Search results

  1. Makucha

    CHADEMA mna chaguo za kubaki salama

    If you cannot beat him.join him to beat him
  2. Makucha

    CHADEMA mna chaguo za kubaki salama

    CCM tuwe macho na hili la nne tunapowapokea kama wanakuja ndani wapinzani nje CCM, wakisubiri uchaguzi warudi katika nafasi zao wamevalia rasmi, tutakwisha.
  3. Makucha

    Humphrey Polepole afunguka, Maaskofu semeni tu

    Mh. Polepole niko na wewe na usiogope mtu au Askofu fulani. Enda zaidi usiandikie mate na wino unao maana baadhi yetu hatukuwasikia wakisema na pengine tunayosoma ni ya watu wanavyotaka tuwaelewe Maaskofu wamesema nini. Toa matamko yao makubwa matatu na sema haya ni itikadi ya chama fulani au...
  4. Makucha

    Msimamo wa wahisani juu ya Zanzibar leo

    Kuhusu misaada, ikibidi sisi bara tusihusike na kunyimwa misaada kwa sababu sisi hatukupiga kura Zanzibar. Walipiga wenyewe, wabebe mzigo wao wenyewe. Jamani sioni sababu ya kuumia kimzahamzaha kwa mambo ambayo hatukushirikishwa. Tulifikiri ni ya Zanzibar kumbe ni ya Tanzanai, how?. Hata hivyo...
  5. Makucha

    Rais Magufuli akielekea Chato atua Mwanza na kutoa maagizo

    Hivi walitaka ale na nani? Mhe Magufuli ni mwenzetu tunamuombea maisha marefu na aendelee kupata washauri wazuri kwa maendeleo yetu.
  6. Makucha

    Ukimya wa serikali na upotefu wa trilion1 za Marekani

    Yahusu sababu za mwelekeo wa Tanzania kukosa misaada ya MCC: Je nchi yaani Tanzania ingepiga kura kwa uhuru ni nini mtazamo kuhusu Zanzibar? Wazanzibari wote wangepiga kura kwa uhuru (bila CUF kuzuia wengine) ni nini mtazamo kuhusu Zanzibar? Hivi tuna wasiwasi na Wazanzibari wenzetu? Nionavyo...
  7. Makucha

    Mtazamo: Kuhusu MCC kusitisha msaada wa MCC 2 na shughuli zake Tanzania

    Jamani tutofautishe maamuzi ya vyama na maamuzi ya nchi yaani nikiwa na maana ya maamuzi ya wananchi
  8. Makucha

    Tamko la ACT-Wazalendo juu ya kusitishwa misaada ya MCC

    Hivi MCC inahusu pia Zanzibar?
  9. Makucha

    Tanzania National Identities

    Ni kuhusu kutoonekana wazi saini katika vitambulisho (ID): Kwangu mimi ili mradi saini ziko ndani ya ID sioni ni katika hali ipi tutakwama kwa sababu ya kukosa saini ya kuonekana wakati picha ipo, namba ya ID ipo (yenye taarifa nyingi umri, unapoishi, ..) na zaidi tunajua penye matumizi mabaya...
  10. Makucha

    Ripoti ya Twaweza ya #SautiZaWananchi: Magufuli na CCM wang'ara dhidi ya wapinzani - Sept 22, 2015

    Tatizo ya tafiti ni kwamba unaweza ukacheza na takwimu hizo hizo na kubadili vigezo ukaishia majibu tofauti. Huu ni utabiri.
  11. Makucha

    Kumbe hata barabara ya lami kwa Sumaye imejengwa na Magufuli

    Tusi-personalize saana vitu hivi kukaribisha mashambulizi wakati tunajua kazi ya inafanywa kwa ushirikiano na wananchi kutumia hela ya walipa kodi wote.
  12. Makucha

    Sheria ya Makosa ya Mtandao 2015: Kwa mkakati huu wa Serikali, Watumiaji wa Mitandao tutapona?

    Sheria hii isiyo na mipaka inayoeleweka imepoteza lengo zuri lililokusudiwa na pia limepoteza lengo la sheria yoyote nzuri. To every good law there is an exception. Ukiondoa kesi za madai na fidia, lengo kuu la adhabu katika sheria ni kwanza kumfanya mkosefu asirudie kosa na kwa mfano wa adhabu...
  13. Makucha

    Hakuna mwaka laini kwa UKAWA kuchukua nchi kama huu 2015

    Hakuna mwaka laini kwa Lowasa kuwa Rais na hivyo hivyo hakuna mwaka laini kwa UKAWA kuchukua nchi kama mwaka huu. Kumekuwa na changamoto ya kuigawa na kuifelisha UKAWA Vigezo vinazaliwa kila siku; kipya kikiwa na madhara zaidi ya kilichopita kugawa UKAWA. Bw. Ogopa ccm na kadri UKAWA inavyo...
  14. Makucha

    Mzee Mtei na Kingunge kuleta ukombozi kupitia Lowassa, CHADEMA na UKAWA

    Swala Sio ushindi tu, ni ufanye nini baada ya ushindi. Kinachodidimiza nchi hii ni UFISADI. Ufisadi hauwezi kuondolewa na mtu kwenye harufu ya kifisadi au anayekuja kwa nguvu za kifisadi. Kitu ushindi tu sio jibu la tunachotaka. Lowasa anachojua na KUAMINI ni Sera za CCM na ni mkereketwa wa Sera...
  15. Makucha

    CUF kuachana na UKAWA na kuungana na ACT-Wazalendo?

    Jamani msipoteze mda zaidi. NCCR na CUF ongea na kijana Zitto undeni UKAWA HALISI kesho tangaza moja wenu awawakilishe UKAWA basi mumemaliza kazi na mtastahili kura nyingi sana na ushindi wa kishindo. Baada ya kusema haya ninaanza kuwapima.
  16. Makucha

    Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    CORRECTION: Ukawa cheki technical requirement kuhusu mgombea kuchukua form na kutangazwa. Ukawa ndio tumaini la nchi kuleta mapinduzi ya kuleta haki na maendeleo kwa wote. Kumleta sasa hivi mtu hata mzuri kiasi gani kutoka nje awaongoze bila kujua mnatoka wapi munaenda wapi na yapi ni malengo...
  17. Makucha

    Kinachojiri kutoka Millenium Tower DSM, Kutangazwa mgombea Urais wa UKAWA

    Ukawa cheki technical requirement kuhusu mgombea kuchukua form na kutangazwa. Ukawa ndio tumaini la nchi kuleta mapinduzi ya haoni na aende leo kwa wote. Kumleta sasa hivi mtu hata mzuri kiasi gani kutoka nje awaongoze bila kujua mnatoka wapi munaenda wapi na yapi ni male go yenu, ni...
  18. Makucha

    Wananchi kanda ya ziwa waanza kurudisha kadi za CHADEMA!

    Mimi ni wa Kanda ya Ziwa na sina ugomvi na Magufuri. Lakini kwamba kuna wangu wangu wanarudisha kadi za Chadema hilo sio kweli hapa Mara. Kwanza tunajua kwamba itambidi afuate Sera na dira ya chama ccm iliyomuweka madarakani. Ukiondoa Nyerere hakuna kiongozi aliyetoa ahadi na maagizo matamu kama...
  19. Makucha

    Elections 2015 Yaliyojiri katika vikao vya CCM Dodoma - Julai 10-12, 2015. Magufuli achaguliwa kuwa mgombea Urais

    Shame, mimi sihitaji speech tamu tu halafu utendaji tofauti. Kama speech za JK zingetekeleka, leo tungekuwa mbali zaidi. Mimi sitaki ornamental speech kama za kumtongoza mwanamke, nataka honest and serious speech zinazonipa matarajio ambayo nitayaona wakati wa utekelezaji.
  20. Makucha

    Elections 2015 Licha ya kukubalika, Jina la Lowassa halitafika hata CC!

    Acheni kila mtu anayetaka urais jina lake lifike pote pale. Safari hii MDAHALO usiwe hiari. Kazi ifanyike usiku na mchana kuhakikisha kila mgombea anapata ulazima wa kushiriki kwa hiari. kwa mfano kupangwe hivi (hapa nachokoza tu ruksa mawazo ya kuboresha):- 1. Midahalo wa siku 3 Sera ya mgombea...
Back
Top Bottom