Yaani hela ule wewe ,wenzio waishie hela na utakatishaji pesa.
Wamejiongeza.
Kama mtu anacheka hapati dhamana,mengine malizia wewe!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ungekuwa mkweli kwa dhamira njema kama ungetuletea na maelezo au majibu ya askofu ili tujadili.
Kwa andiko hili huna tofauti na aliyemsaliti yesu ili ababeshwe msalaba.
Hukutenda haki unayotaka itendwe
Sent using Jamii Forums mobile app
Waziri amemkosea sana Madam Ritha.Yule ni mtu wa kusaidiwa wapi amekwama na si kumuaibisha kutokana na anachokifanya.
Hicho ni kiwanda kama kilivyo kiwanda kingine kwa kuwa kinazalisha vijana wanaokuja kujitegemea.
Hakuna asiyejua ugumu wa upatikanaji pesa kwa sasa.Maandalizi na uendeshaji wa...
Yaani hapa ndipo tunapokwama wanaume.
Kwa nini umzuie mwenzako katika majukumu ya kijamii na hasa ukizingatia kuwa kule ana watoto ambao hiyo ni bibi yao.
Kwani ruhusa kwa mke ni nini???
Sent using Jamii Forums mobile app
Lingine usilolijua,mataifa makubwa yote,huduma za afya ni biashara.Huwezi kuamka na kumkuta daktari anakusubiri.
Ili utibiwe ni lazima uombe na kupangiwa siku hivyo ktk dharura kama hii hospitali zitawahudumia wateja wao tu na si kwa kiwango cha mlipuko kama uliojitokeza.
Kwa kukumalizia ili...
Nataka uamini maneno yangu.
Na hili ni la mwisho kutumia akili yako,kama hutaki endelea kusubiri link.
Tazama nini hutokea wakati wa baridi msimu wa kipupwe!!!
Au
Nini hutokea wakati wa masika pale mtu anapomnyeshewa na mvua kwa muda mrefu
Au
Nenda maeneo yenye baridi kali au maeneo ya milima...
Coronaviruses are a group of related virusesthat cause diseases in mammals and birds. In humans, coronaviruses cause respiratory tract infections that can be mild, such as some cases of the common cold (among other possible causes, predominantly rhinoviruses), and others that can be lethal, such...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.