Search results

  1. NetConfig

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    RUTUNGA!! kama umeweza kunisoma katika kuwajibu wadau maswali yao ni kwamba ni freelancer i got no office right now, 2.number ya simu hata ya mezani???? (sina simu ya mezani ninayo hii 0789100900 nadhani inaweza kuwa na mawasiliano pia) pia usikariri masimu ya mezani tu ndo ikuhakikishie unaweza...
  2. NetConfig

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    kakakiiza nakushukuru usiwe na wasi wasi we agiza gari lako na utalipata ontime na bila usumbufu
  3. NetConfig

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Kaka kiiza mie napatikana Arusha ni fleelancer Agent na ninadeal na JIMEX LTD pekee nadhani kuna watu ambao wameshaagiza magari from this company naomba kutowataja but kama mtu atakuwa free yeye mwenyewe kujiweka hapa anaweza kutoa as reference, ninachoweza kukuhakikishia ni kwamba utapata gari...
  4. NetConfig

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Sijasema kuwa bei ni siri nilichomuuliza anitajie anahitaji trecta aina gani maana alichokisema ni sawa na kusema nataka suluali, suluali ziko nyingi na zina saizi tofauti ndio maana nimeuliza/kusema ani email au anaweza kuweka hapa na akapata bei hapa hapa no secret, mkuu
  5. NetConfig

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Kaka kiiza naomba kwa hili nikuulize kama ushawahi kudeal na JAA inspection maana wao kama gari imerudishwa KM wanagundua kwa sababu wanavifaa vya kugundua gari iliyorudishwa nyuma na mara nyingi gari zinazorudishwa nyuma nyingi hutolewa Japan zinapitia Dubai so dubai watu wengi ndo...
  6. NetConfig

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Mkuu naomba uni email ni ana gani ya trecta unahitaji nitashughulikia ombi lako mapema na haraka asante.
  7. NetConfig

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    kaka kiiza naomba nikushukuru kwa swali lako kama mdau hapo chini alivyokujibu ni kweli kwamba kutokana na utandawazi uliopo inakuwa ni vigumu sana kufanye setup ya office kulingana na gharama za uendeshaji ninachotaka kukuhakikishia ni kwamba ninahakikisha unapata gari ambalo ni zuri na...
  8. NetConfig

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    karibu sana nitashikuru kupata oder yako mkuu
  9. NetConfig

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Rutunga kwanza kabisa naomba nikujibu kama ifuatavyo magari mengi tunayouza inategemea na option ya mtu lakini kama Jimex ltd. magari tunayowauzia wateja ni yale ambayo yanakidhi ubora wa kutumiwa maana kuna magari ambayo ni grade mbovu ambayo hata JAA inspection huwa hayapitishi so kuhusu ubora...
  10. NetConfig

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Waungwana naomba kuwajulisha na kuwaomba support yenu kwa mtu ambaye anahitaji kuagiza gari toka japana naomba ani pm au ani e-mail kwa n.config@gmail.com mie ni agent wa hii kampuni kwa Tanzania, Grade ni nzuri na bei pia ni nzuri tafadhali tembelea Jimex Co., Ltd. Kama una swali lolote uliza...
  11. NetConfig

    Nahisi Haus gel wangu ananitega

    Nimependa sana ushauri wako ...
  12. NetConfig

    Portable external drives

    very sorry! for this check nimeiedit post yangu
  13. NetConfig

    Big up ali kiba umetuwakilisha!

    imekaa njema sana yani....
  14. NetConfig

    Portable external drives

    Brand new Toshiba external drives kwa bei poa 320GB only for 120,000/= 500GB for 130,000/= kwa anayehitaji ani PM au e-mail n.config@gmail.com Karibuni
  15. NetConfig

    Unlocking a laptop

    kuna njia mbili tatu za kutatua hilo tatizo inategemea kama ni Admin password au ni normal user password, kuna software ya kuweza kuboot nayo command line interface than unareset hiyo passord au kuna njia ya kuweka OS cd kama ni xp unafika sehemu ya kuripair kisha una press F10 then unaendelea...
  16. NetConfig

    Unlocking a laptop

    :smile-big:
  17. NetConfig

    Any one home?

    Hello! naomba kuwasalimia wakubwa shikamooni,wadogo marahabaaaa!! mwangaluka, namnani? shimbonyi,mwakeye,wachamawe,
Back
Top Bottom