Heri ya Mwaka Mpya Wanajamii Forums wote...Natumai wote mmekuwa na holiday season ya kufana. Baada ya kimya kidogo naomba leo tumsome huyu mchuuzi maarufu kwenye tasnia ya ujasusi kwa majina Harold Adrian Russell "Kim" Philby....Karibuni
Kim Philiby jasusi hatari zaidi mwenye asili ya Uingereza...
Leo makala yetu inajikita katika wizi huu ambao haujawahi kutokea nchini Marekani, mnamo mwaka 1950 na kuitwa wizi wa karne kutokana na namna wizi huo ulivyofanyika kiakili na kiasi kikubwa cha fedha kilichoibwa. Ni wizi ulioamsha hisia za Wamarekani kila kona nchini humo, kuangalia jinsi wezi...
Wadau wangu wa nguvu kwenye story za visa na mikasa mbali mbali iliyowahi kutokea na kukuna vichwa vya wapelelezi duniani, naomba leo tutembee pamoja kwenye kisa hiki maridhawa kabisa kilichotokea mwanzoni wa mwaka 1935 huko Missouri, Kansasi Marekani…….
Katika jiji la Kansas, Missouri mchana...
Jamaa huyu alifanya wizi wa akili nyingi sana, jina hilo si jina lake halisi bali ni nick name aliyopewa na Wamarekani kutokana na ufundi alioutumia kufanya wizi wa fedha, na jina hili limetoholewa kutoka kwa yule jamaa alieteka ndege miaka ya 1971 na kutokomea kwa parachute D. B. Cooper kwa...
Kuna wakati unaweza kujiuliza wezi wamewaza nini, kisha kuja na mpango flani wa uvamizi. Kwa sababu mtu anapanga tukio la wizi mpaka unabaki kujiuliza huyu ni binadamu mwenzetu kweli au ametoka sayari nyingine? Hili ni kutokana na akili kubwa iliyotumika katika upangaji wa matukio mpaka wizi...
Huu ni mkasa wa kipekee wa kifo cha mwanaume mmoja amabye hajawahi kufahamika kwa takribani miaka 70 sasa, kesi hii ilisumbua vichwa vya mamlaka kwa jinsi ilivyokuwa tata na kadiri walivyosonga mbele mambo yalizidi kuwa magumu kwako. Kisa hiki kilitokea jiji la Adelaide katika mtaa wa Somerton...
Kama ilivyo ada kwenye jukwaa hili napenda kuwahabarisha kwa visa na mikasa mbalimbali iliyotikisa dunia. Leo tunaangalia mkasa wa mtoto alietoweka kwenye mazingira ya ajau na hajapatikana mpaka leo huko mamlaka za upelelezi zikiendelea kuumiza vichwa kwenye mkasa huu. Kama ilivyo kwetu hapa...
Karibuni wadau na tutiririke kwenye makala hii ya vimbwanga vya kushangaza kidogo ambavyo vilishawahi kutokea na kuwaacha wengi kinywa wazi bila majibu.
1. DANCING PLAGUE
Mnamo July, 1518 wakazi wa mji wa Strasbourg (awali ilikuwa sehemu ya Ngome Takatifu ya Roma) walikumbwa na ugonjwa wa...
Bonde la Isdalen karibu na jiji la Bergen, Norway linajulikana kama bonde la kifo/umauti "death valley" kwa wakazi wa eneo hilo si kwa sababu watembezi/watalii hupotelea kwenye mlima wa bonde hili mara kwa mara, ila kwa sababu kipindi cha nyuma kwenye miteremko ya mlima huo watu walikuwa...
Habari wadau, ni matumaini yangu kwamba mpo sawa. Leo kwenye makala yangu, tunapitia maajabu ya jiografia ya dunia na kujionea vyanzo kadhaa vya maji ambavyo vimekuwa tishio kwa maisha ya viumbe hai. Karibuni sana na tutiririke kwa pamoja....
1. LAKE NYOS
Hili ziwa ni chimbuko la mlipuko wa...
Kuna milango hapa duniani kwenye maeneo ya kihistoria kwa miongo au karne kadhaa haijawahi kufunguliwa. Swali linakuja ni kwanini? Imezoeleka unaweza kufungua mlango wowote utakavyo, lakini kiukweli kuna ambayo imepigwa kufuli au kuzibwa kiasi cha kwamba haifunguki kabisa. Pia haijajulikana kama...
Je, waifahamu nchi ya Bhutan iliyopo kati ya China na India? Nchi hii ya kipekee kabisa ilipiga zuio la utalii mpaka ilipofika mwaka 1974. Ni nchi pekee Duniani iliyoweza kupima National Happiness!
Zifuatazo ni sifa 16 za nchi ya Bhutan zitakazokuacha kinywa wazi na kutamani kufika huko kufanya...
Kwa wale watumiaji wa Nokia Android phones, hii hapa plan ya kupata updates za Android Pie (9).
Kama upo kwenye list ya below 29th Jan... Kindly check you updates and update accordingly[emoji1488].
Sent using Jamii Forums mobile app
Thank you Chris Martin for these powerful lines. When I was listening to this song it reminded me the beauty of faith and power of believing. In our daily routine you may be caught on a difficult and thrilling situation where you cant understand where to start.
Our Lord, to him we repent and...
Nimekuwa nikikutana na wakinadada wengi wakivaa hivi vitu shingoni aka plastic tatoo chokers, in different colors but bado sijajua maana yake kiuhalisia! Watu wa fassion tusaidiane please!
Wadau hamjambo wote... Nimehangaika sana kuhusu tatizo la baterry kwenye simu yangu ya S3 na tatizo nimekuwa nakumbana na battery amabazo ni mabonye sana.. So naomba mwenye connection au mahal napoweza kupata baterry original tafadhal tuwasiliane..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.