Search results

  1. nyundo j

    Jeshi la Polisi: Hakuna ushahidi kuwa Freeman Mbowe alishambuliwa. Alikuwa ametoka kwa Joyce Mukya. Alikuwa amelewa chakari

    Kwa kweli Tz inahitaji jeshi la polisi lenye muundo mpya ambalo viongozi wake hawakusoma katiba ya chama kimoja walipokuwa shule.
  2. nyundo j

    Kama umewahi kushuhudia live nguvu za giza pita hapa uweke ushuhuda wako

    Duuh hatari Sent using Jamii Forums mobile app
  3. nyundo j

    Maana ya k katika viwango vya fedha

    Ngoja waje wataalam wa mambo ya k
  4. nyundo j

    Lumumba wamepigwa ganzi mpaka sasa wako kimya

    Hapa hawawezi jibu hata siku moja
  5. nyundo j

    Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Kweli kabisa pengo akimsifia Just Praise Me hawasemi kwamba anachanganya dini na siasa.
  6. nyundo j

    Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Tutajie viongozi wa dini ambao ni ccm ili nao wajulikane.
  7. nyundo j

    Askofu Bagonza: Hoja hufungwa kwa hoja, si kwa kifungo wala mahabusu

    Mbona wakisifia serikali hatusemi waache dini waanzishe vyama?
  8. nyundo j

    Yaliyojiri Mkutano wa Waziri Nape Nnauye na Waandishi wa Habari: Kamati haijamaliza kazi

    Wewe usiye mwanachama wa CHADEMA umeingiaje kusoma uzi wa udaku?
  9. nyundo j

    Ambacho kingetokea Leo, angekuwa mtoto wa MAFIA

    Yetu macho na masikio kwenye hii issue.
  10. nyundo j

    Mbowe na Maalim Seif wafanya kituko kingine cha kisiasa hadharani!

    Wewe mwenye maswali ya kikubwa ungetuwekea swali la kikubwa hapa kuhusu uchumi unavyodidimia ili upimwe na wanazuoni hapa kama wewe ni zaidi ya mbowe au la?
  11. nyundo j

    Kwa mujibu wa katiba ya CUF, Lipumba hakujiuzulu!

    Labda kama ni CUF wa lumumba nitaamini.
  12. nyundo j

    Kwa mujibu wa katiba ya CUF, Lipumba hakujiuzulu!

    Ukiona mboga mboga wanaungana kupitia ofisi yao ya lumumba kumtetea profesa Lipumba ujue huo ni mpango mwingine wa hujuma 2020. Lipumba baki na uanachama kwenye uongozi huna sumu tena kama Freeman Mbowe alivyo tishio kwa sisiem.
  13. nyundo j

    Gwajima atimka nchini. Adaiwa kuelekea Dubai

    Wasije wakawa wamemuulimboka halafu tukaambiwa ametoroka ili kutupoteza maboya.
  14. nyundo j

    Mwakyembe awamaliza CHADEMA Bungeni!

    Mwakyembe alikuwa yule wa zamani kabla hajaenda kulazwa India, huyu Mwakyembe wa sasa sijui amewekewa chip ili awe anasema asichokijua, au alikuwa stable kipindi hicho kwasababu alinyimwa uwaziri na baba riz aaah! Inauma sana kama wasomi wetu watakuwa wanasahau taaluma zao kama huyu.
  15. nyundo j

    Magufuli: Ni Tanzania pekee mwanafunzi anapata division 4 kidato cha nne na anaenda chuo kikuu

    Watanzania wengi tumepoteza weledi maana wengine humu hawaelewi nini wanachangia, chanzo cha tatizo ni mgomo wa wahadhili na si div 4.
Back
Top Bottom