Search results

  1. alberaps

    Je, ndio ule mpango wakumfukuza Tundu Lissu Bungeni Unaenda Kukamilika kesho Rasmi?

    Nimesoma kama mara 5 hivi sijaelewa huyu anamaanisha kitu gani hapa. Kweli Elimu yetu imeoza. Yaani mtu anashindwa hata kuandika sentensi moja ya kiswahili ikaeleweka? Sent using YOUR Phone remotely from ME
  2. alberaps

    Kinachotokea CUF ni kielelezo cha udhaifu mkubwa kwa upinzani

    Waingereza Ni watu Reasonable kulinganisha Na Hawa wakoloni Mumiani tulio nao. Kuilinganisha Mambo ya Wazungu Na Hawa Manyani wa sasa Ni kulinganisha Usingizi Na Kifo. Sent using YOUR Phone remotely from ME
  3. alberaps

    Kinachotokea CUF ni kielelezo cha udhaifu mkubwa kwa upinzani

    Tangu Slaa akupore toka kwa Yule Jamaa 2010 kwa kweli hueleweki Josephine Mshumbusi. Sent using YOUR Phone remotely from ME
  4. alberaps

    Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na mbunge Esther Matiko waachiwa kwa dhamana baada ya kushinda rufaa ya dhamana

    Mwanamke wa Kiislam at your Best. Sent using YOUR Phone remotely from ME
  5. alberaps

    Ukihisi una matatizo na Serikali yako, usikimbilie nchi hizi....

    Daah Dunia Hii Kuna Watu Na Viatu. Hadi CHOPEKO NA MNOFU? Sent using YOUR Phone remotely from ME
  6. alberaps

    Machungu unayopata Makonda Msibani Ndio Fundisho Ubaya Haulipi

    Ni kwa Vile tu DEAD PEOPLE TELLS NO TALES mnaweza Kuongea mnavyotaka. Sent using YOUR Phone remotely from ME
  7. alberaps

    Hivi Dr D.W Slaa alihama CHADEMA kwa sababu Lowassa alihamia au aligombea urais kwa tiketi ya CHADEMA?

    Ushalipwa hela Yako Na Jahili KINANA? Sent using YOUR Phone remotely from ME
  8. alberaps

    Hivi Dr D.W Slaa alihama CHADEMA kwa sababu Lowassa alihamia au aligombea urais kwa tiketi ya CHADEMA?

    Ukiwa Mteule wa Bwana Yule HAKUNA NEUTRAL. Huelewi nini hapo? Sent using YOUR Phone remotely from ME
  9. alberaps

    Lissu kuhutubia Bunge la Marekani mwezi April 2019, atakuwa mbunge wa Kwanza mtanzania kuhutubia Congress ya Marekani

    Mkinyimwa Msaada Na Mnaowaita Mabeberu muwe mnatulia sasa. Sio Leo Mabeberu Kesho Marafiki Sent using Jamii Forums mobile app
  10. alberaps

    Lissu kuhutubia Bunge la Marekani mwezi April 2019, atakuwa mbunge wa Kwanza mtanzania kuhutubia Congress ya Marekani

    Muafrica mwenyewe hajawahi kuwa Na Plan zozote kwake mwenyewe. In fact plan Ovu alizokuwa nazo Mzungu zimeifikisha South Africa Ilipo Na Congo iliyopata uhuru 1960's Imebaki kama unavyoiona Sent using Jamii Forums mobile app
  11. alberaps

    Membe, Lissu, Zitto, Nape, What a 2020 Combination

    Wewe ni Mtu wa kulalamika Kila wakati unahisi dunia Nzima Ni Slaa. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. alberaps

    Edward Lowassa arejea CCM, apokelewa na Uongozi wa juu wa chama

    Anatekeleza Ilani ya Chama Gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  13. alberaps

    Tundu Lissu akamilisha matibabu sasa hana sababu kuendelea kuishi ughaibuni

    Huwezi kuwa Daktari wewe. Haujui just basics of medicine kwa Ulichoandika hapo. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. alberaps

    Who is INDO Power Solutions na ni nani Bw. Brian Mutembei?

    Kama Biashara inafanyika Na yeyote(KANGOMBA/MATAPELI wakiwepo) kulikuwa Nashida gani kuwabana mwanzoni ? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. alberaps

    Malisa: Kuhusu Hardtalk sikutaka kusema lolote kwa sababu alichokifanya Lissu hakuna mwanaCCM yeyote anayeweza kufanya

    Umejuaje Mimi Ni Kamanda? Wapi Nimeshoboka? Kwako kitu kisicho cha kawaida kikoje? Wapi nimesema hamna Mtanzania mwengine mwenye Uwezo huo? Kwa Kipimo gani sasa? Sent using Jamii Forums mobile app
  16. alberaps

    Malisa: Kuhusu Hardtalk sikutaka kusema lolote kwa sababu alichokifanya Lissu hakuna mwanaCCM yeyote anayeweza kufanya

    Kwako wewe mungu Ni nini? Umejuaje Kuwa Mimi Ni mtu kama wewe? Hamna Niliposema Anatisha.! Kuna Maswali yasiyojibika? Tatizo langu Mimi Na nani? Umejuaje napenda vilivyo duni? Nani kasema Alichosema Lisu sio cha kawaida. Kisicho kawaida ndio kikoje kwanza? Sent using Jamii Forums mobile app
  17. alberaps

    Malisa: Kuhusu Hardtalk sikutaka kusema lolote kwa sababu alichokifanya Lissu hakuna mwanaCCM yeyote anayeweza kufanya

    Watu sampuli hiyo Ndio Hawatakiwi Na CCM ya sasa Na wanawindwa kama Swala. Huyo January anatembelea Kwenye Waya kwenye Wizara isiyo Na changamoto zozote za maana Na Uhakika wa kutoboa amaliza this term Ni 40%. Huyo Mwengine hata Simjui siwezi kumjadili kabisa Ambacho unajitoa akili kutoelewa...
Back
Top Bottom