sofala

    Ubinafsi wa madiwani wa Arusha waendelea kuitia hasara jijji la Arusha

    "Mkuki kwa nguruwe kwa mwanadamu mchungu"
  6. tokyo1sofala

    Ubinafsi wa madiwani wa Arusha waendelea kuitia hasara jijji la Arusha

    Na Mwandishi Wetu - Arusha Madiwani wa Halmashauri ya Jiji la Arusha wamevunja kikao cha Baraza la Madiwani kilichokua kinafanyika leo asubuhi 29/08/2016 kwenye Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa kwa maslahi ya chama chao (CHADEMA) na kutupilia mbali shida na kero za wananchi waliowachagua...
  7. tokyo1sofala

    Katibu Mkuu CCM mkoa wa Arusha, Marry Chitanda ndio chanzo cha aguko la CCM!

    Mnyonge Mnyongeni, lakini Haki yake Mpeni. Inaelekez wewe ndiye MRATIBU wa SHGHULI za CCM na MAWAZIRI . Anayeitwa Mzee Wassira hajakanyaga Uchaguzi huu Arusha, na kama ilivyo jadi yenu ya kutaka KUWAAMINISHA watu UONGO hali unajua WAZI kuwa unachokifanya au kuandika ni uongo bado UMENGANGANIA...
  8. tokyo1sofala

    Katibu Mkuu CCM mkoa wa Arusha, Marry Chitanda ndio chanzo cha aguko la CCM!

    AKILI ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZAKO: CHAMA CHA MAPINDUZI , kinaendeshwa kwa mujibu wa KATIBA na KANUNI. Suala la kuwa Mzee edward anampiga vita Ktb wa CCM Mkoa , halina mshiko na wala siyo la KWELI. Acheni kumuhusisha Mzee edward na mambo yasiyokuwa na MSHIKO. Mzee lowassa anamheshimu Katibu...
  9. tokyo1sofala

    Kampeni za uchaguzi Kaloleni

    Mkutano wa Kampeni za Udiwani Kata ya Kaloleni viwanja vya kwa Cheusi, kona ya Ilboru ,Juni 14,2013
  10. tokyo1sofala

    Mrema, Chatanda, Kileo, Elissa na kamati za siasa zaamua kuivurga CCM Arusha

    In politics,your enemies can’t hurt you, but your friends will kill you.KIDUMU:smile-big:
  11. tokyo1sofala

    Mrema, Chatanda, Kileo, Elissa na kamati za siasa zaamua kuivurga CCM Arusha

    The more you read and observe about this Politics thing, you got to admit that each party is worse than the other.The one that”s out always looks the best. :flypig:KIDUMU CCM:flypig:
  12. tokyo1sofala

    Mrema, Chatanda, Kileo, Elissa na kamati za siasa zaamua kuivurga CCM Arusha

    muogopeni mungu ! acheni mchezo wa kuigiza. Mfa maji haachi kutapatapa,mtaandika sana, lakini mwenye macho haambiwi tazama,kama siasa zimewashinda nendeni shambani mkalime.
  13. tokyo1sofala

    Mrema, Chatanda, Kileo, Elissa na kamati za siasa zaamua kuivurga CCM Arusha

    huo ni umbea mnaojaribu kuutengeneza ili ufanane na ukweli na hizo ni dalili za mfa maji -
  14. tokyo1sofala

    Mheshimiwa Livingstone Lusinde (MB) alimaanisha haya

    Wafuasi wa CDM walio wengi wamefanana kabisa na wamachinga wa kariakoo, wamejaa ushamba wa kupiga miluzi na kulia uchuro... ovyo kila waonapo kijani. Wana akili hawa ?
  15. tokyo1sofala

    Mkutano wa ccm kitongoji cha kilinga wamvutia baba mzazi na mama mzazi wa mgomea wa chadema

    Tanzania bila fujo,maandamano na kelele inawezekana pia.
  16. tokyo1sofala

    Mkutano wa ccm kitongoji cha kilinga wamvutia baba mzazi na mama mzazi wa mgomea wa chadema

    Hahaaaaa.... nitumie lugha gani nyepesi kwako kuielewa ? WAKIWASILI.... waulize hao wazee 2 uanaowaona wakuambie walikokuwa, then nawe utumie MAKAMASI yako kufikiri...
  17. tokyo1sofala

    Mkutano wa ccm kitongoji cha kilinga wamvutia baba mzazi na mama mzazi wa mgomea wa chadema

    MZEE NASSARY (mwenye suti nyeusi) NA MAMA NASSARY (aliyefunga kilemba cheupe) WAKIWASILI KWENYE MKUTANO WA KAMPENI WA CCM KATIKA KITONGOJI ALICHOZALIWA NASSARY KWA NIA YA KURUDI KUNDINI ....
  18. tokyo1sofala

    Barua ya wazi kwa profesa tibaijuka - arusha

    Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi ,Profesa Anna Tibaijuka, sisi ni wakulima na wafugaji wa vijiji vya Kiserian, Olkerian na Nduruma, katika Kata ya Moshono na Mlangarini jijini Arusha. Tunakuandikia barua hii kwa masikitiko kukujulisha manyanyaso na mahangaiko tunayopata baada ya...
Back
Top Bottom