Search results

  1. K

    Wabunge chadema mmetokota

    Penye ukweli unazi hauna nafasi sikia nyie madogo hawa wawakilishi wa wnanchi wametumwa bungeni kuwakilisha mawazo ya wapiga kura wao na si maigizo wanayofanya ka wanataka fani si wakajiunge the comedy.huo ni ubinafsi mkubwa waliouonyesha na pia unatia shaka kama wako kwenye kutafuta uwakilishi...
  2. K

    Dada wa Tundu Lissu kuchaguliwa viti maalum hii CHADEMA ni ya familia?

    HUO NI UKWELI KUBEBANA UNDUGU KIASI HICHI SI HAKI CHAMA NI CHA WATU WOTE IWEJE WATU WAINGIZE NDUGU ZAO KAMA NZIGE KWANI WA KWALIFICATION WENGINE HAWAPO AU MPAKA UWE MBUNGE NDO UBEBE NA MBELEKO?CHAMA NDIO MAARUFU SI MTU:nono:
  3. K

    Ili tuendelee watanzania tuna nini na tunahitaji nini?

    Kabla ya kufikiria namna ya kumkomboa mtanzania kwenye dimbwi hili la umasikini kimsingi lazima tuanishe STRENGTH NA WEAKNESS zetu hii ikiwa ni pamoja na kuangalia fursa zilizopo ambavyo zinaweza kutuletea maendeleo cha msingi uongozi ni jambo moja lakini lazma tukubali kuwa mfumo wa elimu...
  4. K

    Hi, am a new member!

    Hellow Jamiiforum community!iam a new comer.Lets share what we have
Back
Top Bottom