Search results

  1. ikipendaroho

    Suala la dini litanikosesha ndoa. Naombeni ushauri

    Mpigie simu mama yako umwambie, "Dini yangu ni CCM"
  2. ikipendaroho

    BoT zifungeni Bureau de Change zilizofungwa wakati wa Hayati Magufuli

    Dollar huipati hata kwa Tsh2,600/1US$. By Oct 2025 itakuwa 1US$ = Tsh 5,000
  3. ikipendaroho

    Mafuta nchini Algeria ni Tsh 850 tu kwa lita!! SISI tunakwama wapi??

    Na sisi kg ya korosho ni sh 3500 tu
  4. ikipendaroho

    Job Ndugai: Kwenye negotiations lazima upeleke 'brains' zako, first class thinkers. Form four (Makarai matupu) ataenda kunegotiate nini?

    Mbona wewe ulipokwenda matibabu India hukupeleka brains kunegotiate gharama zako za matibabu?
  5. ikipendaroho

    Kuna mpasuko mkubwa Zanzibar kati ya Balozi Ali Karume na Rais Mwinyi. Inadaiwa Ali Karume kaitwa na Majasusi kumuweka 'sawa'

    1. Matebele- Nyasaland 2. Juba - South Sudan. 3. Mkuranga - Tanganyik 4...
  6. ikipendaroho

    Rais wa Zanzibar tafuta washauri wazuri suala la ardhi ya Bagamoyo

    Mtoa mada, Charles kasema ni mali ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanxibar na sio sehemu ya Zanzibar, bendera haikuhitajika kuwekwa kwa vile inabakia kuwa ni sehemu ya Tanganyika. Kama hiyo ardhi ilikuwa haitumiki, however, mimi sioni ubaya kupewa mtu mwengine ambaye ataitumia na kuleta manufaa...
  7. ikipendaroho

    Zanzibar: Hekta 6,000 zilizopo Bagamoyo ni mali yetu

    Ni fidia kwa kuivunja ASP!
  8. ikipendaroho

    TANESCO imeisamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60

    Don't you worry! There is a Geneva Convection stil exists!
  9. ikipendaroho

    TANESCO imeisamehe Zanzibar deni la umeme la bilioni 60

    Kumbuka kwamba wenzenu mumewaibia nchi nzimaaa nyie umeme tu unawauma kiasi hicho! Kwa upande mwengine Wazanzibari wanakubaliana na wewe huu muungano ni wafigisu tupu bora tu uvunjwe!
  10. ikipendaroho

    Naomba kujuzwa gharama za msingi kwa nyumba ya ghorofa moja

    Hiyo mpaka ghorofa ya 7😂😂😂! Kwani suala lilikuwa vipi?
  11. ikipendaroho

    Boma la hii ramani litagharimu kiasi gani?

    Hizo steps akigonga mvua 70 ataweza kuzipanda kweli? Atashindwa kutoka ndani huyo!
  12. ikipendaroho

    Boma la hii ramani litagharimu kiasi gani?

    Tofali 2500 ni za kuinua boma (ignore roofing design). Foundation unatumia nini? Tofali 2500 zinakula mifuko ya saruji 32 roughly. 18 iliyobaki itatosha kwa foundation na zege?
  13. ikipendaroho

    Ndugu zangu wa Jimbo la Iringa Mjini, mpeni Ubunge ASAS Uchaguzi wa 2025

    Na wewe hivyo unajua nini nimezungumza?
  14. ikipendaroho

    Ndugai: Mzee Malecela alinitaka nijiuzulu u-Spika haraka; nikajiuzulu

    Mila za kwetu sisi hatutafuti umaarufu wa story za kijinga wakati wa msiba!
  15. ikipendaroho

    Ndugai: Mzee Malecela alinitaka nijiuzulu u-Spika haraka; nikajiuzulu

    Ikitokezea mzee Malecela katangulia kabla ya Ndugai, atatoa hadithi gani nyengine?
Back
Top Bottom