Search results

  1. Kecha Boksi

    Barabara mpya na za kisasa kwenye miji mikubwa ni kwa ajili ya kupendezesha miji?

    Wasalaam, Hizi barabara mpya na za kisasa za kuingia kwenye miji yetu mikubwa ni kwa ajili ya kupendezesha miji? Fikiria barabara kubwa ya kuingia mji mkubwa wa kibiashara Tanzania? Njia nne kwenda njia nne kurudi. Anzia Kimara mwisho hadi inapoishia ni vibao vya hamsini mwanzo mwisho. Kila...
  2. Kecha Boksi

    Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    Tulifumania fursa kwenye mpunga mkuu. Tulipata eneo la umwagiliaji na bahati ikawa nzuri sehemu ya shamba tukapata kazi ya kulima mbegu za kampuni fulani.
  3. Kecha Boksi

    Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    Hakika mkuu, mapambano yaendelee.
  4. Kecha Boksi

    Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    Mkuu, kwa hasara waliyotupa tulikubaliana kulipana nusu ya walichotakiwa kupata kama ujira wao.
  5. Kecha Boksi

    Ni hasara gani kubwa ulishawahi kuipata ikakurudisha nyuma?

    Miaka ya mwanzoni ya muhula wa pili wa JK. Hapo ufuta umegeuka kuwa almasi ya kusini, bei imesimama maradufu. Tukajiunga na rafiki, tukapata shamba na kukubaliana kulima ekari 50. Maandalizi ya shamba yakafanyika, tukampata msimamizi na wasaidizi wake wote wazoefu. Shughuli ikaanza, lima, piga...
  6. Kecha Boksi

    Sitasahau madhira yaliyonikuta nilipoenda kuchimba madini Mozambique

    Imepita zaidi ya miaka saba sasa mkuu. Kiafya niko mzima kabisa. Kwa hali niliyokutana nayo siku ile siwezi kupinga, ukimwi utakua mwingi sana kwa ule muingiliano.
  7. Kecha Boksi

    Sitasahau madhira yaliyonikuta nilipoenda kuchimba madini Mozambique

    Mkuu sina kumbukumbu nzuri ya ule usiku pale room ingawaje asubuhi hatukua na nguo. Na kumbuka pia boss wao aliwaambia watupe experience ambayo hatutasahau.
  8. Kecha Boksi

    Sitasahau madhira yaliyonikuta nilipoenda kuchimba madini Mozambique

    Nimekumbuka mbali sana kuhusu Dar Poli. Mwaka fulani kwenye harakati za kutafuta maisha hapo Mbinga tulienda safari ya kikazi kijiji cha jirani na Dar Poli. Baada ya kumaliza kilichotupeleka mwenzangu akasema twende tukapige bata porini leo. Kwa kuwa siku yenyewe ilikua Ijumaa na mfuko ulikua...
  9. Kecha Boksi

    Kwa wale walio wahi kuishi Mkoa wa Kilimanjaro hasa maeneo ya ( Moshi mjini)

    Great, harakati za kimaisha hutupeleka kila sehemu. Nimewai kuishi Moshi mjini kama mwajiriwa kwenye moja ya miradi miaka ya 2012. Kwa harakati za maisha, itabidi upigane sana. Mji una uzawa sana huu. Binafsi niliwahi fanya biashara ya kukodisha viti na tents. Ilikua inaenda poa japo kwa...
  10. Kecha Boksi

    Yuko wapi Allan Mapigo?

    Nipo mkuu. Sasa hivi nimeacha maneno naweka mapigo tu kwenye muziki. Mwaka huu utakua ni kazi juu ya kazi yaani bampa to bampa.
  11. Kecha Boksi

    Uchumi unaanguka wakati Barclays wanafungua matawi nchini!

    Kwa Kiswahili fasaha, hili kweli ni tawi jipya. Kiuhalisia tawi hili ni mbadala wa tawi lao lililofungwa la ITV / Mwenge. Na hii ilitangazwa na bank walipokua katika maandalizi ya kulifunga tawi hili. Pamebaki ATM tu pale barabarani. Haya, 1 toa 1 = ?
  12. Kecha Boksi

    Flash Back Memories: Matukio ya Boarding School

    Kama nakuona ulivyokua unakatiza mitaa ya "Kibini"!
  13. Kecha Boksi

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Karibu sana mkuu. Kwa sasa ninafanya hizi shughuli za ufugaji nyuki Saadan, Morogoro na Kisarawe.
  14. Kecha Boksi

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Karibu sana mkuu. Kuona kwa macho ni tofauti sana na kusikia.
  15. Kecha Boksi

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Real G, Kuna tofauti kubwa sana kati ya mzinga na mzinga kwenye uvunaji kutegemea na aina / design hata kama yote itawekwa kwenye eneo moja lenye mazingira sawa. Kujibu swali lako vizuri, frequency ya uvunaji kwa mzinga kama eneo lina vegetation kwa wingi linaweza kuwa zaidi ya mara sita kwa...
  16. Kecha Boksi

    Ufugaji wa kisasa wa Nyuki: Faida, Utaalam na Masoko

    Mkuu, Kiukweli kuna aina nyingi sana za miti na maua / mimea yenye maua yapendayo na nyuki. Upandaji pia unategemea sana mipango yako ya muda mfupi na muda mrefu katika mradi wako wa ufugaji nyuki, pia eneo ulipo. Naomba nitaje michache na rahisi kupanda; Miti: Miembe, Milonge, mizambarau...
  17. Kecha Boksi

    Biashara ya mashine ya kusaga na kukoboa nafaka- Fahamu bei zake, uendeshaji wa biashara hii pamoja na faida na hasara zake

    Mimi kwa kuongezea, ningeshauri ufikirie yafuatayo pia kadri biashara itakavyokuwa: 1. Kupata mashine / teknolojia nyepesi ya kukausha pumba. Uzalishaji ukiwa mkubwa ni dhahiri ukaushaji pumba huenda ukakusumbua kutokana na ufinyu wa nafasi ya kuanika au vipindi vya mvua. Hivyo, kuwa na njia ya...
Back
Top Bottom