Search results

  1. maonomakuu

    Rais Magufuli; ubanaji matumizi; na kujichanganya [contradict]

    Inaokoa posho ya watumishi wanaoenda kikazi makao makuu,inafikika kwa siku moja
  2. maonomakuu

    Mkuu wa Mkoa Bora na Mkuu wa Mkoa bomu

    Hii tabia ya kubagua mlianza lini?
  3. maonomakuu

    Rais Magufuli; ubanaji matumizi; na kujichanganya [contradict]

    Dodoma ni KATIKATI ya nchi,rahisi kufika kutoka pande zote za nchi
  4. maonomakuu

    Dear Mange: “Failure is success if you learn from it”

    USHASOMA SASA KAWAHADHE KWENYE YIJIWE
  5. maonomakuu

    TBC live: Ibada ya Ijumaa Kuu

    Bunge haliwi live...... Yaani wewe acha tu inavyokera
  6. maonomakuu

    Waandishi wa Habari mnaoenda katika Press Conferences za Cyprian Musiba sidhani kama mko sawa

    Wewe mkuu huwa Unapenda haki Sana.... nakufahamu kama kada mtiifu usiye jitoa ufahamu kisa chama. Well said hivi lile gazeti la msiba kama ingekuwa Tanzania daima inaandika ule uharo ingekuwa wapi? Simama upande wa haki siku zote. Big up Sana mkuu
  7. maonomakuu

    UDADISI: Vikao vya kila mara BOT Mwanza na Ushirika usiopendeza wa Magufuli, Charles Kitwanga na Modestus Kipilimba

    Na wao watakaliwa vikao when the mission za wakubwa accomplished
  8. maonomakuu

    Ukuta wa Mererani wakamilika kwa zaidi ya asilimia 98

    Hivi huu ukuta Kwenda ardhini umejengwa kilomita ngapi maana Madini yako chini Sana Usije kuta tunalinda ukuta kumbe wachimbaji wako ardhini wanachimba kama kawaida wakitokea nje ya ukuta. Nani alikudanganya Mali iliyo chini ya ardhi inalindwa Kwa ukuta ulio juu ya ardhi?
  9. maonomakuu

    Taasisi ya dini inavyojipotezea heshima nchini Tanzania!

    Heshima ya Kanisa ni kuwaombea wanaotaka kuombewa Ila wakikosea hawaruhusiwi kuwakemea...... akili za kipumbavu hizi na za kinjaa na maslahi
  10. maonomakuu

    Maaskofu mwacheni Rais atimize wajibu wake.

    Wajibu wa kwanza wa kiongozi ni kulinda uhai wa anaowaongoza...... kila siku Watu wanapotea na vifo vya ajabu...... hili lisipokomeshwa maendeleo unamfanyia Nani? Kwanza wanamzuiaje kutimiza Wajibu wake? Usiwaze kinjaa mkuu
  11. maonomakuu

    Hongera ITV Kutuonyesha Live Uchaguzi. TBC Pia Wako Live ila ni Club Raha Leo Mbeya!.

    Free and fair election........kura zinaamuliwa na nani?
  12. maonomakuu

    Mtia nia ya kuwania Urais kupitia UKAWA ajivua uanachama wa NCCR - Mageuzi

    Wanarudisha nyuma juhudi Za kuongezea nguvu upinzani... historia itawahukumu
  13. maonomakuu

    TANZIA: Naibu Waziri wa Mazingira, Kangi Lugola afiwa na mke wake

    Watawala waelewe hivyo kuwa wote tutakufa hivyo tutende haki sote...... hawa wasiojulikana nao wajifunze na bosi wao Pia
  14. maonomakuu

    Shida ni Kwamba waliosema Mzee Kikwete ni dhaifu ndio wanasema Rais Magufuli ni Dikteta

    Mikutano ya Siasa siyo haki ya kikatiba? Ku
Back
Top Bottom