Search results

  1. ZWANGE

    Picha: Bilioni 10 za Rais Magufuli kwa Hostel za Chuo Kikuu cha Dar es Salaam(UDSM) zakamilisha kazi

    Aiseee! Tanzania nchi yangu kwa kuwazawaza tunaweza. Ajitokeze mmoja alete vielelezo kamaili vya bei, na kila kitu juu ya ujenzi huo.
  2. ZWANGE

    Mdogo wa Gwajima amtetea Makonda, asema Josephat apuuzwe vita ya madawa ya kulevya

    Mwaka huuu tutaona na kusikia mengi. Nadhani kwangu mimi hoja zote tunahitaji majibu yake.kuhusu madawa ya kulevya kazi nzuri inaendelea kufanywa na mr.sianga. hii nayo ya vyeti nayo twahitaji uchunguzi au mtuhumiwa ajitetee ili tujue ukweli ni upi.
  3. ZWANGE

    Jela kwa zaidi ya miaka 5 kwa kuingiza heroin Uingereza kutoka Tanzania

    Du! Jamaa kadakwa kala mvua. Ndo alichokipanda
  4. ZWANGE

    Bei ya Mahindi katika kila mkoa

    Tabora 22000
  5. ZWANGE

    Hali yazidi kuwa tete: Stashahada ya Juu ya ualimu shule ya msingi yafutwa

    Fuatilia kwa umakini . Waraka wote mkuu umewekwa hapo juu. Jitahidi kuwa makini na usome kwa umakini
  6. ZWANGE

    kw nini udsm hwafungui branches mikoani au nje ya tz

    HIvi nnyi kwanini msitembelee wavuti ya chuo kulikoni kubishana pasina data? udsm kuna vingi mfano: cumpus colleges,Constituent Colleges,Schools, insitutes, centers,Bureaus etc. mfano Campus Colleges College of Arts and Social Science (CASS) College of Natural and Applied...
  7. ZWANGE

    Enyi CHADEMA

    yaani wewe kujua kusoma na kuandika a,e,i,o,u tu hatusemmi sasa unaanza hata kuandika yasiioeleweka haya bwana heri ya mwaka mpya!
  8. ZWANGE

    Kunywa maji mengi

    nina mambo mawili yanaumiza akili yangu. 1. mimi nakunywa sana maji hadi najiogopa. mf. asubuhi kabla sijapiga hata mswaki naweza kunywa hata lita1 ya maji. kufika jioni naweza kunywa karibu lita karibu 5 au 6 2. je, kuna athari gani kunywa maziwa mengi? mimi nakunywa kwa siku karibu lita 1 ya...
  9. ZWANGE

    Waziri wa Habari, Michezo na Utamaduni apata Ajali

    RFA News leo saa 6:30 mchana, alikuwa akienda mwanza kufungua mashindano ya Afrika Mashariki ya mchezo wa vishale na hiyo kupata ajali eneo la mlima pasua kijiji cha Nanga wilayani Igunga mkoani Tabora. amelazwa katka hospitali ya wilaya ya nzega mkoani humo.
  10. ZWANGE

    Binti anatafuta Mchumba

    aje mwenyewe kwa nini atumie mtu wa 3 na yeye ni msomi tena ana diploma? acha kuchekesha wewe. hivi ninyi suala la kuoa mnaona ni kama suala dogo sana kama ambavyo serikali ya mr.dhaifu inavyochukulia suala la ufisadi.
  11. ZWANGE

    Nukta za Zitto kuhusu vurugu za wana-uamsho Zanzibar

    kaka mbona unaanza kwa kumlaumu zitto kwanza kabla ya kueleza kwa kufafanua zitto anahusikaje? ili nasi tuone kuwa zitto kweli anahusika. kwa hili kunahitajika hekima na busara kwanza . ogopa kuongea ukiwa na hasira au furaha zaidi kwa maana yawezekana unahasira na mtu vile. au kuwa na rafiki...
  12. ZWANGE

    Chadema raha

    JINSI YA KUTUMA PESA KWA VODACOM M-PESA KUCHANGIA CHADEMA KWA M4C *150*00# Ok!...........>pay bill............>enter business no(111333)............> enter reference no.( your mob.no.)............>Amount ...........>enter PIN......>enter 1. to comfirm.........>ok!
  13. ZWANGE

    Kwa wataalamu wa Kiswahili

    KA- VILEVILE NI KIJENZI CHA KITENZI Mf. lia----------------------->kalia kausha.----------------->kausha
  14. ZWANGE

    Kwa wataalamu wa Kiswahili

    KA- HUTUMIKA KUDOGODESHA. Mf. mtoto------------->Katoto
  15. ZWANGE

    Hoja zangu 13 Katiba Mpya.

    1.kiswahili kitumike kufundisha shuleni. vidudu hadi chuo kikuu 2.uchaguzi uwe siku yeyote ile isipokuwa jumapili, ijumaa au jumamosi 3.kuwe na bodi ya ajira 4.pasiwepo mkuu wa wilaya au mkoa, mkurugenzi anatosha 5.mamlaka ya rais yapunguzwe 6. rais mstaafu aweze kufikishwa mahakamani kama...
  16. ZWANGE

    Viongozi mafisadi waliopo, maisha magumu kwa watanzania chanzo ni UDSM

    mimi napata kigugumizi kidogo kuona watu wanashindwa kuleta hoja za maaana humu ndani za kusaidia taifa letu badala yake "......oh...kasomea udsm!... sijui nini!..." .hayo yote hayana maana. uwe umesoma udsm au hukusoma udsm hata hukwenda kabisa shule si suala la sisi kubishana.kimsingi UDSM ndo...
  17. ZWANGE

    Ofisi ya CCM yafungwa na kugeuzwa ya CHADEMA:CCM yapoteza Mali na wanachama

    hata jiografia hujui masikini!................oh! ........ Hiyo ni manyara........
  18. ZWANGE

    Makongoro Mahanga ashinda kesi ya uchaguzi jimbo la Segerea

    Yes kesi ilianza kusikilizwa 26/03/2012 katika mahakama ya nzega wilaya jirani na igunga
Back
Top Bottom