Soma paragraph yangu ya kwanza uliyoquote alafu urudie ulichoandika..
Corona variant inayotoka SA inaua pamoja na vijana.. Je, ndugu yangu, msanii mwenzetu na mwanetu CPwaa, ile pneumonia haikuwa corona?? Au ndio tusifukue makaburi?? Aga Khan tumeona wodi za wagonjwa wa corona, je??
Hakuna...
Hilo nalitambua, hata nchi nyingi zimefanya hivyo.. In total, about asilimia 10 ya vifo vilivyotajwa kama ni vya corona haviendani na corona na wala sio corona..
zipo hospitali ambazo zilipoona fursa ya corona zikasema na zenyewe zitangaze wanaokufa huko kwa corona ili wapate kuangaliwa na...
Tunaelewa serikali inakwepa kununua chanjo maana hesabu kamili ni: idadi ya watu katika taifa (Tz tuna kama mil 60) * cost ya dawa (tu assume ni $100) = $bil 60 ndio inabidi itumike kununua chanjo.. Hilo sio lengo la tunaosema serikali itangaze uwepo wa korona. Narudia, sio lengo letu.
Lengo...
Kuna variant ya covid ambayo imeanzia South Africa.. Leo wanamzika aliyekuwa Waziri katika ofisi ya Raisi, Jackson Mthembu, aliyefariki kwa corona.. Jana wametangaza mwana mziki maarufu wa zamani kidogo, Jonas Geangwa, amefariki kwa corona..
Kifupi, ipo variant ya covid iliyoanzia Sauzi na...
Sio lazima tuwe na lockdown ila tukivaa barakoa, kutopeana mikono (makanisani, misikitini na kwingine), kuosha mikono na maji safi, kusanitize na kujipa nafasi (social distancing) tutapunguza maambukizi kwa kiwango kikubwa sana..
hata baa au mgahawani, zile meza zilivyowekwa tayari kuna nafasi...
Pole sana Pelly..
Natamani niseme hao jamaa ni legit ila logic inaniambia hapana.. Airbnb watakutumia email wenyewe na kukuonyesha mtu kabook then kalipa..
Kama mtu kabook ila hajalipa, ikikaribia siku za kufika kwao Airbnb wanakutumia email kusema una booking ila hela hawajapata so uamuzi ni...
Mashirika kama fastjet yaliweka bayana kwamba ticket yako inakupa siti kwenye ndege na x amount ya kg za mzigo.. Ukitaka chakula unalipia separate na hata mzigo ukizidi unalipia peke yake pia.. Ili kuweza kufikia malengo yao, walifanya bei za ticket ziwe chini wakijua wanajazia kwenye mizigo...
Ukiweka email address, kqa kila safari unayoomba, dereva akimaliza tu trip na wewe unapata risiti kwenye email yako..
So akikwambia kiwango tofauti na ulichotegemea, cheki email yako kwa risiti tokea uber ambayo itaonyesha safari ilipoanza + muda na ilipoishia.. itaonyesha pia gharama.. lipa...
Kwa uelewa wangu mdogo..
Unaporequest, dereva haoni unapoenda mpaka akufikie na kuanzisha trip.. Pengine ndio maana baadhi huanzisha trip huko walipo ili waone unapoenda na kuua trip..
Ndio maana baadhi wanapopiga sinu hukimbilia kukuuliza unapoenda ili awazie cost kwake..
Kibaya sana ni...
Hilo linafahamika na halina ubishi..
Tunachojadili ni tabia za madereva.. Kuna haja ua uber kuwapa training mara kwa mara au kuwapa onyo kutokana na tabia zao..
Sent using Jamii Forums mobile app
Wazo la haraka ni kwamba anaweza kukosa request ya kurudi.. Lakini, kama wewe unaenda, basi kuna mtu anaweza kuwa anarudi..
Biashara nzima imejengwa kwenye imani kwamba wateja watapatikana njiani.. uzuri unaita kwa app na sio kupiga mkono.. so huwa sielewi dereva anayesema route hiyo sitapata...
Naamini ni kingereza maana sina uhakika kama wanahuduma ya kiswahili.. Kama ipo basi tumia kiswahili..
Njia nyepesi, elezea tatizo kwa lugha zote mbili ili upate majibu ya haraka.. Haraka hii haimaanishi dakika basi inaweza kuwa hata siku mbili..
Tukumbuke lalamiko lolote unaloliweka kwenye...
Nakubaliana nawe asilimia mia..
Yule jamaa aliyechukua buku 7 ya juu kwenye system anakatwa na kupewa wenzake..
Kikubwa ni kwamba ukiona umeonewa, ingia kwenye system help na elezea tatizo lako nje ndani.. watakusaidia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo nalo ni kweli..
Ukishamwambia dereva ulipo, anaanzisha route kabla ya kukufikia.. akifika ulipo anasema kwa bahati mbaya alianzisha route na kuomba msamaha.. lakini inapotokea kwa watu tofauti zaidi ya mara moja ni either wanahitaji training au wanafanya makusudi..
Sent using Jamii...
Wote mmelezea vizuri tu..
Nakubaliana na hoja ya kwanza kuhusu madereva kulalamika.. Mie nimekutana na hiyo hali pale ninapoomba uber na dereva baada tu ya kukubali request anakupigia simu kuuliza ulipo na unapoenda.. Naomba ieleweke, hii ni baada tu ya kukubali request.. Hajaangalia kwa map...
What wars has Kenya fought?? And won??
You have the aid of American Army and your intelligence is only focused on politics..
Truth is, last week the Namanga border situation was well handled and made your security intelligence question what Tanzania can do in few minutes to settle a...
Kwanza pole na tambua wapo watu wanaoweza kukusaidia..
Kikubwa kuwa karibu na mtu unayemuamini na badilishaneni mawazo.. Ukiweza kusafiri ili uende mazingira tofauti inaweza kubadili perception ya mambo na kukurudishia positive thoughts za maisha.. Kaa na watu wanaopenda maendeleo bila...
Kwa Johannesburg, Sandton imekaa vizuri kiusalama na hata mall kwa ajili ya shopping..
Pretoria mji mzuri kwa mizunguko ya kawaida na kutembelea maofisi.. Location nzuri kwa Pretoria ni Arcadia na maeneo ya Menlyn..
Cape Town kwa upeo wangu ndio mji mzuri ambao ukisema unaenda na familia...
Nashukuru mkuu umeleta hili maana nimejifunza kitu kipya..
Hii source Brain Fog: 6 Potential Causes ni kama inaiweka brain fog kuwa sio ugonjwa bali dalili za kitu/ugonjwa mwingine..
Kikubwa inaongeza factor nyingine ya change in hormones besides yale tuliyoyajadili..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.