Search results

  1. K

    Mtoto wa mke wangu amenishinda, anaelekea kuvunja ndoa yetu

    Nawasalimu wote Nilimuoa mke wangu wakati akiwa na mtoto mkubwa wa darasa la saba, Mimi nimezaa nae watoto wawili, tulifunga ndoa bomani kutokana na utofauti wa dini Tatizo linaloninyima usingizi ni huyu mtoto wa wife, amekuwa na tabia zisizofaa, wakati tunafunga ndoa makubaliano yalikuwa ni...
  2. K

    Hakuniambia kama alitolewa kizazi, nimegundua siri baada ya miaka 6 kwenye ndoa

    Tulioana mwaka 2009 baada ya kukaa kwenye uhusiano kwa miaka 2.Baada ya kupita miaka miwili bila kushika mimba nilimuomba aende kucheki kwamba tatizo ni nini, baada ya vipimo akaniambia kwamba amekutwa na tatizo dogo tu na kupewa dawa hivyo tuendelee kumuomba Mungu, Miaka 2 ikapita tena...
Back
Top Bottom