Search results

  1. M

    POST GRADUATE DIPLOMA OF ECONOMIC DIPLOMACY

    Wadau naomben kuuliza hii course ya diplomasia ya uchumi vip kuhusu nafas zake za ajira hapa tz?
  2. M

    Uchambuzi: Nia ya msajili wa vyama vya siasa kufuta usajili wa kudumu wa ACT - Wazalendo

    *KUFUTIWA USAJILI WA KUDUMU ACT- WAZALENDO* SEHEMU YA KWANZA NIA YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA KUFUTA USAJILI WA KUDUMU WA ACT-WAZALENDO (UCHAMBUZI) 1. Utangulizi Kabla ya kutoa uchambuzi juu ya nia ya msajili wa vyama vya siasa kukifuta chama cha ACT-Wazalendo, akizingatia sheria ya vyama...
  3. M

    Maombi ya kumtaka Jaji Ndyansobera ajitoe kusikiliza mashauri ya CUF yamekataliwa

    FROM HIGH COURT Maombi ya kumtaka Jaji Ndyansobera ajitoe kusikiliza mashauri ya CUF yamekataliwa na kutupwa. Jaji ataendelea kusikiliza mashauri yote kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Sheria nyingine za nchi. "Kujiondoa kusikiliza kesi sio jambo jepesi kama...
  4. M

    Sura mbili za mbunge wa Tanga Mussa Mbaruku

     Mbunge wa jimbo la Tanga Mjini na kiongozi mwandamizi katika Chama cha Wananchi (CUF), Mussa Bakari Mbaruku huenda akaingia matatizoni baada ya msimamo alioutoa kuhusu kinachoendelea ndani ya chama hicho, kupingwa na wenzake wilayani, anaandika Mwandishi wetu. Kwa mujibu wa taarifa ya...
  5. M

    Waraka maalum aliouandika Maalim Seif kwenda kwa jaji Francis Mutungi

    Waraka maalum aliouandika Maalim Seif kwenda kwa jaji Francis Mutungi THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-Chama Cha Wananchi) Office of Secretary General P.o.box 3637, Zanzibar, Tanzania. Kumb.Na.: CUF/HQ/AKM/003/017/08 Tarehe : 16/8/2017 Mhe. Jaji Francis...
  6. M

    Chama cha wananchi-CUF: Mualiko wa kuhudhuria mkutano na katibu mkuu Maalim Seif

    THE CIVIC UNITED FRONT (CUF-CHAMA CHA WANANCHI) Mualiko wa kuhudhuria Mkutano na KATIBU MKUU Maalim Seif: Kesho Jumatano Tarehe 28 June, 2017 katika Ofisi ya Wabunge wa CUF- Magomeni, kuanzia saa 7 mchana Maalim Seif atakutana na Wajumbe wa BKUT, Wabunge, Madiwani, viongozi na wanachama...
  7. M

    Prof. Lipumba na mtazamo potofu juu ya dhana ya ufisadi

    Juzi Tarehe 11/5/2017 Lipumba, John Cheyo, Agustino Liyatonga Mrema na wengine wachache waliojinasibu na kujipambanua kuwa ni viongozi wa vyama vya upinzani nchini walihudhuria dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini na mwenyeji wake Rais Magufuli Ikulu, Dar es Salaam...
  8. M

    Naombeni ushauri wa kisheria

    Nimefungua kesi mahakama kuu dhidi ya eco bank. Kuna mtu amefoji title kwa jina la marehem mzee wangu ambae amefariki miaka 15 nyuma. Huyo mtu amekopa bank 250m na akaweka dhamana. Mwishowe bank walinivamia kutaka kuuz nyumba yangu. Ndipo nikaidhtak bank. Kwa sasa ipo ptc ya mwisho kisha...
  9. M

    Kwanini sikubaliani na alichokisema Rais Magufuli kuhusu Jumuia ya Madola

    Leo nimelazimika kusema haya ili angalau mzee huyu apunguze usanii na ghiriba kwa WaTz kuhusu serikali hii. Mtakumbuka siku ya kufungua Bunge na kumuapisha Waziri Mkuu mpya Mhe. Kassim Majaliwa, Magufuli akiwa mgeni rasmi alichezea akili za wananchi kwa msaada wa Ndugu Buhohela akiwa pamoja...
  10. M

    Dr. Magufuli na usanii wa Hospitali kuu ya Taifa Muhimbili

    Hebu tafakari kuhusu vitanda vya Muhimbili Magufuli alitoa kauli hiyo ijumaa jioni na jumamosi mchana vitanda vikawa tayari vimewasili Muhimbili. Je pesa jizo alikabidhiwa mkurugenzi saa ngapi na kuanza process ya kuzitoa bank saa ngapi na afisa manunuzi wa Muhimbili alitafuta QUOTATIONS...
  11. M

    Nani anaiongoza Tanzania, Pombe Magufuli au Jakaya Kikwete?

    Nani anaongoza Tanzania, Magufuli au Kikwete? Sote tunafahamu kuwa John Pombe Magufuli, maarufu kama JPM, ndiyo aliyechaguliwa na kuapishwa kuwa Rais wa Awamu ya Tano. Hilo halina ubishi wala mjadala. Pia Jakaya Mrisho Kikwete, maarufu kama JK, ni Rais wa Awamu ya Nne aliyemaliza muda wake...
  12. M

    Viongozi wa UKAWA Tanga, fanyeni matangazo ya mkutano wa Lowassa

    Kesho tarehe 28.09.2015 mheshimiwa Edward lowassa atakuwa na mkutano wa hadhara utakaofanyika kwenye viwanja vya tangamano kuanzia Saa7 mchana. .lkn cha kushangaza mpaka sasa ukawa hawajafanya matangazo ya kuwajulisha wakazi wa tanga.taarifa rasmi hawajatoa. .kiujumla ukawa tanga bado wamelala...
  13. M

    Mgombea mwenza wa CCM aendeLea kukiuka taratibu

    Katika hali ya kushangaza mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM mama Samia Suluhu Hassan leo amechelewa kumaliza mkutano wake wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya Usagara jijini Tanga.mama Samia alichelewa kufika mkutanoni,a lifika saa 12 kasoro na kuanza kuhutubia saa 12 kamili na kumaliza saa...
  14. M

    Tsunami ya Mgombea mwenza wa UKAWA Tanga mjini

    Leo katika viwanda vya tangamano tanga mgombea mweza wa ukawa kupitia chadema juma dunI hajj amefanya mkutano wa hadhara uliohudhuria na maelf ya wakazi wa tanga. Gumzo kubwa ni kila mtu anadai mabadiliko na kuchoshwa na ccm. Ikumbukwe tanga hapo nyuma ilikuwa ngome ya ccm.mwaka 1995 mkapa...
  15. M

    Tsunami ya mgombea mwenza wa ukawa tanga mjin

    Leo katika viwanda vya tangamano tanga mgombea mweza wa ukawa kupitia chadema juma dunI hajj amefanya mkutano wa hadhara uliohudhuria na maelf ya wakazi wa tanga. Gumzo kubwa ni kila mtu anadai mabadiliko na kuchoshwa na ccm. Ikumbukwe tanga hapo nyuma ilikuwa ngome ya ccm.mwaka 1995 mkapa...
Back
Top Bottom