Search results

  1. Kirchhoff

    Amepotea na hajulikani alipo kwa wiki kadhaa sasa

    Isije ikawa na yeye kafanyiwa kama Robert Mushi wa Ex Mayor.. maana na yule ni wa Kariakoo pia.
  2. Kirchhoff

    Mlinda mlango wa Iran kuadhibiwa kwa kumkumbatia shabiki mwanamke

    Upendo wa Hosein kwa Shabiki na kuonyesha Binadamu wote ni Sawa Utaleta Ukombozi Iran Down Down Ayatollah
  3. Kirchhoff

    Nini kirefu cha herufi ya kati herufi G kwenye jina la Gadner G Habash?

    Msero wa Kikelelwa Rombo huko karibia Kenya.
  4. Kirchhoff

    Nini kirefu cha herufi ya kati herufi G kwenye jina la Gadner G Habash?

    Msero wa Kikelelwa Rombo huko karibia Kenya.
  5. Kirchhoff

    Nisaidieni kwa hili

    Scenario kama hiyo Yako ghafla siku Moja nikamkuta msela kambeba mtoto wake wa kwanza road.. Kaa kwa machale.
  6. Kirchhoff

    Je, Haki ya mtoto anayezaliwa nje ya ndoa kisheria imekaaje?

    Kuna Single Maza wa aina mbili au Zaidi 1. Ulizaa Bila Ndoa na Mwanaume Single ambaye alikuja kuoa mke mwingine. 2. Ulizaa Bila ndoa na mwanaume anayezalisha wanawake ovyo ovyo na kuwaacha. 3. Ulizaa na Mume wa Mtu mwenye familia yake na watoto wake Wengi tuu Kwenye Ndoa yake. 4. Ulizaa...
  7. Kirchhoff

    Nilipowaona Jamaa na Konyagi nilijiuliza

    Kuna Siku Huwa ninakuwa na Hali Fulani tumboni, chini ya mbavu changa pande Zote ila sanasana upande wa kulia, ambayo Huwa haitulii hadi ninywe walao kifuniko Cha Valeur au Konyagi ndo kunatulia.. Nimepima Figo zipo poa.
  8. Kirchhoff

    Je, umeshawai Kuota ndoto upo shule unafanya mtihani ilihali shule ulimaliza kitambo?

    Hii Imewahi kunitokea mara nyingi sana na Paper Huwa Ni La Physics mara nyingi.
  9. Kirchhoff

    Naombeni ushauri nataka kujifunza Data analytics Online

    Kozi nzuri ila Sasa Umri Umepita Kidogo. Hebu nimtafutie Btn 35-40
  10. Kirchhoff

    Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    Nina Mashaka Sana na Yule Kungwi Maarufu wa Arusha na Kifo Cha Mume wake. Huenda Kuna namna hakufurahia Maendeleo ya huduma ya Ukungwi wa Mke wake.
  11. Kirchhoff

    Mchungaji Mbarikiwa: Kilichokutuma Christina Shusho ni umalaya tu hakuna huduma hapo

    Anaitwa Mbarikiwa Mwakipesile Ni Jina Lake. Sasa Alipata Cheo Cha Urais ataitwa Rais Mbarikiwa. Kwa Kuwa Sasa ni Mchungaji hivyo anaitwa Mchungaji Mbarikiwa.
  12. Kirchhoff

    Naibu waziri mkuu, Dr. Biteko ashiriki mazishi ya CDF Ogolla nchini Kenya

    Mimi Nimeona No Sahihi Kiwepo Cheo Cha Naibu Waziri Mkuu kama Kilichopo Cha Naibu Spika na Makamu Wa Rais. Kidumu Chama Cha Mapinduzi.
  13. Kirchhoff

    Baada ya Mechi Kumalizika tegemeeni haya yafuatayo

    Sisi Simba
  14. Kirchhoff

    Baada ya Mechi Kumalizika tegemeeni haya yafuatayo

    Tulianza Vizuri.. Sasa hivi hatueleweki tunacheza Nini.
  15. Kirchhoff

    FT: Yanga 2 - 1 Simba | Ligi Kuu ya NBC | Uwanja wa Benjamini Mkapa | 20/04/2024

    Hawa TBC Naona wapo Mubashara.. wanaonyesha Mechi au?
  16. Kirchhoff

    MJUE STUNT:- Mungu akusaidie usiwe Stunt.

    Unamaanishi Stunt Man wa Ndoa?
  17. Kirchhoff

    Azam CamCard

    Kuna Aliyebahatika Kupata Cam Card?
Back
Top Bottom