Search results

  1. Calvin75

    Namna ya kupika vitumbua vya kuku

    Vipimo Kuku - 3 Lb Mayai - 6 Baking Powder - 1 kijiko cha chai Pilipili boga - Robo kipande Kitunguu maji - 1 kidogo Pilipili manga ya unga - 1 kijiko cha chai Kitunguu saumu(thomu) na Tangawizi - 1 kijiko cha supu Chumvi - ½ kijiko cha chai Mafuta ya kuchomea Namna ya kutayarisha na...
  2. Calvin75

    Namna ya kupika mandazi ya vanilla na nazi

    Mahitaji Unga wa ngano kilo 1 Amira vijiko 2 vya chai Sukari vikombe viwili vya kahawa Vanila ya unga nusu kijiko cha chai Chumvi nusu kijiko cha chai Nazi 1 tui zito Mafuta lita 2 Maelekezo Chemsha mafuta mpaka yachemke, weka unga kwenye bakuli au sufulia. Weka chumvi, amira changanya...
Back
Top Bottom